Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbwa atumia wiki tatu kujifunza lugha mpya

Mbwa aliyekuwa akiandamana na mmiliki wake darasani ameshangaza wengi baada ya kuanza kuelewa lugha hiyo baada ya wiki tatu pekee.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Putin atumia lugha chafu kushutumu Uturuki

Rais wa Urusi Vladimir Putin ametumia lugha chafu akishambulia tena Uturuki kwa kuidungua ndege ya kivita ya Urusi mwezi uliopita.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tuitumie Wiki ya Mandela kujifunza

TAKRIBANI mwaka mmoja unakaribia tangu kumpoteza shujaa wa dunia aliyepiga vita ubaguzi wa rangi, Nelson Mandela ‘Madiba’ aliyekuwa Rais wa Afrika Kusini. Mandela ni miongoni mwa mashujaa wakubwa katika bara...

 

11 years ago

Michuzi

WIKI TATU KUELEKEA FAINALI YA SHINDANO LA TANZANIA MPVIE TALENTS (TMT), WASHIRIKI WENGINE WAWILI WAAGA SHINDANO WIKI HII

 Waendeshaji wa Show ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) Joti na Lulu wakiwa kwa steji, tayari kwa kuendelea na show hiyo iliyofanyika katika Ukumbi wa Mkaumbusho ya Taifa Jijini Dar Es Salaam. Mshiriki Ally Kiwendo ambae alikuwa ni mmoja kati ya washindi watatu kutoka kanda ya Kusini mkoani Mtwara akitoa maneno ya shukrani kwa Kampuni ya Proin Promoitons ambao ndio waandaaji na waendeshaji wa Shindano la TMT mara baada ya kutangazwa kuaga shindano hilo kutokana na Kura kuwa chache,...

 

5 years ago

Michuzi

Kusherehekea wiki ya wanawake duniani Vodacom yatoa hamasa kwa watoto wa kike kujifunza Tehama


Mwanafunzi wa kidato cha nne, shule ya sekondari Kinyerezi jijini Dar Es Salaam, Rahma Seif akielezea namna ya kujisomea kupitia mfumo wa Instant Schools unaowezesha kupata  materials‘ kwa njia ya mtandao bure kutoka Vodacom. Hii ni hamasa iliyowekwa na Vodacom kuelekea siku ya wanawake Duniani kwa mtoto wa kike kupenda masomo ya sayansi yenye kauli mbiu I am the face of Tech.Mkuu wa Idara ya IT na Miradi Vodacom Tanzania PLC, Cleopatra Mukangara akitoa zawadi kwa wanafunzi mbalimbali wa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Afrika kusini kufungwa wiki tatu

Maafisa wa usalama wameenea katika mitaa mbalimbali Afrika Kusini wakati taifa lilipotangaza watu wasitoke nje.

 

10 years ago

GPL

MOURINHO: COSTA HAWEZI KUCHEZA MECHI TATU KWA WIKI

Mshambuliaji wa timu ya Chelsea, Diego Costa. Kocha wa timu ya Chelsea, José Mário dos Santos Mourinho Félix 'Jose Mourinho'. KOCHA Jose Mourinho amesema kwamba Diego Costa hawezi kucheza mechi tatu kwa wiki Chelsea kwa sababu ya maumivu ya nyama aliyoyapata akiitumikia timu yake ya taifa, Hispania. Costa, amefunga mabao saba katika mechi nne za awali Chelsea,… ...

 

10 years ago

Mwananchi

JITAMBUE:Je unajua kuwa una haja ya kujifunza tabia mpya katika maisha yako?

Je unaweza kuandika orodha ya tabia zako zote? Kama unaweza kuziandika zitenge katika makundi mawili. Kundi moja liwe la zile ambazo zinakusaidia na zenye manufaa hata kwa watu wengine na kundi la pili ni zile ambazo hazina maana na hata zinawaudhi watu wengine. Kama utafanya zoezi hili kwa uaminifu huku ukiamini hakuna atakayeiona orodha yako kuna mambo mawili ambayo huenda ukafikiria kuyafanya.

 

11 years ago

Bongo5

Kuna kitu cha kujifunza katika video hizi 2 mpya za Burundi zinazochezwa Trace TV

Tasnia ya muziki nchini Burundi ina jambo la kusherehekea mwezi huu baada ya video mbili za wasanii wa huko kupitishwa na kuanza kuchezwa kwenye kituo maarufu cha muziki cha Trace Urban TV. Hiyo ni mara ya kwanza kwa wasanii wa Burundi. Nyimbo hizo ni pamoja na ‘Jigi Jigiwe’ ya Happy Famba na Katoto Rmx ya […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani