Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mchanyato Stars wamkuna

Kocha Msaidizi wa Taifa Stars, Salum Mayanga amesifu ushirikiano baina ya wachezaji wapya wa timu hiyo na wale wa zamani na kusema utakiwezesha kikosi chake kupata matokeo mazuri kuanzia mchezo dhidi ya Burundi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Raia Tanzania

Mashabiki wamkuna Olunga

MSHAMBULIAJI nyota wa Gor Mahia ya Kenya, Michael Olunga amefurahishwa na mashabiki wa soka Tanzania kujaa kwa wingi uwanjani na kushangilia timu za nje.

Olunga ambaye yuko nchini hivi sasa na kikosi chake kwa ajili ya kushiriki michuano ya Kombe la Kagame, amesema hali hiyo ya ushabiki haipo nchini kwao.

Akizungumza na Raia Tanzania mshambuliaji huyo alisema mashabiki wa soka Tanzania wanaonekana kupenda mpira kuliko hata mashabiki wa nchini kwao.

Olunga alisema hali hiyo ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nyota wapya kriketi wamkuna Remtullah

CHAMA cha Kriketi Tanzania (TCA) kimesema wachezaji wapya 14 walioteuliwa kuunda kikosi cha timu ya taifa ya mchezo huo kwa vijana wa chini ya miaka 19, wanaendelea vizuri na mazoezi. Akizungumza...

 

9 years ago

Mwananchi

Manchester United ‘wamkuna’ Van Gaal

Ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Everton umemfurahisha kocha wa Manchester United, Louis van Gaal akiueleza kuwa umemsaidia kuwaimarisha kiakili wachezaji wake, ambao kwa sasa wanajiamini.

 

10 years ago

Mtanzania

Watoto wenye ulemavu wamkuna Natasha

natashaNA GEORGE KAYALA
MWIGIZAJI Susan Humba ‘Natasha’ amewataka wenye makampuni ya uandaaji wa filamu za bongo kuwatumia watoto wenye vipaji ambao wana ulemavu wa viungo.
Natasha alitoa kauli hiyo kwa watoto hao wenye ulemavu wa viungo wanaosoma Shule ya Sekondari Jangwani, jijini Dar es Salaam, baada ya kuonyesha uwezo wao wa kuigiza mbele yake.
Wanafunzi hao walionesha vipaji vyao mwishoni mwa wiki iliyopita, wakati wa uzinduzi wa shirika lisilo la kiserikali la Save Vulnerable Foundation...

 

11 years ago

Habarileo

Ruvuma wamkuna Rais kasi ya maendeleo

RAIS alisema kuna kasi nzuri ya maendeleo katika mkoa wa Ruvuma na ameridhishwa na jitihada za halmashauri za miji, halmashauri za wilaya na manispaa.

 

10 years ago

Mwananchi

Nyota Nibomana, Majabvi wamkuna kocha wa Simba

Kocha wa Simba, Dylan Kerr ameonyesha kukunwa na uwezo wa nyota wake wapya wakiwamo beki Mrundi Emiry Nibomana ‘Kadogoo’ na kiungo Mzimbabwe, Justice Majabvi.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wachezaji Coastal Union wamkuna Kocha Chipo

KOCHA wa timu ya Coastal Union ya Tanga, Yusuf Chipo amesema ameridhika na kiwango cha vijana wake baada ya kuwafunga Shaba FC ya Pemba mabao 5-1 katika mechi ya kirafiki...

 

5 years ago

Michuzi

UJENZI MIRADI YA NHC WAMKUNA NAIBU WAZIRI MABULA

 Taswira ya Jengo la Ofisi ya Wakala wa Huduma za Misitu (TFS) lilipo katika Shamba la Miti la Kilimanjaro Kaskazini wilaya ya Rombo mkoa wa Kilimanjaro. Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa wilaya ya Rombo, watendaji wa sekta ya ardhi katika ofisi ya ardhi ya mkoa wa Kilimanjaro pamoja na watumishi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) alipotembelea mradi wa ujenzi wa jengo la TFS katika shamba la Miti la Kilimanjaro...

 

10 years ago

Vijimambo

MECHI YA STARS UNITED NA ALL AFRICAN STARS MPAKA DAKIKA 90 MAMBO NI 5-5


 Kutoka kushoto ni Dallah , Mundo na Ediga wachezaji wa Stars United wakitafakali jambo kabla ya mechi All African Stars wakipata picha ya pamoja.                       Stars United wakipata  picha ya pamoja. Kifaa cha Stars United Elvis Mnyamuru akijaribu kumiliki mpira. Mmoja ya wachezaji wa All African Stars ya Atlanta akiwa chini baada ya kuchezewa rafu huku wachezaji wa Stars United. Mchezaji wa All African Stars (kulia) akijaribu kumtoka Edgar mmoja ya mchezaji wa Stars United Mchezaji...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani