Darasa la Pili hoi kitaaluma
TATHMINI ya msingi ya Taifa kupima uwezo wa Kusoma, Kuandika na Kuhesabu (KKK) kwa wanafunzi wa Darasa la Pili, imebaini kuwa asilimia 98 ya wanafunzi wa darasa hilo nchini, hawaelewi wanachokisoma. Kwa mujibu wa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa, tathmini hiyo ilifanywa kwa baraka za wizara yake kwa kushirikiana na Shirika la Misaada la Marekani (USAID), ili kupata taarifa kuhusu hali halisi ilivyo kwa wanafunzi wa Tanzania, kumudu stadi za KKK wanapofika Darasa la...
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi18 Dec
Nusu ya wanafunzi darasa la saba hawawezi Kiingereza cha darasa la pili
9 years ago
Mtanzania23 Nov
Mchujo wa Necta kuanzia darasa la pili
Na Fredy Azzah, Dar es Salaam
BARAZA la Taifa la Mitihani (Necta) limesema ili kutekeleza sera ya elimu ya mwaka 2014, watoto wataanza kukariri darasa kuanzia wakiwa darasa la pili.
Alisema hatua hiyo itachukuliwa endapo watashindwa mtihani wa kujipima ambao utaanza rasmi mwakani kwa wanafunzi wa ngazi hiyo ya elimu.
Katibu Mtendaji wa Necta, Dk. Charles Msonde, aliyasema hayo mwishoni mwa wiki alipozungumza na gazeti hili.
Alisema kufanyika kwa mitihani hiyo kunakwenda sambamba na...
10 years ago
VijimamboMsimu wa pili wa Darasa la Kiswahili waanza rasmi DMV
Awamu ya pili ya Darasa la Kiswahili kwa watoto waishio Washington DC na vitongoji vyake umeanza Jumamosi ya Januari 24, 2015. Rais wa Jumuiya Bw Iddi Sandaly alipata fursa ya kuzungumza nasi kwa ufupi kuhusu darasa hilo.
Karibu umsikilize
9 years ago
Bongo514 Nov
New Music: Layla (The Voice Fairy) — Hoi Hoi
![12237221_1669908713222926_427056748_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/12237221_1669908713222926_427056748_n-300x194.jpg)
Wimbo wa msanii anayechipukia, Layla A. Walden aka The Voice Fairy uitwao ‘Hoi Hoi.’ Umetayarishwa kwenye studio za AM Records.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
11 years ago
BBCSwahili15 Jul
Ni shangwe na hoi hoi Ujerumani
10 years ago
Habarileo18 Oct
‘Waandishi wa habari waendelezwe kitaaluma
SERIKALI za Afrika zimetakiwa kuwekeza katika kuendeleza waandishi wa habari kitaaluma, ili kuendeleza jamii nzima za Afrika.
10 years ago
Habarileo14 Jan
Wafanyakazi NHIF watakiwa kujiendeleza kitaaluma
WATUMISHI wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) wametakiwa kujiendeleza kitaaluma ili kuongeza ufanisi na kuzikabili changamoto za sekta ya bima ya afya.
10 years ago
Michuzi11 Jun
Sasa Leo Twende Kitaaluma Kidogo na tzNIC
Umesha jiulizaga kwanini kuna .co, .or, .go, .ac, nakadhalika. Katika Domain Name System (DNS) yani mfumo wa domain kuna ngazi tofauti. Leo nataka tuongelee SLD yani Second Level Domain au ngazi ya pili ya domain ambayo hii iko punde tuu baada ya Top Level Domain (TLD).
Mfano .co katika .co.tz ni SLD wakati .tz ni TLD (Top Level Domain). Kwa kawaida Second Level Domain (SLD) huwa ina tambulisha shirika (organization) linalo sajili hio domain liko katika mfumo gani au ni la aina gani. Kwa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bquVoc42xDNusI8Z4VmqCTjk1xJFdcwKJwjFclHWtqS7zhUlkF9IVifyzTp9EPYEgQXOXyW0qM3K3IJNgT9Ipf9R4DymXZf8/001.jpg?width=650)
VODACOM YAENDELEA KUJENGA WANAFUNZI KITAALUMA