Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbwa pia wajua kuonyesha hisia

Mbwa wanaweza kuiga hisia zao kwa haraka kama wanadamu na kuonyesha ishara za huruma!

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Je wajua mbwa ana jua tofauti zetu?

Utafiti unaonesha kwamba watu wanaopenda wanyama hasa mbwa,huwa hawawezi kuficha hisia zao kwa mbwa ,kwani anao uwezo mkubwa wa kushuku mambo.

 

11 years ago

Habarileo

Mbwa mwitu, watoto wa mbwa, panya road kutokomezwa

JESHI la Polisi nchini limewaagiza Makamanda wa Polisi wa Mikoa, kuhakikisha wanavidhibiti na kuvitokomeza vikundi vyote vinavyojihusisha na vitendo vya uhalifu, ikiwemo uporaji, unyang’anyi na kujeruhi watu katika maeneo mbalimbali.

 

11 years ago

Mwananchi

Tuwadhibiti panya road, mbwa mwitu, watoto wa mbwa

Dar es Salaam kumezuka tafrani, umeibuka mtindo mpya wa vibaka kupora kwa makundi kwa kufanya operesheni maalumu katika baadhi ya maeneo. Hivi sasa pamoja na kuwa uhalifu umekithiri nchi nzima, lakini kila eneo kuna uhalifu wa aina yake na huu ulioibuka Dar es Salaam unatisha.

 

10 years ago

BBCSwahili

FIFA yatakiwa kuonyesha uwazi

Mchunguzi mkuu wa maadili katika FIFA, amesema shirikisho hilo linapaswa kuonyesha uwazi kuhusu linavyoendesha shughuli zake.

 

10 years ago

BBCSwahili

Je,busu ni ishara ya kuonyesha mahaba?

Utafiti mpya umegundua kwamba busu la mdomo kwa mdomo sio ishara kamili ya kuonyesha mapenzi, kinyume na dhana ya watu wengi

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Mtanzania

Jaja aanza kuonyesha makali Pemba

Santos Santana ‘Jaja’

Mchezaji wa Yanga Geilson Santos Santana ‘Jaja’ akipokea nakala ya mkataba wake kutoka kwa Katibu Mkuu wa yanga, Beno Njovu, jana baada ya kusaini kuichezea timu hiyo kwa miaka miwili.

NA HUSSEIN OMARI, PEMBA

MSHAMBULIAJI mpya wa Yanga Mbrazil Geilson Santana ‘Jaja’, jana ameanza kuonyesha makali yake baada ya kuifungia timu yake bao, katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Chipukizi, katika mchezo wa kirafiki uliochezwa Uwanja wa Gombani, Chakechake Pemba.

Mchezaji huyo amejiunga na Yanga mwezi...

 

10 years ago

Mwananchi

Hongera Basata kwa kuonyesha makali

Niwapongeze Baraza la Sanaa Taifa (Basata) kwa kuonyesha wazi kusimama kidete kulinda utamaduni wa Mtanzania na sanaa kwa ujumla.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani