Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mchezea nyoka aiomba serikali ijali sanaa za asili

NA VICTORIA PATRICK (TSJ)

MSANII anayechezea nyoka ambaye alikuwa nchini Marekani kwa takribani miaka 10, Salma Mushi, amezitaka idara zinazohusika na utoaji wa kazi za sanaa kwa watu wa nje na kwa wasanii wa ndani itende haki kwa wasanii wote nchini.

Alisema kama serikali ina uwezo wa kuwapeleka wasanii wa muziki wa Bongo Fleva, kwa nini isiwape nafasi kama hiyo wasanii wa sanaa za asili kwa kuwa sanaa hizo zinatangaza nchi nje kupitia mavazi, ngoma na muziki wa asili, kiasi cha kuvutia...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali ijali wafanyakazi kwa vitendo — RAAWU

KATIBU wa Chama cha Wafanyakazi wa taasisi za Elimu ya Juu, Habari, Ufundi na Utafuti (RAAWU) Mkoa wa Dodoma, Ramadhan Mwendwa, ameitaka serikali kutumia vema Siku ya Wafanyakazi (Mei Mosi)...

 

10 years ago

Vijimambo

MTOTO WA NYOKA NI NYOKA TUUUUU LeBron James Jr.



Jitiririshe na video hii na utakubari usemi wa mtoto wa nyoka ni nyoka jinsi mtoto wa LeBron James jersey number 0 {LeBron James Jr} alivyo na kipaji kama baba yake. The apple never falls far from the tree.

 

10 years ago

Mtanzania

Jaguar aiomba Serikali ipambane na dawa za kulevya

jaguarNAIROBI, Kenya

MSANII wa muziki nchini Kenya, Charles Kanyi ‘Jaguar’, ameiomba Serikali nchini humo ianzishe mashindano ya shule ili iondoe muda wa wanafunzi kutumia dawa za kulevya.

Jaguar alisema vijana wengi wanaokimbia shule wanakimbilia vijiweni kwa sababu hakuna michezo lakini kama michezo itaanzishwa katika shule itaondoa wanafunzi kukimbilia vijiweni.

“Serikali iangalie jinsi ya kuanzisha michezo shuleni ili kuwafanya vijana wajiingize kwenye michezo hiyo badala ya kurudi mitaani na...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mchina aiomba Serikali Bilioni 3 kujenga jengo la Halmashauri Singida

DSC03668

Mkurugenzi wa halmashauri ya manispaa Singida, Joseph Mchina, akizungumza kwenye kikao maalum cha kupitisha bajeti ya 2015/2016 kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa kanisa la katoliki mjini Singida. Wa pili aliyeketi ni mstahiki meya wa manispaa ya Singida na sheikh wa mkoa wa Singida, Salum Mahami na wa kwanza kushoto ni Makamu meya, Hassan Mkatana wa kwanza kulia ni Katibu tawala wilaya ya Singida.

Na Nathaniel Limu, Singida

HALMASHAURI ya manispaa ya Singida, imetoa  maombi maalum...

 

11 years ago

Michuzi

SHY-ROSE AIOMBA SERIKALI YA TANZANIA KUWEZESHA WATANZANIA WAIFAHAMU EAC NA FAIDA ZAKE

1069410_488216681262565_60269170_n Katibu wa Wabunge wa Tanzania Katika Bunge la Afrika Mashariki, Mhe. Shy-Rose Bhanji (pichani) amerejea nchini baada ya ziara ya siku 10 ya Wabunge wa EALA nchini Kenya na hicho ndicho alichokisema kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. ---------------------------------- Nimerejea nchini baada ya ziara ya siku 10 nchini Kenya. Ziara hii ya wabunge wa EALA ilikuwa kwa mwaliko wa Serikali ya Kenya lengo likiwa kuhamasisha wananchi wa Kenya kupata ufahamu mkubwa juu ya Mtangamano...

 

11 years ago

GPL

SHY-ROSE AIOMBA SERIKALI YA TANZANIA KUWEZESHA WATANZANIA WAIFAHAMU EAC NA FAIDA ZAKE‏

Katibu wa Wabunge wa Tanzania Katika Bunge la Afrika Mashariki, Mhe. Shy-Rose Bhanji (pichani) amerejea nchini baada ya ziara ya siku 10 ya Wabunge wa EALA  nchini Kenya na hicho ndicho alichokisema kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Nimerejea nchini baada ya ziara ya siku 10 nchini Kenya. Ziara hii ya wabunge wa EALA ilikuwa kwa mwaliko wa Serikali ya Kenya lengo likiwa kuhamasisha wananchi wa Kenya kupata...

 

10 years ago

Zitto Kabwe, MB

VIDEO: Mhe. Zitto Kabwe aiomba serikali kuangalia upya muswaada wa sheria ya kazi baada ya kubainisha mapungufu ya muswada huo.

Mbunge wa Kigoma Mhe. Zitto Kabwe aiomba serikali kuangalia upya muswaada wa sheria ya kazi baada ya kubainisha mapungufu ya muswada huo.


 

5 years ago

Michuzi

MTAFITI WA DAWA ZA MITISHAMBA AIOMBA SERIKALI KUICHUNGUZA DAWA YAKE YA CORONA ALIYOIGUNDUA.

Na Woinde Shizza ,ARUSHA
Mtafiti wa Dawa za asili aliyejulikana kwa jina la Rose Roberty (changa Muja) ameiomba Serikali kumsaidia kupima dawa aliyogundua na kuifanyia majaribio kuona kama inatibu ugonjwa wa Corona (Covid-19)
Akiongea na waandishi wa habari  leo  nyumbani kwake,Rose alieleza kuwa  ameweza kugundua dawa ambayo inaweza ikatibu ugonjwa huu ambao unaotikisa dunia ,na anaimani kabisa dawa hiyo itaweza kuponya ugonjwa huo.
Alisema dawa hiyo inatokana na mchanganyiko wa miti shamba...

 

10 years ago

BBCSwahili

Dawa ya nyoka ni nyoka

Watafiti wanyonya sumu ya nyoka itayowatibu watu wanaotafunwa na nyoka Afrika

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani