Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MCHAKATO WA KUANZISHA AGENDA YA MAENDELEO UNARIDHISHA, BALOZI MWINYI

 Naibu Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Mhe. Balozi Ramadhani Mwinyi akitoa hotuba kwa wajumbe wa Kamati ya Pili inayoshughulikia masuala ya uchumi na maendeleo jijini New York, Marekani. Wanaoekana nyuma ni Bw, Songelael Shilla, Afisa wa Ubalozi wa Tanzania katika Umoja > wa Mataifa na Bibi Haikael Shishira, Afisa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. 
 Balozi Mwinyi akiendelea kuwasilisha hotuba yake, huku Bw. Shilla na Bibi Shishira...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Agenda ya CUF mchakato wa Katiba Mpya

Wakati viongozi wa CCM wakizunguka jimbo kwa jimbo kutetea Mfumo wa Muungano wa Serikali mbili, Chama Cha Wananchi (CUF), kimesema hakiungi mkono hata pendekezo lililotolewa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba la kutaka Muungano wa Serikali tatu.

 

11 years ago

Michuzi

UZINDUZI WA MCHAKATO WA KUANZISHA TIKA (TIBA KWA KADI) KATIKA HALMASHAURI YA MJI KOROGWE

Meneja wa Bima ya Afya – Mkoa wa Tanga, Bw. Ally Mwakababu (kushoto) akitoa maelezo ya utangulizi wakati wa ufunguzi wa kikao cha Timu ya Uendeshaji wa Huduma za Afya ya Halmashauri (CHMT) kikijadili mchakato wa kubadirisha sheria ndogo ya Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) kwenda katika Mfumo wa Afya ya Jamii Mijini wa Tiba kwa Kadi (TIKA). Kikao hicho cha kwanza kilifanyika leo Machi 25, 2014 katika ukumbi wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe, Tanga. Pembeni ni mgeni rasmi aliyekaribishwa kufungua...

 

11 years ago

GPL

UZINDUZI WA MCHAKATO WA KUANZISHA TIKA (TIBA KWA KADI) KATIKA HALMASHAURI YA MJI KOROGWE‏

Meneja wa Bima ya Afya – Mkoa wa Tanga, Bw. Ally Mwakababu (kushoto) akitoa maelezo ya utangulizi wakati wa ufunguzi wa kikao cha Timu ya Uendeshaji wa Huduma za Afya ya Halmashauri (CHMT) kikijadili mchakato wa kubadirisha sheria ndogo ya Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) kwenda katika Mfumo wa Afya ya Jamii Mijini wa Tiba kwa Kadi (TIKA). Kikao hicho cha kwanza kilifanyika leo Machi 25, 2014 katika ukumbi wa Halmashauri ya...

 

10 years ago

Michuzi

NCHI WANACHAMA WAPITISHA TAMKO KUHUSU AGENDA MAPYA YA MAENDELEO ENDELEVU

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon, akiwa na Mabalozi Macharia Kamau wa Kenya na David Donoghue wa Ireland wakati walipozungumza na waandishi wa habari kuelezea namna mchakato wa majadiliano yaliyokamilisha na hatimaye kupitishwa nan chi wanachama Tamko kuhusu Ajenda za Maendeleo Endelevu baada ya 2015. Tamko hilo lilipitishwa jumapili usiku. Mabalozi wao ndio waliosimamia mchakato mzima wa majadiliano hayo. Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano Tanzania...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tanzania yakataa rasmi ndoa za jinsia moja kwenye agenda za maendeleo ya milenia

001

Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa, Wanawake, Anna Collins akitoa hotuba yake wakati akifungua warsha ya siku moja kuhusu Malengo ya Milenia kwa washiriki mbalimbali na kwa kiasi ngani Tanzania imeweza kufikia malengo hayo.iliofanyika Makao Makuu ya Taasisi ya Uchumi na Utafiti wa Kijamii nchini (ESRF) Oktoba 27, 2014 jijini Dar es Salaam.

Na Mwandishi wetu

SERIKALI ya Tanzania imekataa rasmi kutambua ndoa za jinsia moja (ushoga) kama moja ya agenda za maendeleo katika malengo ya...

 

10 years ago

GPL

TANZANIA YAKATAA RASMI NDOA ZA JINSIA MOJA KWENYE AGENDA ZA MAENDELEO YA MILENIA‏

Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa, Wanawake, Anna Collins akitoa hotuba yake wakati akifungua warsha ya siku moja kuhusu Malengo ya Milenia kwa washiriki mbalimbali na kwa kiasi ngani Tanzania imeweza kufikia malengo hayo.iliofanyika Makao Makuu ya Taasisi ya Uchumi na Utafiti wa Kijamii nchini (ESRF) Oktoba 27, 2014 jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Programu kutoka Taasisi ya… ...

 

11 years ago

Michuzi

9 years ago

Dewji Blog

UN kuandika Historia nyingine leo: Kujadili Agenda 2030 ya Malengo Mapya ya Maendeleo Endelevu (SDG’s)

unnamed (1)Katibu Mkuu  wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,  Balozi  Liberata Mulamula akizungumza wakati wa mkutano ulioandaliwa  kwa pamoja  na  Wizara ya Ushirikiano wa Kiuchumi na Maendeleo ya Ujerumani na Mashirika  ya Kimataifa kama vile Mpango wa Chakula Duniani, Mkutano uliokuwa ukijadili changamoto za mabadiliko ya tabia nchi na uhusiano wake na usalama wa chakula,  lishe na afya. Mkutano huu ulifanyika  siku ya alhamis katika Uwakilishi wa Kudumu wa Ujeruman katika Umoja wa...

 

5 years ago

Bongo5

Serikali kuanzisha ‘Mfuko wa Maendeleo ya Sanaa’

Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo iko katika mchakato wa kuanzisha ‘Mfuko wa Maendeleo ya Sanaa’ ambao una dhima kubwa ya kusaidia kuinua kipato.

Naibu Waziri wa Wizara Utamaduni, Sanaa na Michezo, Annastazia Wambura

Aidha mfuko huo utaongeza tija na weledi kupitia utaratibu wa upatikanaji fedha utakaowekwa ili kuwawezesha wasanii kuzalisha kazi bora za sanaa zenye kukidhi viwango vya masoko ndani na nje ya nchi.

Akijibu swali la Mbunge wa Kinondoni, Maulid Said Mtulia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani