Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mdau Alamba Nondoooz

 Mdau Bryan Becon akiwa na mdogo wake Rodney Becon na mama yake Mrs Becon mara baada  ya kula nondoz ya degree ya Business Management kutoka chuo cha Aston University, Birmingham Uingereza 24 July 2014. Uongozi wa Giraffe Ocean View Hotel na Tanga Beach Resort unamtakia kila la kheri.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

mdau deo alamba nondozzzz

Mdau mkongwe wa Globu ya Jamii Deogratius Dotto jana kalamba nondozzz ya  Elimu ya Jamii katika Utawala wa Umma (Master of Arts in Public Administration) katika Chuo Kikuu cha Dar es salaam. Nasi hapa chumba cha habari tunampa pongezi sana sana na kumtakia safari njema kuelekea PhD ambayo tayari  amekwishaianza...Hongera mdau Deo!

 

10 years ago

Michuzi

Mdau Khamis Mkotya alamba nondozz yake

Mhariri Msanifu wa Gazeti la Mtanzania, Khamis Mkotya ametunukiwa Shahada ya Sayansi ya Jamii katika Siasa, Uongozi na Utawala (Political Scince and Public Administration), baada ya kuhitimu masomo yake ya elimu ya juu.
Mkotya pamoja na wahitimu wengine walitunukiwa shahada zao mwishoni mwa wiki wakati wa mahafali ya 26 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania yaliyofanyika eneo la Bungo, Kibaha mkoani Pwani.
Wahitimu wote walitunukiwa shahada zao na Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha...

 

10 years ago

Michuzi

MDAU MISANYA BINGI ALAMBA NONDOZZZZ YA PHD

Aliyepata kuwa mtangazaji mahiri wa ITV ambaye sasa ni mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Dar es salaam jana kala nondozzzz yake ya PhD na sasa anajulikana kama Dkt Misanya Bingi. Globu ya Jamii inakupongeza kwa hatua hiyo na kukuombea wepesi huko kwenye Uprofesa unakoelekea, hasa baada ya kutetea vyema andiko lako la "Female Circumcision" kwenye thesis yako. Nadhani wanafunzi wako wote hapo Sociology Dept. wanafurahi.

 

10 years ago

Michuzi

Mdau Saida Yunus Chui alamba nondozzz

Mdau Saida Yunus Chui akiwa ni mwenye furaha sana muda mfupi baada ya kula Nondozz yake ya Master School of Improvement and Education Leadership katika Chuo Kikuu cha Birmingham University, kule kwa Bibi (Uk).Mdau Saida Yunus Chui akiwa akiwa ndani ya ukumbi wa Chuo Kikuu cha Birmingham University, tayari kwa kula Nondozz yake ya Master School of Improvement and Education Leadership.Mdau Saida Yunus Chui akiwa na hazbendi wake,Ahmed Mashaka (kulia) pamoja na Dada yake mada baada ya kula...

 

10 years ago

Michuzi

Mdau Zainab Mwinyijuma alamba nondozz yake

Mdau Zainab Rajab Mwinyijuma (wa tatu kulia) akiwa na wahitimu wenzake wa BACHELOR OF SCIENCE IN NURSING" katika mahafali ya Chuo Kikuu cha The University Of Northampon,UK. Mdau Zainab Rajab Mwinyijuma akiwa na Mumewe pamoja na watotowao.Mdau Zainab Rajab Mwinyijuma akiwa na Mama.

 

9 years ago

Michuzi

mdau leticia mutaki alamba nondozzzz nchini Malta

Mdau wa Globu ya Jamii Leticia Mutaki (kati) wa SUMATRA Dar es salaam akifurahia na wadau baada ya kulamba nondozzzz yake ya Master of Law in Martime International huko nchini MALTA hivi karibuni. Hongera sana mdau Leticia.

 

10 years ago

Michuzi

mdau Zainab Rajab Mwinyijuma alamba nondozzzz uingereza

 Zainab Rajab Mwinyijuma akiwa anasubiria kuitwa kupokea nondozzz yake ya   "BACHELOR OF SCIENCE IN NURSING" katika  Chuo Kikuu cha The University Of Northampon Uingerezea akiwa na wahatimu wenziwe wikiendi hii  Zainab Rajab Mwinyijuma akiwa na mai hazbendi wake Mbegu Diego na familia yao baada ya kulamba nondozzzz yake Zainab Rajab Mwinyijuma akiwa na mama yake mzazi baada ya kulamba nondozzzz yake

 

10 years ago

Dewji Blog

Mdau Asia Kinjenga alamba digrii ya elimu ya jamii — Soshiolojia UDSM

DSC_0698

Asia Kinjenga (kulia) akiwa na nyuso ya furaha pamoja na mwenzie Felician Francis baada ya kumaliza digrii ya elimu ya jamii katika sosholojia wakati wa mahafali ya 48 ya chuo kikuu cha Dar es salaam hivi karibuni.

DSC_0691

Asia Kinjenga (wa pili kulia) akiwa na wahitimu wenzie wa mahafali ya 48 katika chuo kikuu cha Dar es salaam.

DSC_0727

Asia Kinjenga.

DSC_0732

Asia Kinjenga kulia akipongezwa kwa kuvalishwa shada la mauwa na mama yake mzazi Bi, Anchimole Lutengano  wakati wa mahafali ya 48 ya chuo kikuu cha Dar...

 

10 years ago

Michuzi

mdau Peter Samanya Msacky alamba nondozzzz Chuo Kikuu Mzumbe

Katika mahafali ya 13 katika chuo kikuu Mzumbe yaliyofanyika Ijumaa katika kampasi kuu Mzumbe, Morogoro mdau Peter Samanya Msacky alilamba nondozzz ya Uzamili ya Uhasibu na Fedha (MSc in Accounting and Finance) ya Chuo Kikuu Mzumbe (MU). Bwana Msacky akipongezwa na mke wake mpendwa Judith mara tu baada ya kutunukiwa Shahada ya UzamiliGlad akimpongeza baba yake kwa mafanikio aliyopata kwa kutunukiwa Shahada ya Uzamili, anaonekana akimhakikishia baba yake kuwa hata yeye atajitahidi katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani