Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Membe kuhamishia Serikali Dodoma

Bernard MembeWAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, amesema kama Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitamteua kuwa mgombea urais na kushinda katika Uchaguzi Mkuu ujao, Serikali yake itahamishia shughuli zote Dodoma, akisema Ikulu na wizara zote zitahamia Dodoma.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Serikali yahimizwa kuhamishia makao makuu Dodoma

Agrey MwanriSERIKALI imesisitiza agizo lake la kusitisha ujenzi wa ofisi za wizara na taasisi zake katika jiji la Dar es Salaam badala yake uelekezwe mjini Dodoma, ikiwa ni hatua ya kuhamishia makao makuu mjini hapa.

 

10 years ago

Michuzi

MSIKITI WA GADDAFI DODOMA WAMSHUKURU MEMBE


 Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mustafa Rajabu Shabani (kulia) akimtambulisha Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (katikati), kwa waumini wa Msikiti wa Gaddafi mkoani humo jana, wakati waumini hao walipomwita kwa ajili ya kumshukuru kutokana na jitihada zake katika kuwezesha ujenzi wa msikiti huo uliojengwa kwa ufadhili wa aliyekuwa Kiongozi wa Libya, marehemu Muammar Gaddafi. Kushoto ni Diwani wa Kwadelo, Alhaj Omary Kariati. Waziri wa Mambo ya Nje na...

 

10 years ago

Vijimambo

MSIKITI WA GADDAFI DODOMA WAMSHUKURU MEMBE - TUMIA HII

Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mustafa Rajabu Shabani (kulia) akimtambulisha Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (katikati), kwa waumini wa Msikiti wa Gaddafi mkoani humo jana, wakati waumini hao walipomwita kwa ajili ya kumshukuru kutokana na jitihada zake katika kuwezesha ujenzi wa msikiti huo uliojengwa kwa ufadhili wa aliyekuwa Kiongozi wa Libya, marehemu Muammar Gaddafi. Kushoto ni Diwani wa Kwadelo, Alhaj Omary Kariati. Picha zote na John BadiSheikh Mkuu...

 

11 years ago

GPL

MEMBE NAYE AHOJIWA NA KAMATI YA MAADILI CCM MJINI DODOMA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Ndugu Bernard Membe akizungumza na waandishi wa habari nje ya Ukumbi wa NEC mara baada ya kuhojiwa na Kamati Ndogo ya Maadili ambapo alisema Kamati ya Maadili imeuliza masuala mazito na maswali magumu yanayohusiana na uvunjaji wa maadili ya uongozi wa chama. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akizungumza na… ...

 

10 years ago

Vijimambo

MKUTANO WA NEC DODOMA: MEMBE APONGEZWA KUINGIA TANO BORA

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana akizungumza wakati wa kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) katika ukumbi wa Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma jana. Katikati ni Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Jakaya Kikwete na Makamu Mwenyekiti Visiwani na Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein.Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Jakaya Kikwete akizungumza wakati wa kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) katika ukumbi wa Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma jana. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti...

 

10 years ago

Michuzi

BARAZA LA BIASHARA MKOA WA DODOMA LASISITIZA USHIRIKIANO BAINA YA SERIKALI NA SEKTA BINAFSI ILI KUONGEZA FURSA ZA UWEKEZAJI NA KUKUZA UCHUMI WA DODOMA

Mkuu wa Mkoa Dodoma na Mwenyekiti wa Baraza la Biashara Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa akitoa hotuba ya kufungua mkutano wa baraza hilo Mjini Dodoma Feb. 13,2015. Katibu Mtendaji wa Baraza la Biashara la Taifa (TNBC) Ndg. Raymond Mbilinyi akiwasilisha majukumu ya Baraza hilo katika kusaidia mabaraza ya biasara ya Mkoa na jinsi ya kukuza ushirikiano kati ya Serikali na Sekta binafsi wakati wa mkutao wa baraza la biashara la Dodoma Feb. 13, 2015. Wajumbe wa baraza la biashara Mkoa wa Dodoma...

 

10 years ago

Vijimambo

MEMBE ARUDISHA FOMU ZA KUGOMBEA URAIS MAKAO MAKUU YA CCM DODOMA LEO

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akikaribishwa na Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Rajabu Ruhavi baada ya kuwasili katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM, mjini Dodoma jana kurudisha fomu za kuomba kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hicho, baada ya kupata wadhamini wanaohitajika. Picha zote na John BadiWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama,...

 

5 years ago

Michuzi

WATUMISHI WA MALIASILI WATAKIWA KUHAMISHIA OFISI KATIKA MAENEO YA HIFADHI ILI KULINDA MALIASILI


 Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangala(kushoto) akibadilishana mawazo na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri(kulia) na Watumishi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyapori(TAWA), Wakala wa Huduma za Mistu Tanzania (TFS) Kanda ya Magharibi na Hifadhi za Taifa(TANAPA) jana mara baada ya ziara yake ya kikazi Mkoani humo.Waziri wa Maliasili na Utalii...

 

10 years ago

Michuzi

UPDATES KUTOKA DODOMA ASUBIHI HII: TANO BORA YA WAGOMBEA URAIS WA CCM NI MEMBE, MAGUFULI, MIGIRO,MAKAMBA NA BALOZI AMINA SALUM

 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari asubuhi hii nje ya Ukumbi wa White House, Makao Makuu ya CCM Mjini Dodoma, akithibitisha taarifa iliyokuwa ikizagaa mitandaoni ya Wagombea Urais walioingia katika hatua ya tano bora, ambao aliwataja kuwa ni Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje, Mh. Bernard Membe, Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Magufuli, Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Asha-Rose Migiro, Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Mh....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani