Membe: Watanzania tuwasaidie yatima
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe ametaka Watanzania kujenga utamaduni wa kuwasaidia watu wasiojiweza waliopo kwenye jamii, wakiwemo yatima, wenye ulemavu, wazee na wajane.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog28 Jun
Membe: Watanzania wasikubali kutishwa
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akizungumza na umati wa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliofika mjini Kigoma jana, kwa ajili ya kumdhamini ili aweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho.(Picha na John Badi).
Na Mwandishi wetu, Kigoma
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, amesema Chama cha Mapinduzi (CCM) na Serikali yake, haviwezi kutishwa na mtu yeyote katika...
11 years ago
Mwananchi24 Dec
Tuwasaidie watoto wetu kusoma kwa malengo
10 years ago
MichuziWAZIRI MEMBE APATA WADHAMINI KIGOMA AWATAKA Watanzania wasikubali kutishwa
10 years ago
Vijimambo11 Jul
MATUMAINI YA WATANZANIA NDANI YA CCM BAADA YA MEMBE NA MAKAMBA KUSEMEKANA KUKATWA
10 years ago
MichuziMembe awahimiza Watanzania kuchangamkia fursa za kibiashara na kuwekeza katika Visiwa vya Comoro
10 years ago
MichuziWAZIRI MEMBE AWASIHI WATANZANIA KUTOCHAGUA VIONGOZI WANAOSAKA UONGOZI KWA KUTOA RUSHWA
lililofanyika katika viwanja vya Shule ya Sekondari Benjamin Mkapa na kudhaminiwa na Kampuni ya Dira ya Mtanzania. PICHA NA MICHUZI JR.PICHA ZAIDI BOFYA HAPAWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akipokea tuzo maalumu kutoka kwa Sheikh Ismail Mohamed wakati wa tamasha...
10 years ago
Dewji Blog02 Jun
Membe: Watanzania subirini kwa hamu siku yangu ya kutangaza nia ya kuwania Urais
Na theNkoromo Blog
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, amewaomba Watanzania kusubiri kwa hamu siku ya kutangaza nia ya kuwania urais kwa tiketi ya CCM, katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
Membe amesema, amepanga kutangaza nia hiyo, Juni 6, mwaka huu, na kuwaomba wananchi wamsikilize kwa makini siku hiyo kwakuwa ataeleza kwa kina nini anataka kufanya nchi iweze kuondoka ilipo ikiwemo kuendelea kudumisha amani na utulivu uliopo.
Waziri Membe ambaye...
10 years ago
MichuziWaziri Membe atoa wito kwa Watanzania kuwasaidia watu wasiojiweza kwenye jamii
10 years ago
Vijimambo24 Mar
WATANZANIA LAZIMA TUWE MAKINI NA MATAJIRI WA NCHI HII KWA MUSTAKABALI WA TAIFA LETU NA USTAWI WA WATANZANIA MASKINI