Mchujo wa Necta kuanzia darasa la pili
Na Fredy Azzah, Dar es Salaam
BARAZA la Taifa la Mitihani (Necta) limesema ili kutekeleza sera ya elimu ya mwaka 2014, watoto wataanza kukariri darasa kuanzia wakiwa darasa la pili.
Alisema hatua hiyo itachukuliwa endapo watashindwa mtihani wa kujipima ambao utaanza rasmi mwakani kwa wanafunzi wa ngazi hiyo ya elimu.
Katibu Mtendaji wa Necta, Dk. Charles Msonde, aliyasema hayo mwishoni mwa wiki alipozungumza na gazeti hili.
Alisema kufanyika kwa mitihani hiyo kunakwenda sambamba na...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi18 Dec
Nusu ya wanafunzi darasa la saba hawawezi Kiingereza cha darasa la pili
11 years ago
Habarileo28 Apr
Darasa la Pili hoi kitaaluma
TATHMINI ya msingi ya Taifa kupima uwezo wa Kusoma, Kuandika na Kuhesabu (KKK) kwa wanafunzi wa Darasa la Pili, imebaini kuwa asilimia 98 ya wanafunzi wa darasa hilo nchini, hawaelewi wanachokisoma. Kwa mujibu wa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa, tathmini hiyo ilifanywa kwa baraka za wizara yake kwa kushirikiana na Shirika la Misaada la Marekani (USAID), ili kupata taarifa kuhusu hali halisi ilivyo kwa wanafunzi wa Tanzania, kumudu stadi za KKK wanapofika Darasa la...
10 years ago
VijimamboMsimu wa pili wa Darasa la Kiswahili waanza rasmi DMV
Awamu ya pili ya Darasa la Kiswahili kwa watoto waishio Washington DC na vitongoji vyake umeanza Jumamosi ya Januari 24, 2015. Rais wa Jumuiya Bw Iddi Sandaly alipata fursa ya kuzungumza nasi kwa ufupi kuhusu darasa hilo.
Karibu umsikilize
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/77DaykjQvug/default.jpg)
9 years ago
BBCSwahili13 Nov
Michezo ya mchujo kombe la dunia
10 years ago
Habarileo04 Sep
Mchujo wagombea Chadema waanza
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kinaanza kufanya mchujo kwa watu 284 waliojitokeza kuwania kuteuliwa kugombea nafasi mbalimbali za uongozi kwenye chama hicho.
11 years ago
Tanzania Daima03 Aug
Mchujo FEASSSA kuanza Agosti 10
MCHUJO wa kufuzu ushiriki wa michuano ya Shule za Sekondari za Afrika Mashariki (FEASSSA) unatarajiwa kuanza Agosti 10 katika viwanja vya Shule ya Sekondari Makongo, jijini Dar es Salaam. Kwa...
9 years ago
BBCSwahili19 Aug