Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NCHI WANACHAMA WAPITISHA TAMKO KUHUSU AGENDA MAPYA YA MAENDELEO ENDELEVU

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon, akiwa na Mabalozi Macharia Kamau wa Kenya na David Donoghue wa Ireland wakati walipozungumza na waandishi wa habari kuelezea namna mchakato wa majadiliano yaliyokamilisha na hatimaye kupitishwa nan chi wanachama Tamko kuhusu Ajenda za Maendeleo Endelevu baada ya 2015. Tamko hilo lilipitishwa jumapili usiku. Mabalozi wao ndio waliosimamia mchakato mzima wa majadiliano hayo. Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano Tanzania...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

UN kuandika Historia nyingine leo: Kujadili Agenda 2030 ya Malengo Mapya ya Maendeleo Endelevu (SDG’s)

unnamed (1)Katibu Mkuu  wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,  Balozi  Liberata Mulamula akizungumza wakati wa mkutano ulioandaliwa  kwa pamoja  na  Wizara ya Ushirikiano wa Kiuchumi na Maendeleo ya Ujerumani na Mashirika  ya Kimataifa kama vile Mpango wa Chakula Duniani, Mkutano uliokuwa ukijadili changamoto za mabadiliko ya tabia nchi na uhusiano wake na usalama wa chakula,  lishe na afya. Mkutano huu ulifanyika  siku ya alhamis katika Uwakilishi wa Kudumu wa Ujeruman katika Umoja wa...

 

9 years ago

Michuzi

MABUNGE YATAKIWA KUSIMAMIA UTEKELEZAJI WA MALENGO MAPYA YA MAENDELEO ENDELEVU

Na Mwandishi Maalum , New York Maspika wa Mabunge kutoka mataifa mbalimbali duniani, wamemaliza mkutano wao wa Nne kwa kupitisha tamko ambalo pamoja na mambo mengine, linayataka Mabunge kuhakikisha yanasimamia na kufuatilia kwa karibu utekelezaji wa Malengo na Ajenda Mpya za Maendeleo Endelevu ( Ajenda 2030). Akihitimisha mkutano huo wa Maspika ambao hufanyika kila baada ya Miaka mitano, Rais wa Chama cha Kimataifa cha Mabunge ( IPU) Saber Chowdhur amesema, Maspika na...

 

5 years ago

Michuzi

WABUNGE WAPEWA MAFUNZO KUHUSU MPANGO WA MAENDELEO ENDELEVU (SDG 1&20).


Wajumbe wa Kamati za Huduma na Maendeleo ya Jamii na Kamati ya Kilimo, Mifugo na Maji wakifatilia mafunzo ya Utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo Endelevu kwenye maeneo ya kuondoa njaa pamoja na Afya na ustawi wa Watu (SDG 1&2) yaliyotolewa na Mchumi kutoka Wizara ya Fedha, Ndg. Josiah Mwabeza katika semina iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Msekwa Bungeni mjini Dodoma.Mwenyekiti wa Kamati ya Huduma na Maendeleo ya Jamii Mheshimiwa Peter Serukamba (Kushoto) akichangia wakati...

 

11 years ago

Michuzi

TASWIRA YA MKUTANO WA NANE WA MWISHO KUHUSU MAENDELEO ENDELEVU BAADA YA 2015

Mkutano wa nane wa maajadiliano ya wazi kuhusu maandalizi ya malengo mpya ya maendeleo endelevu baada ya 2015 ( SDGs) umekamilika siku ya Ijumaa hapa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa.   Katika Mkutano huu wa wa wiki moja wajumbe walijadiliana na kubadilishana mawazo kuhusu mada kadhaa ambazo ziliwasilishwa mbele yao kuangalia ni kwa namna gani zinaweza kuwa sehemu ya malengo hayo mapya ya maendeleo endelevu.  Mada hizo zilihusu masuala ya Bahari, Misitu na Viumbe hai,...

 

10 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AIWAKILISHA TANZANIA KATIKA MKUTANO WA DHARURA WA VIONGOZI WA NCHI NA SERIKALI WANACHAMA WA SADC KUHUSU UENDELEZAJI VIWANDA, HARARE ZIMBABWE.

AD1 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasili kwenye Hoteli ya Rainbow, jijini Harare, Zimbabwe kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa dharura wa Viongozi wa Nchi Wanachama wa SDC, uliofunguliwa leo Aprili 29, 2015 na Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe, Jijini unaojadili kuhusu Uendelezaji wa Viwanda. Picha na OMR AD2AD3Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal (katikati), akiwa na baadhi ya Viongozi wenzake katika Mkutano wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

LAPF na fursa ya uchumi endelevu kwa wanachama

KATIKA nchi zilizoendelea ili upate madaraka ya kuwatumikia watu inabidi uwaeleze ni jinsi gani utawasaidia kuwainua kiuchumi. Baada ya wananchi kuielewa vema mipango yako ya kiuchumi na kuamini inatekelezeka, watakuunga...

 

10 years ago

Michuzi

ufunguzi wa mkutano wa 20 wa nchi wanachama wa mkataba wa umoja wa mataifa wa mabadiliko ya tabia nchi nchini peru

 Kushoto Waziri mh. Fatma  Fereji kutoka Ofisi ya Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar, Kulia Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa Rais mazingira mh.dkt Binilith Mahenge wakifuatilia hotuba ya katibu mkuu wa umoja wa Mataifa Bw Ban ki Moon hayupo pichani katika ufunguzi wa mkutano wa 20 wa nchi wanachama wa mkataba wa umoja wa mataifa wa mabadiliko ya tabia nchi ulihusisha viongozi wa juu marais na mawaziri..(High level segment) mjini Lima, Peru. Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania...

 

5 years ago

Michuzi

MKUTANO WA WATAALAMU WA NISHATI NCHI ZA SADC WAFUNGWA LEO JIJINI DAR,WAPITISHA SHERIA RASMI ZA KUSIMAMIA MIRADI YA KIMKAKATI

KAMATI ya Wataalamu wa Nishati katika Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) imependekeza mataifa hayo kuwa na sheria rasmi za kusimamia miradi ya kimkakati katika sekta ya nishati ili kuwa na utoshelevu wa uhakika wa nishati ya umeme kwa ajili mahitaji ya wananchi wake. 
Hayo yamesemwa leo Ijumaa (Februari 28,2020) Jijini Dar es Salaama na Kamishna wa Petroli na Gesi katika Wizara ya Nishati,Adam Zuberi wakati akifunga mkutano wa siku nne wa Kamati ya Wataalamu wa Nishati...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani