Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHY-ROSE AIOMBA SERIKALI YA TANZANIA KUWEZESHA WATANZANIA WAIFAHAMU EAC NA FAIDA ZAKE‏

Katibu wa Wabunge wa Tanzania Katika Bunge la Afrika Mashariki, Mhe. Shy-Rose Bhanji (pichani) amerejea nchini baada ya ziara ya siku 10 ya Wabunge wa EALA  nchini Kenya na hicho ndicho alichokisema kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Nimerejea nchini baada ya ziara ya siku 10 nchini Kenya. Ziara hii ya wabunge wa EALA ilikuwa kwa mwaliko wa Serikali ya Kenya lengo likiwa kuhamasisha wananchi wa Kenya kupata...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

SHY-ROSE AIOMBA SERIKALI YA TANZANIA KUWEZESHA WATANZANIA WAIFAHAMU EAC NA FAIDA ZAKE

1069410_488216681262565_60269170_n Katibu wa Wabunge wa Tanzania Katika Bunge la Afrika Mashariki, Mhe. Shy-Rose Bhanji (pichani) amerejea nchini baada ya ziara ya siku 10 ya Wabunge wa EALA nchini Kenya na hicho ndicho alichokisema kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. ---------------------------------- Nimerejea nchini baada ya ziara ya siku 10 nchini Kenya. Ziara hii ya wabunge wa EALA ilikuwa kwa mwaliko wa Serikali ya Kenya lengo likiwa kuhamasisha wananchi wa Kenya kupata ufahamu mkubwa juu ya Mtangamano...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Masoko ya fedha, dhamana za serikali na faida zake

ASILIMIA kubwa ya watanzania hawafahamu maana ya masoko ya fedha, soko la dhamana za serikali na faida zake, jambo linalowafanya wengi kuwekeza mamilioni ya fedha kwenye biashara ambazo mwisho wa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Shy-Rose akaangwa

HOJA binafsi ya kumjadili mbunge Shy-Rose Bhanji wa Tanzania ndani ya Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA), limeingia katika sura mpya baada bunge hilo kuahirishwa tena jana muda mfupi...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Shy-Rose awekwa Kiporo

HOJA binafsi ya kumuwajibisha  Mbunge wa Tanzania katika  bunge la Afrika Mashariki(EALA) Shy –Rose  Bhanji imewekwa kiporo  baada ya bunge hilo malizika mjini Kigali jana hadi litakapopitishwa tena. Suala la...

 

10 years ago

Habarileo

Wabunge waahidi kumtetea Shy-Rose

MBUNGE wa Bunge la Afrika Mashariki, Twaha Tasilima, amesema wabunge wenzake wa Tanzania waliopo kwenye Bunge hilo, watasimama kidete kumtetea mbunge mwenzao, Shy-Rose Bhanji kwani hajatendewa haki ya kusikilizwa juu ya tuhuma anazoshutumiwa na wenzake.

 

10 years ago

Michuzi

Benki ya Exim yatambulisha Kadi ya Faida EMV kuwezesha miamala salama

 Mkuu wa Hazina wa Benki ya Exim, George Shumbusho, akikata utepe kutambulisha kadi ya “Faida EMV Debit Card” itakayochukua nafasi ya “Magnetic Stripe Faida Debit Card” iliyokua ikitumika hapo awali. Ameambatana na Mkuu wa Kitengo cha kudhibiti majanga wa Benki ya Exim, David Lusala (kulia) na Afisa masoko wa benki hiyo, Noel Tuga.  Kadi hiyo hutoa usalama wa hali ya juu kutokana na uwepo wa ‘embedded chip’ inayodadavua taarifa za mteja kwa kutumia mfumo madhubuti wa kiusalama hivyo...

 

10 years ago

Mwananchi

Shy-Rose ‘amponza’ Spika Zziwa wa Eala

Bunge la Afrika Mashariki limemsimamisha kwa siku 21 Spika wake, Dk Margaret Zziwa huku likifufua hoja ya kumwondoa kiongozi huyo madarakani ambayo iliwekwa kando Aprili 1, mwaka huu.

 

10 years ago

Mwananchi

Wabunge tisa wajiuzulu kumpinga Shy-Rose

Mgogoro ndani ya Bunge la Afrika Mashariki (Eala) umechukua sura mpya baada ya wabunge tisa, wakiwamo makamishna watano na wenyeviti wanne wa kamati za Bunge hilo, kuwasilisha barua za kujiuzulu nafasi zao hizo, ikiwa ni matokeo ya sakata linalomhusisha mbunge mwenzao kutoka Tanzania, Shy-Rose Bhanji (pichani).

 

10 years ago

Mwananchi

Shy-Rose, Spika Zziwa kikaangoni tena

Bunge la Afrika Mashariki (Eala) limeitishwa tena, zamu hii jijini Nairobi, Kenya ambako litakutana kuanzia leo mchana, huku kukiwa na shinikizo kubwa kutoka kwa wabunge 32 linalotaka kung’olewa kwa Spika wa Bunge hilo, Dk Margaret Zziwa na kuwajibishwa kwa mbunge kutoka Tanzania, Shy-Rose Bhanji.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani