MDAU MISANYA BINGI ALAMBA NONDOZZZZ YA PHD
Aliyepata kuwa mtangazaji mahiri wa ITV ambaye sasa ni mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Dar es salaam jana kala nondozzzz yake ya PhD na sasa anajulikana kama Dkt Misanya Bingi. Globu ya Jamii inakupongeza kwa hatua hiyo na kukuombea wepesi huko kwenye Uprofesa unakoelekea, hasa baada ya kutetea vyema andiko lako la "Female Circumcision" kwenye thesis yako. Nadhani wanafunzi wako wote hapo Sociology Dept. wanafurahi.
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzimdau deo alamba nondozzzz
Mdau mkongwe wa Globu ya Jamii Deogratius Dotto jana kalamba nondozzz ya Elimu ya Jamii katika Utawala wa Umma (Master of Arts in Public Administration) katika Chuo Kikuu cha Dar es salaam. Nasi hapa chumba cha habari tunampa pongezi sana sana na kumtakia safari njema kuelekea PhD ambayo tayari amekwishaianza...Hongera mdau Deo!
10 years ago
Michuzimdau Zainab Rajab Mwinyijuma alamba nondozzzz uingereza
Zainab Rajab Mwinyijuma akiwa anasubiria kuitwa kupokea nondozzz yake ya "BACHELOR OF SCIENCE IN NURSING" katika Chuo Kikuu cha The University Of Northampon Uingerezea akiwa na wahatimu wenziwe wikiendi hii Zainab Rajab Mwinyijuma akiwa na mai hazbendi wake Mbegu Diego na familia yao baada ya kulamba nondozzzz yake Zainab Rajab Mwinyijuma akiwa na mama yake mzazi baada ya kulamba nondozzzz yake
9 years ago
Michuzimdau leticia mutaki alamba nondozzzz nchini Malta
Mdau wa Globu ya Jamii Leticia Mutaki (kati) wa SUMATRA Dar es salaam akifurahia na wadau baada ya kulamba nondozzzz yake ya Master of Law in Martime International huko nchini MALTA hivi karibuni. Hongera sana mdau Leticia.
10 years ago
Michuzimdau Peter Samanya Msacky alamba nondozzzz Chuo Kikuu Mzumbe
Katika mahafali ya 13 katika chuo kikuu Mzumbe yaliyofanyika Ijumaa katika kampasi kuu Mzumbe, Morogoro mdau Peter Samanya Msacky alilamba nondozzz ya Uzamili ya Uhasibu na Fedha (MSc in Accounting and Finance) ya Chuo Kikuu Mzumbe (MU). Bwana Msacky akipongezwa na mke wake mpendwa Judith mara tu baada ya kutunukiwa Shahada ya UzamiliGlad akimpongeza baba yake kwa mafanikio aliyopata kwa kutunukiwa Shahada ya Uzamili, anaonekana akimhakikishia baba yake kuwa hata yeye atajitahidi katika...
10 years ago
Michuzimdau saidi mkwawa atetea utafiti wake, ala nondozzzz...kiulainiiiii....
Mdau Mhandisi Saidi Mkwawa wa wakala wa ukaguzi Madini Tanzania (TMAA) akiwa anatetea utafiti wake ili apate nondozz ya Master of Engineering Science (Metallurgy) katika Chuo kikuu cha curtin university, campus ya Western Australia School of Mine hivi karibuni. Utetezi ulipita kwa mafanikio Mdau Mhandisi Mkwawa wa wakala wa ukaguzi wa Madini Tanzania (TMAA) akitoa neno la shukrani kwa wafadhili kwa niaba ya wenzake mara baada ya kutunikiwa nondozzzz ya Master of Engineering Science...
10 years ago
MichuziEng. Ahmed Dau Alamba Nondozzzz ya Masters of Science Degree in Petroleum, Energy, Economics and Finance katika Chuo Kikuu cha Aberdeen
Eng. Ahmed Dau akila pozi baada ya kulamba Nondozzzz ya Masters of Science Degree in Petroleum, Energy, Economics and Finance katika Chuo Kikuu cha Aberdeen Eng. Ahmed na Wazazi wake Dr Ramadhani K Dau na Mrs Zeinab Dau Kwenye mahafari Chuo Kikuu cha Aberdeen Waliosimama kutoka kushoto Meya wa London Haruna Mbeyu, Abdul Dau, Mohamed Janguo, Kheri Mahimbali (MSc oil and gas class of Feb 2014 Aberdeen). Walioketi kutoka kushoto Dr Ramadhani K Dau, Eng. Ahmed Dau na Mrs Zeinab Dau. Kwa picha...
11 years ago
MichuziMdau Alamba Nondoooz
Mdau Bryan Becon akiwa na mdogo wake Rodney Becon na mama yake Mrs Becon mara baada ya kula nondoz ya degree ya Business Management kutoka chuo cha Aston University, Birmingham Uingereza 24 July 2014. Uongozi wa Giraffe Ocean View Hotel na Tanga Beach Resort unamtakia kila la kheri.
10 years ago
VijimamboObed Hugh Ligate Alamba Nondo ya PhD University of North America, VA Leo
Dr. Obed Hugh Ligate Akipokea Cheti Chake cha PhD in Business Administration kutoka kwa Chairman wa Chuo Cha University of North America,VA PhD in Business Administration Dr.Obed Ligate akifurahia na Mkewe Leah Nkurlu-Ligate Kuhitimu Masomo yake Dr.Obed Ligate na wanae Liz na JuniorDr.Ligate akiwa na wawakilishi wa Familia Guy na mkewe Esiday kwenye sherehe za kusimikwa PhDDr.Obed Ligate akitoa Mada na Kuwashukuru Wanachuo kwa Kumtunza na PhD
10 years ago
MichuziMdau Saida Yunus Chui alamba nondozzz
Mdau Saida Yunus Chui akiwa ni mwenye furaha sana muda mfupi baada ya kula Nondozz yake ya Master School of Improvement and Education Leadership katika Chuo Kikuu cha Birmingham University, kule kwa Bibi (Uk).Mdau Saida Yunus Chui akiwa akiwa ndani ya ukumbi wa Chuo Kikuu cha Birmingham University, tayari kwa kula Nondozz yake ya Master School of Improvement and Education Leadership.Mdau Saida Yunus Chui akiwa na hazbendi wake,Ahmed Mashaka (kulia) pamoja na Dada yake mada baada ya kula...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania