Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mcheza Filamu wa Hollywood,apata ajali

Mcheza Filamu wa Hollywood, Harrison Ford anapatiwa matibabu hospitali ya Los Angels

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Mdogo wa kiume wa Lupita Nyong’o, Peter Nyong’o apata shavu la kwanza la kuigiza filamu ya Hollywood

Mdogo wa kiume wa mwigizaji wa Kenya, Lupita Nyong’o aitwaye Peter Nyong’o ameanza kufata nyayo za dada yake kwa kupata shavu la kuigiza kwenye filamu mpya huko Hollywood. Peter amepata nafasi ya kucheza kwenye filamu ya ‘Nocturnal Animals’ ya Tom Ford ambayo itatoka mwakani 2016. Hii itakuwa ndio mara yake ya kwanza kugiza kwenye filamu […]

 

11 years ago

Tanzania Daima

DC wa Karagwe apata ajali

MKUU wa Wilaya ya Karagwe mkoani Kagera, Darry Rwegasira amepata ajali katika Kijiji cha Kalebezo, Kata ya Nyamirembe Wilayani Chato mkoani Geita juzi. Akizungumza kwa njia ya simu na Tanzania...

 

9 years ago

Vijimambo

NAPE APATA AJALI

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye amepata ajali mbaya jana usiku akiwa njiani kuelekea Lindi akitokea jijini Dar es Salaam.

Nape ambaye pia ni mgombea Ubunge wa Jimbo la Mtama, Lindi alipata ajali hiyo baada ya tairi la mbele la gari aliyokuwa akiendesha aina ya Toyota Land Cruiser kupasuka na kupinduka mara kadhaa katika eneo la Nyangao mkoani Lindi.

Katika gari hilo, Nape alikuwa peke yake na ndiye alikuwa akiendesha gari hilo ambapo amepata majeraha...

 

11 years ago

GPL

GABO APATA AJALI

Stori: Deogratius Mongela
MWIGIZAJI wa Bongo Movies, Salim Ahmed ‘Gabo’ amepata ajali mbaya ya gari maeneo ya Kiwalani jijini Dar.Kwa mujibu wa chanzo makini, Gabo aliyekuwa katika gari binafsi, aligongana na gari lingine na kupata jeraha mguuni hivyo kulazimika kulazwa kwa takriban wiki tatu kisha kuruhisiwa mwishoni mwa wiki iliyopita. Mwigizaji wa Bongo Movies, Salim Ahmed ‘Gabo’ Akizungumza na...

 

11 years ago

GPL

SHAMSA APATA AJALI

MWANADADA Bongo Movies, Shamsa Ford amenusurika kifo baada ya gari lake kugongana na lingine. Mwanadada Shamsa Ford. Akichonga na paparazi wetu, Shamsa alisema tukio hilo lilitokea juzikati maeneo ya Sayansi akiwa na gari aina ya Noah aliligonga gari aina ya Vitz na magari yote yakaharibika vibaya lakini bahati nzuri hawakuumia. “Kweli ni Mungu tu maana ajali ilikuwa mbaya, nashukuru sijaumia ila gari langu ndilo...

 

11 years ago

GPL

MR. NICE APATA SHAVU LA KUFANYA FILAMU NCHNI DENMARK

Mr. Nice (kulia). Mwanamuziki aliyevuma sana kipindi cha nyuma Mr. Nice amealikwa kufanya filamu mpya na kampuni ya VAD production iliyopo nchini Denmark inayomilikiwa na mtanzania anayeishi nchini humo Mr. Babingwa.Katika mwaliko huo Mr. Mr nice alipata nafasi ya kufanya mahojiano na mtangazaji wa Swahili talk radio ya nchini humo.

 

11 years ago

Mwananchi

Opra Winfrey apata haki kuonyesha filamu ya Mandela

Mwanamama mwenye ushawishi Duniani Opra Winfrey, kupitia Kituo chake cha runinga cha ‘OWN’, amepata haki ya kuonyesha filamu ya marehemu Mandela iitwayo ‘Long Walk to Freedom’.

 

11 years ago

GPL

ALEX MSAMA APATA AJALI

Alex Msama akiwa hospitali baada ya ajali. Kulia ni Mwenyekiti wa Bongo Movies, Steve Nyerere. Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama amepata ajali baada ya gari alilokuwa akisafiria kupinduka wakati akielekea mkoani Dodoma. Kwa sasa Msama anapatiwa matibabu katika hospitali moja mjini…

 

10 years ago

GPL

PASTOR MYAMBA APATA AJALI

Taswira baada ya ajali hiyo. STAA wa filamu za Kibongo, anayepatia zaidi kuigiza kama Mchungaji, Emmanuel Myamba ‘Pastor Myamba’ amepata ajali baada ya gari lake aina ya Toyota Creasta kugongwa na gari lingine leo mchana katikati ya Boko na Bunju jijini Dar es Salaam. Katika ajali hiyo, hakuna mtu aliyejeruhiwa zaidi ya magari hayo mawili kuharibika. Kwa mujibu wa Pastor Myamba, dereva aliyekuwa akiendesha gari...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani