Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mzindakaya agoma kumsamehe Mbunge wa Sumbawanga Mjini...

Mbunge wa zamani wa jimbo la Kwela, Mzee Chrisant Mzindakaya (shoto) amekataa kumsamehe hadharani Mbunge wa sasa wa Sumbawanga Mjini, Bw. Aeshi Hilali (kulia) baada ya kupewa fursa ya kushikana mikono jukwaani na kusameheana.
Haya yametokea  leo mchana (Jumapili, Mei 25, 2014) kwenye ibada ya kumuweka wakfu Askofu Mteule Conrad Nguvumali wa Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Rukwa iliyofanyika kwenye Uwanja wa Nelson Mandela, mjini Sumbawanga.  Mzee Mzindakaya alikataa kufanya hivyo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Mbunge wa Sumbawanga Mjini,Aeshi Hilaly amwomba radhi Dr. Chrisant Mzindakaya

Mbunge wa Sumbawanga Mjini , Aeshi Hilaly akimwomba radhi Mwanasiasa mkongwe Dr. Chrisant Mzindakaya (kushoto) wakati alipotakiwa kufanya hivyo na Mkuu wa mkoa wa Rukwa Stella Manyanya (kushoto) katika ibada ya kumsimika Askofu wa Kanisa la Moravian Jimbo la Rukwa, Conrad Nguvumali kwanye uwanja wa Nelson Mandela mjini Sumbawanga Mei 25, 2014.

 

11 years ago

Habarileo

Mbunge agoma kujiuzulu

MBUNGE wa Bahi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Omar Baduel amesema hatajiuzulu kwenye nafasi hiyo, kutokana na kuandamwa na baadhi ya madiwani kwa tuhuma za kutumia vibaya fedha za mfuko wa jimbo. Alitoa kauli hiyo juzi kwenye kikao cha baraza la madiwani la halmashauri ya Bahi.

 

9 years ago

Vijimambo

MAMA SAMIA AUNGURUMA SUMBAWANGA MJINI

 Bando la kumkaribisha Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama Samia Suluhu Hassan,likiwa limeshikwa na wananchi katika uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine mjini Sumbawanga mkoani Rukwa  leo Chopa iliyomsafirisha Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan ikiwasili katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine mjini Sumbawanga mkoani Rukwa leo, ambako mgombea huyo alihutubia mkutano mkubwa wa kampeni. Chopa iliyomsafirisha Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama ...

 

9 years ago

Vijimambo

MAGUFULI AFUNGA KAZI SUMBAWANGA MJINI

 Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye uwanja wa Nelson Mandela ,Sumbawanga mjini tayari kuwahutubia wakazi wa mji huo. Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na Kada wa CCM Mzee Chrisant Mzindakaya wakati wa mapokezi kwenye uwanja wa Nelson Mandela ,Sumbawanga mjini.
 Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mbunge wa Sumbawanga mjini Ndugu Aeshi Hilaly . Kada wa CCM Mzee Chrisant...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya Tigo yafungua Duka jipya la kisasa Sumbawanga Mjini

sumbawanga1

Katibu tawala mkoa wa Rukwa,  ndugu Smythies Pangisa(kulia) akikata utepe ikiwa ni ishara rasmi ya  uzinduzi wa duka la Tigo lililopo Sumbawanga mjini, kushoto ni  Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Kusini Jackson Kiswaga na katikati ni meneja wa operesheni kwa wateja Tigo kanda ya kusini, Laverty Khana.

sumbawanga2

Meneja wa operesheni kwa wateja Tigo kanda ya kusini, Laverty Khana(katikati) akitoa maelekezo kwa mgeni rasmi Katibu tawala mkoa wa Rukwa ndugu Smythies Pangisa jinsi watakavyo hudumia wateja,...

 

9 years ago

Michuzi

MAMA SAMIA ATUA KWA CHOPA NA KUUNGURUKA SUMBAWANGA MJINI LEO

 Bando la kumkaribisha Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama Samia Suluhu Hassan,likiwa limeshikwa na wananchi katika uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine mjini Sumbawanga mkoani Rukwa  leo Chopa iliyomsafirisha Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan ikiwasili katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine mjini Sumbawanga mkoani Rukwa leo, ambako mgombea huyo alihutubia mkutano mkubwa wa kampeni. Chopa iliyomsafirisha Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama...

 

10 years ago

Mwananchi

KUELEKEA MAJIMBONI : Majimbo ya Sumbawanga Mjini, Kwela hayana mwenyewe Kalambo ni CCM

Uchambuzi wa leo unaangazia majimbo ya Sumbawanga Mjini, Kalambo na Kwela, yote yakiwa sehemu muhimu ya mkoa huu. Majimbo yote matatu kila moja lina hadhi ya wilaya.

 

10 years ago

Michuzi

EWURA YAENDESHA SEMINA KWA WAFANYABIASHARA WA MAFUTA MIKOA YA RUKWA NA KATAVI MJINI SUMBAWANGA

Meneja Ufundi Idara ya Petroli EWURA Ndugu Gerald Maganga akiwasilisha moja ya mada katika Semina kwa Wafanyabiashara wa Mafuta Mikoa ya Rukwa na Katavi katika ukumbi wa Moravian Centre Mjini Sumbawanga tarehe 15 April 2015. Kushoto ni Afisa Uhusiano EWURA Ndugu Wilfred Edwin. Miongoni mwa mada zilizowasilishwa katika Semina hiyo ni Udhibiti na Kanuni za Ukokotoaji wa bei za Mafuta, Ubora wa Miundimbinu, Usalama na Utunzaji wa Mazingira katika Sekta ya Mafuta ya Petroli, Faida za kutumia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani