Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MCHEPUKO UNAPOGONGA MWAMBA

Mara baada ya kutokea kwa tatizo la gari kubwa kuziba njia katika eneo la Kiwangwa Wilayani Bagamoyo,magari mengi yalilazimika kutafuta njia mbadala ya kukwawezesha kuendeela na safari zao,lakini bahati mbaya huku nako kukatokea lingine na lori la mchanga kukwama kwenye udongo na kusababisha adha nyingine kwa wasafiri waliokuwa wakitumia njia hii.Lori hilo likiwa limekwama kwenye dongo kutokana na uzito mkubwa liliokuwa nao,hali iliyopelekea adha nyingine kwa watumiaji wa njia hiyo.Sehemu ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

BALAA LA MCHEPUKO!

Stori: Issa Mnally AMA kweli mchepuko ni balaa! Jamaa aliyefahamika kwa jina moja la Peter amekiona cha moto baada ya kufanya mchepuko na mke wa rafiki yake bila kufahamu kuwa kufanya hivyo ni hatari kwa maisha yake, Risasi Jumamosi lina kisa na mkasa. Mfumaniwa akivaa kwa aibu saaana mara baada ya fumanizi hilo. Kama kawaida, hivi karibuni, Mkuu wa Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers, akiwa chumba cha habari,...

 

11 years ago

Mwananchi

Nyongeza ya posho yagonga mwamba

>Madai ya Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kutaka nyongeza ya posho ya vikao vya Bunge hilo yamegonga mwamba, Mwananchi limebaini.

 

9 years ago

Bongo Movies

Patcho Mwamba Kujaribu Kipindi

Msanii wa maigizo, muimbaji, Mtunzi, Mpanga Muziki na Mchekeshaji Patcho Mwamba ameendelea kuongeza fani ambazo amekuwa akizimudu vyema kwa upande wa sanaa, huku akiwa katika maandalizi ya kutoa albam mpya ya bendi ya FM Academia.

Star huyo amejipanga kwa ajili ya kutengeneza kipindi kitakachosimama kwa jina la Bana Congo ambacho atawafahamisha mashabiki zaidi juu yake mara baada ya uchaguzi.

Patcho ameiambia eNewz kuwa kwa sasa hana filamu yoyote kubwa ambayo anatayarisha kama yeye,...

 

10 years ago

Mwananchi

Chenge agonga mwamba escrow

Dar es Salaam. Juhudi za mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge (pichani) kutumia mkondo wa sheria kulizuia Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma lisimuhoji kuhusu kuhusika kwake kwenye sakata la escrow, zimegonga mwamba Mahakama Kuu kutupilia mbali kesi aliyofungua kupinga hatua hiyo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Waomba barabara ya mchepuko

WAFANYABIASHARA wa eneo la Mbezi Beach B, wilayani Kinondoni, Dar es Salaam, wameiomba Wizara ya Ujenzi kuwajengea barabara ya kuchepuka kutokea Mwai Kibaki kuingia Mtaa wa NSSF. Akizungumza na waandishi...

 

10 years ago

GPL

PATCHOU MWAMBA AFUNGUKIA ISHU YA KUFUMANIWA

Stori: Erick Evarist
Vunja ukimya! Mwanamuziki mwenye asili ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo anayeitumikia Bendi ya FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’ ya Bongo, Patchou Mwamba ‘Tajiri’ ameibuka na kufungukia skendo ya kufumaniwa iliyosambaa kwa kasi kama moto wa kifuu, Ijumaa Wikienda linakupa mchapo kamili. ‘Mzee wa Ngwasuma’, Patchou Mwamba ‘Tajiri’ akiwa ndani ya Ofisi za...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Ndugu washtakiwa ugaidi wagonga mwamba

MAHAKAMA Kuu ya Vuga mjini hapa, imetupilia mbali ombi la dharura lililofunguliwa na jamaa wa watuhumiwa wanaoshitakiwa kwa makosa ya ugaidi katika mahakama za Tanzania Bara. Akisoma uamuzi huo, Jaji...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mazungumzo Sudan Kusini yagonga mwamba

Mazungumzo ya kutatua mzozo unaokumba Sudan Kusini yamegonga mwamba, saa kadhaa kabla ya UN kuwawekea makataa wanaohusika.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani