MDAU ATOA SHUKRANI KWA MICHANGO YA MATIBABU
![](http://1.bp.blogspot.com/-UCUcmFxhvhc/Vk8Wh6xtH0I/AAAAAAAIHIM/aCIdooVG_SI/s72-c/IMG-20151109-WA0004.jpg)
SHUKRANIHabari Ndugu zetu Watanzania mlio ndani na nje ya nchi nawasalimu.
Natumaini wote mko salama.Kwa niaba ya Dada yetu Ndugu yetu Mtanzania Mwenzetu AMINA ALLY JUMA na Familia yake yote kwa ujumla, Leo tunarudi kwenu kwa SHUKRANI ZA DHATI kwa Moyo kwa kujitolea kwenu kwa hali na Mali na Sala zenu.
Tangu Mwezi uliopita tulikuja kwenu kwa ajili ya kuomba msaada kwa ajili ya Dada yetu AMINA anayesumbuliwa na maradhi ya Saratani ya Damu (ACUTE AMELOID LEUKEMIA) Ambaye kwa sasa yuko nchini...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog06 Dec
Habari njema: Michango ya wasamaria wema yafanikisha Dada Joyce wa Mbeya kuwasili Muhimbili kwa matibabu
Ndugu Wasamaria wema,
Tunapenda kutumia fursa hii kuwapa updates kuhusu dada Joyce Mwambepo, mkaazi wa Sinde jijini Mbeya mwenye umri wa miaka 27 ambaye anaishi na bibi yake mwenye umri wa miaka 80 pamoja na mwanaye mwenye umri wa miaka 4.
Kwa bahati mbaya mwezi April mwaka jana dada huyu alipata ajali ya kugongwa na gari ambalo dereva wake hakusimama kumsaidia. Ila kwa msaada wa wasamaria wema alipelekwa hospitali ya rufaa ya mkoa wa Mbeya ambako inasemekana alikaa kwa miezi mitatu bila...
9 years ago
MichuziHabari njema: Michango ya wasamaria wema yafanikisha Dada Joyce wa Mbeya kuwasili Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa matibabu
Tunapenda kutumia fursa hii kuwapa updates kuhusu dada Joyce Mwambepo, mkaazi wa Sinde jijini Mbeya mwenye umri wa miaka 27 ambaye anaishi na bibi yake mwenye umri wa miaka 80 pamoja na mwanaye mwenye umri wa miaka 4.
Kwa bahati mbaya mwezi April mwaka jana dada huyu alipata ajali ya kugongwa na gari ambalo dereva wake hakusimama kumsaidia. Ila kwa msaada wa wasamaria wema alipelekwa hospitali ya rufaa ya mkoa wa Mbeya ambako inasemekana alikaa kwa miezi mitatu bila...
5 years ago
MichuziUONGOZI WA CORNEWELL TANZANIA NATUROPATH CLINIC WAAMUA KUELEZEA HUDUMA ZA MATIBABU WANAZOZITOA ,WATOA SHUKRANI KWA SERIKALI
Mkurugenzi wa Cornwell Tanzania Naturopath (wa pili kulia) Elizabeth Lema akioesha moja ya dawa asili ambayo ilikuwa ya kwanza kuisajali baada ya Rais Dk.John Magufuli kuingia madarakani ambapo ametumia nafasi hiyo kuishukuru Serikali ya Awamu ya Tano kwa namna inavyowajali na kuwapa kipaumbele.Wengine kuanzia kushoto ni Meneja Juma Meneja, Mkurugenzi Johanny Brinkman na kulia ni Dk. Ralph Brinkman.
Elizabeth Lema ambaye ni Mkurugenzi wa Cornwell Tanzania Naturopath( wa pili kulia)...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-n6WCy76NYlo/XsrRZCNIvrI/AAAAAAALrb0/BwEHMz86BIEayHjMPsKMJVSqdMTzz0bswCLcBGAsYHQ/s72-c/1-25.jpg)
PROF. KABUDI ATOA SHUKRANI KWA WATANZANIA KWA NIABA YA RAIS
![](https://1.bp.blogspot.com/-n6WCy76NYlo/XsrRZCNIvrI/AAAAAAALrb0/BwEHMz86BIEayHjMPsKMJVSqdMTzz0bswCLcBGAsYHQ/s640/1-25.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/05/2-16.jpg)
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akitoa salamu za shukrani...
9 years ago
GPL![](http://4.bp.blogspot.com/-rjjH6yJLxI0/VdaFgPgFzdI/AAAAAAAAkkc/6DvOTrTMZDc/s640/1.jpg)
NAPE ATOA SHUKRANI KWA WAKAZI WA MTAMA, AAHIDI KUTOWAANGUSHA
5 years ago
MichuziKIWANDA KURUDISHA SHUKRANI KWA RAIS MAGUFULI KWA KUGAWA CHAKI BURE ...DC JOKATE MWEGELO ATOA NENO
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani Jokate Mwegelo(aliyevaa nguo nyekundu),Katibu Tawala wa wilaya hiyo Tella Mwampamba(kulia) wakiwa na baadhi ya wafanyakazi na viongozi wa kiwanda cha kutengeneza chaki cha Mkongoma General Supply Ltd wakishuhudia taa zikiwaka baada ya Shirika la Umeme Tanzania(TANESCO) wilayani humo kupeleka umeme katka kiwanda hicho.
Mkurugenzi Mkuu wa Kiwanda cha Mkongoma General Supply Ltd Geoffrey Mkongoma (kulia) akifafanua jambo kwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe...
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/01/DSC_00191.jpg)
MZEE ARNOLD NKHOMA ATOA SHUKRANI KWA KUTIMIZA MIAKA 100
9 years ago
Dewji Blog09 Dec
Habari njema: Malipo ya vipimo vya MRI yafanyika kutokana na michango ya wasamaria wema yaliyofanikisha Dada Joyce wa Mbeya kufikishwa Muhimbili kwa matibabu
Ndugu Wasamaria wema,
UPDTAES ZA LEO
Kwa kutumia michango ya wasamaria wema, leo tayari Ankal ameshalipia malipo kwa ajili ya vipimo vya MRI kwa dada Joyce yanayotarajiwa kufanyika Alhamisi hii ama Ijumaa. Baada ya matokeo ya vipimo vyake jopo la madaktari bingwa bingwa litakaa nakuamua nini cha kufanya kumsaidia dada Joyce. Hivyo tuendelee kumsaidia kwa hali na mali pamoja na dua.
Kama umeguswa na unataka kutoa msaada unaweza kuwasiliana na Ankal kwa email
issamichuzi@gmail.com ama...
5 years ago
MichuziSHIRIKA LA NYUMBU WAKABIDHI VICHANJA KWA TPA, JENERALI MABEYO ATOA SHUKRANI