Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Coronavirus: Afrika kusini kufungwa wiki tatu

Maafisa wa usalama wameenea katika mitaa mbalimbali Afrika Kusini wakati taifa lilipotangaza watu wasitoke nje.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Mfalme wa Afrika Kusini kufungwa jela

Mfalme wa kabila la Nelson Mandela la Thembu atafungwa jela baada ya mahakama ya kikatiba nchini Afrika Kusini kukataa kata kata kusikiza ombi la rufaa

 

9 years ago

BBCSwahili

Mfalme kufungwa jela miaka 12 Afrika Kusini

Mahakama nchini Afrika Kusini imedumisha hukumu aliyopewa mfalme wa kabila la Thembu, ikisema lazima atumikie kifungo cha miaka 12.

 

9 years ago

Bongo5

Rapper K.O wa Afrika Kusini kufanya Media & Showcase Tour Tanzania wiki ijayo

Rapper aliyeshirikishwa kwenye wimbo wa Vanessa Mdee ‘No Body But Me’, K.O kutoka Afrika Kusini anatarajia kuja Tanzania Jumatatu ijayo kwaajili ya ziara ya kuzunguka kwenye vyombo vya habari kwa lengo la kujitangaza zaidi. K.O akiwa na Vanessa K.O ambaye jina lake halisi ni Ntokozo Mdluli atatembelea magazeti, vituo vya Radio na Tv pamoja na […]

 

5 years ago

Michuzi

KUNDI LA PILI LA WATANZANIA WALIOKWAMA AFRIKA KUSINI LINATARAJIWA KUREJEA NYUMBANI MAPEMA WIKI IJAYO

Na Mwandishi wetu, Pretoria


Kundi la pili la Watanzania waliokwama nchini Afrika Kusini kutokana na Lockdown nchini humo iliyosababishwa na ugonjwa wa Corona linatarajia kurejeshwa nchini mwanzoni mwa wiki ijayo mara tu baada ya taratibu za safari hiyo kukamilika, imefahamika.


Kwa mujibu wa ubalozi wa Tanzania nchini humo, jumla ya Watanzania 63 wamekuwa katika harakati za kutaka kurejea nyumbani lakini wamekwama kutokana na changamoto mbalimbali ikiwemo kuchelewa kwa vibali vya kusafiri nje...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Zaidi ya watalii 1700 wawekwa karantini melini kwa hofu ya maambukizi Afrika Kusini

Zaidi ya watu 1,700 wamewekwa karantini kwenye meli ya kitalii na meli ya kubeba mizigo kwenye pwani ya Cape Town nchini Afrika Kusini kwa hofu kwamba baadhi yao wameambukizwa na virusi vya corona.

 

11 years ago

Michuzi

WIKI TATU KUELEKEA FAINALI YA SHINDANO LA TANZANIA MPVIE TALENTS (TMT), WASHIRIKI WENGINE WAWILI WAAGA SHINDANO WIKI HII

 Waendeshaji wa Show ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) Joti na Lulu wakiwa kwa steji, tayari kwa kuendelea na show hiyo iliyofanyika katika Ukumbi wa Mkaumbusho ya Taifa Jijini Dar Es Salaam. Mshiriki Ally Kiwendo ambae alikuwa ni mmoja kati ya washindi watatu kutoka kanda ya Kusini mkoani Mtwara akitoa maneno ya shukrani kwa Kampuni ya Proin Promoitons ambao ndio waandaaji na waendeshaji wa Shindano la TMT mara baada ya kutangazwa kuaga shindano hilo kutokana na Kura kuwa chache,...

 

10 years ago

Habarileo

Makutano barabara Morogoro, Kawawa kufungwa wiki 2

MKANDARASI mkuu wa ujenzi wa barabara ya mabasi yaendayo haraka (BRT), Strabag International ametangaza mabadiliko ya matumizi katika makutano ya barabara za Morogoro na Kawawa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Benki za Ugiriki kufungwa kwa wiki moja

Serikali ya Ugiriki imethibitisha kuwa benki zake zitafungwa kwa kipindi cha juma moja kufuatia uamuzi wa benki kuu barani Ulaya kutoendelea kutoa fedha za kukabiliana na dharura.

 

10 years ago

Vijimambo

Wasomali walalama kufungwa kwa mashirika kumi na tatu ya ubadilishaji wa sarafu za kigeni

Kenya imefunga mashirika 13 na akaunti 86 za watu wanaodhaniwa kufadhili Al ShabaabWasomali walalama kufungwa kwa Hawala Kenya
Jamii ya wasomali nchini Kenya wamelalamikia vikali hatua ya serikali nchini humo kufunga mashirika kumi na tatu ya ubadilishaji wa sarafu za kigeni na usafirishaji pesa maarufu kama Hawala.

Malalamishi yao ni kuwa hatua hiyo itasababisha matatizo makubwa kwa wasomali ambao daima wanategemea njia hiyo, kuwatumia jamaa zao fedha kutoka mataifa ya kigeni.

Hatua hiyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani