MENEJA MPYA WA JOHANNESBURG HOTEL AFANYIWA SHEREHE YA KUMKARIBISHA
Meneja mpya Edson Chita Nyondo akiongea jambo katika hafla hiyo. Mmoja wa waratibu wa hotel hiyo (kushoto), Zabron akiwa na meneja mpya. Mmoja wa wafanyakazi wa hoteli hiyo akikata keki.…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMBUNGE WA CHALINZE AFANYIWA SHEREHE ZA JADI KUMKARIBISHA NYUMBANI
MBUNGE wa Jimbo la Chalinzewilayani Bagamoyo mkoani Pwani Ridhiwani Kikwete juzi alifanyiwa sherehe za jadi za kabila la Kikwere ambazo zilifanyika kijijini kwao Msoga ambapo sherehe hizo ambazo ziliendana na kukabidhiwa vitu mbalimbali vya kijadi kwa ajili ya matumizi ya nyumbani.
Baadhi ya vitu alivyoakabidhiwa na mzee wa kabila hilo Zaidi Rufunga ni pamoja na kitanda cha kamba, msuli, kigoda na kinu pamoja na vitu mbalimbali. Sherehe hizo za kijadi...
11 years ago
GPLWAZEE WA ABAJALO WATUMBUIZA NDANI YA JOHANNESBURG HOTEL MKESHA WA PASAKA
11 years ago
GPLWAFANYAKAZI WA GLOBAL WAKIUKARIBISHA MWAKA 2014 NDANI YA JOHANNESBURG HOTEL
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-LliHLlOZCXk/VnwD9P5RyVI/AAAAAAAIOUU/jjK_N9IlRTY/s72-c/p4.jpg)
Asasi ya Tushikamane Pamoja Foundation (TPF) yawaandalia Wazee wasiojiweza sherehe ya Krismas na Mwaka Mpya Courtyard protea hotel jijini Dar es salaam
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/hlBnt738bkwEyosXaP1DIwFGfOPbqWfQf*uW30sYTl9QKObn6kcROk-JbNZyTYRX6BRkH0s4M29nxc5*XP9izhsOQj*qPVUN/mona.jpg)
MONALISA AFANYIWA SHEREHE!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ug6ORo4NSNRijyZ4LbX0*nMim*GaHA5p80wefnqJqI4Mxl-7l-qZBnaytNK3Sq2nji5FSnZUN5HPzEsNexLtgy1lbJAqR0kc/vicky.jpg)
VICKY KAMATA AFANYIWA SHEREHE
9 years ago
Mtanzania18 Aug
Irene Uwoya afanyiwa sherehe ya kupongezwa
NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
MWIGIZAJI wa filamu ambaye jina lake limepitishwa nafasi ya ubunge viti maalumu Mkoa wa Tabora kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Irene Uwoya, amesema malezi aliyopewa na wazazi wake ndiyo yatakayomsaidia kuwa kiongozi bora.
Irene alisema hayo juzi katika hafla fupi iliyoandaliwa na wazazi wake kumpongeza kupitishwa katika nafasi hiyo ambapo pia marafiki zake wa karibu walihudhuria sherehe hiyo.
“Nisingekuwa hapa nilipofika kama wazazi wangu...
9 years ago
Mwananchi29 Oct
Azam kumkaribisha Ikulu rais mpya
10 years ago
GPLIDRIS AFANYIWA BONGE LA SHEREHE NA MULTICHOICE JIJINI DAR