Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


mdau saidi mkwawa atetea utafiti wake, ala nondozzzz...kiulainiiiii....

Mdau  Mhandisi Saidi Mkwawa wa wakala wa ukaguzi Madini Tanzania (TMAA) akiwa anatetea utafiti wake ili apate nondozz ya Master of Engineering Science (Metallurgy) katika Chuo kikuu cha curtin university, campus ya  Western Australia School of Mine hivi karibuni. Utetezi ulipita kwa mafanikio Mdau Mhandisi Mkwawa wa wakala wa ukaguzi wa Madini Tanzania (TMAA) akitoa neno  la shukrani kwa wafadhili kwa niaba ya wenzake mara baada ya kutunikiwa nondozzzz ya Master of Engineering Science...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

mdau deo alamba nondozzzz

Mdau mkongwe wa Globu ya Jamii Deogratius Dotto jana kalamba nondozzz ya  Elimu ya Jamii katika Utawala wa Umma (Master of Arts in Public Administration) katika Chuo Kikuu cha Dar es salaam. Nasi hapa chumba cha habari tunampa pongezi sana sana na kumtakia safari njema kuelekea PhD ambayo tayari  amekwishaianza...Hongera mdau Deo!

 

10 years ago

Michuzi

MDAU MISANYA BINGI ALAMBA NONDOZZZZ YA PHD

Aliyepata kuwa mtangazaji mahiri wa ITV ambaye sasa ni mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Dar es salaam jana kala nondozzzz yake ya PhD na sasa anajulikana kama Dkt Misanya Bingi. Globu ya Jamii inakupongeza kwa hatua hiyo na kukuombea wepesi huko kwenye Uprofesa unakoelekea, hasa baada ya kutetea vyema andiko lako la "Female Circumcision" kwenye thesis yako. Nadhani wanafunzi wako wote hapo Sociology Dept. wanafurahi.

 

9 years ago

Michuzi

mdau leticia mutaki alamba nondozzzz nchini Malta

Mdau wa Globu ya Jamii Leticia Mutaki (kati) wa SUMATRA Dar es salaam akifurahia na wadau baada ya kulamba nondozzzz yake ya Master of Law in Martime International huko nchini MALTA hivi karibuni. Hongera sana mdau Leticia.

 

10 years ago

Michuzi

mdau Zainab Rajab Mwinyijuma alamba nondozzzz uingereza

 Zainab Rajab Mwinyijuma akiwa anasubiria kuitwa kupokea nondozzz yake ya   "BACHELOR OF SCIENCE IN NURSING" katika  Chuo Kikuu cha The University Of Northampon Uingerezea akiwa na wahatimu wenziwe wikiendi hii  Zainab Rajab Mwinyijuma akiwa na mai hazbendi wake Mbegu Diego na familia yao baada ya kulamba nondozzzz yake Zainab Rajab Mwinyijuma akiwa na mama yake mzazi baada ya kulamba nondozzzz yake

 

9 years ago

Michuzi

SAIDI FELLA ALA KIAPO CHA UDIWANI KATA YA KILUNGULE.


Mkurugenzi wa Kituo cha Mkubwa na Wanawe Said Hassan maarufu kwa jina la Mkubwa Fella leo amekula kiapo cha kuwatumikia wakazi wa Kata y Kilungule kwa ngazi ya Udiwani. Baada ya kula kiapo hicho Fella alikua na haya ya kuzungumza "Kwanza nashukuru Mungu pili Wadau wangu wotekwa Kata yetu ya Kilungule, na Tasnia yetu ya sanaa nawashukuru wasanii wote walio nisapot pia namshukuru sana rafiki wetu wa wasanii Mh Jakaya Kikwete na Rafiki yangu January Makamba"​.

 

10 years ago

Michuzi

mdau Peter Samanya Msacky alamba nondozzzz Chuo Kikuu Mzumbe

Katika mahafali ya 13 katika chuo kikuu Mzumbe yaliyofanyika Ijumaa katika kampasi kuu Mzumbe, Morogoro mdau Peter Samanya Msacky alilamba nondozzz ya Uzamili ya Uhasibu na Fedha (MSc in Accounting and Finance) ya Chuo Kikuu Mzumbe (MU). Bwana Msacky akipongezwa na mke wake mpendwa Judith mara tu baada ya kutunukiwa Shahada ya UzamiliGlad akimpongeza baba yake kwa mafanikio aliyopata kwa kutunukiwa Shahada ya Uzamili, anaonekana akimhakikishia baba yake kuwa hata yeye atajitahidi katika...

 

11 years ago

Michuzi

Mdau Saidi Yakubu becomes a Chartered Secretary

 Simon Osborne,the CEO of the Institute of Chartered Secretary and Administrators(ICSA) congratulating Advocate Saidi Yakubu after becoming an Associate Member of the Institute.The colourful Ceremony was held in Kampala,Uganda and was attended by graduands from Kenya,Uganda,Malawi,Zambia and Tanzania.ICSA is the membership and qualifying body for Company Secretaries and other professionals working in governance and compliance roles.  A cross section of the 53 new qualified ICSA...

 

10 years ago

Michuzi

MDAU MOSES MWANGENDE ALA NONDO BEIJINING-CHINA

Mtumishi wa Dar es salaam Institute of Technology(DIT),Bw.Moses  Mwangende Leo asubuhi ya Juni 24 apataDigrii ya pili (masters of software Engineering) katika chuo  cha Beijing Institute of Technology-China.Mtumishi wa Dar es salaam Institute of Technology (DIT),Bw. Moses  Mwangende nimesalimiana  na Prof.Liu  ni mmoja wa  wafanya kazi  wa  schools of software Engineering.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani