Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MONALISA AFANYIWA SHEREHE!

Stori: Hamida Hassan ZIKIWA zimekatika siku 40 tangu kifo cha muongozaji maarufu Bongo, George Otieno ‘Tyson’, mke wa ndoa wa marehemu, Yvonne Sheryl ‘Monalisa’, mama yake mzazi , Suzan Lewis ‘Natasha’ pamoja na mwanaye Sonia wamefanyiwa sherehe. Mke wa ndoa wa marehemu Tyson, Yvonne Sheryl ‘Monalisa’ akiwa katika picha ya pamoja na mwanaye Sonia. Kwa mujibu wa Monalisa,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

VICKY KAMATA AFANYIWA SHEREHE

Stori: Musa mateja BAADA ya kimya kirefu tangu ndoa iliyopagwa kufungwa kati yake na Charles Pai kuyeyuka, Mbunge wa Viti Maalum (CCM) anayewakilisha vijana Mkoa wa Geita, Vicky Kamata ameibuka na kufunguka mambo mengi lakini kubwa ni kwamba, amefanyiwa sherehe. Mbunge wa Viti Maalum (CCM) anayewakilisha vijana Mkoa wa Geita, Vicky Kamata akiwa Bungeni. Akizungumza na Risasi Jumamosi, juzi Alhamisi kwa njia ya simu akiwa...

 

10 years ago

Mtanzania

Irene Uwoya afanyiwa sherehe ya kupongezwa

irene-uwoyaNA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM

MWIGIZAJI wa filamu ambaye jina lake limepitishwa nafasi ya ubunge viti maalumu Mkoa wa Tabora kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Irene Uwoya, amesema malezi aliyopewa na wazazi wake ndiyo yatakayomsaidia kuwa kiongozi bora.

Irene alisema hayo juzi katika hafla fupi iliyoandaliwa na wazazi wake kumpongeza kupitishwa katika nafasi hiyo ambapo pia marafiki zake wa karibu walihudhuria sherehe hiyo.

“Nisingekuwa hapa nilipofika kama wazazi wangu...

 

10 years ago

Michuzi

MBUNGE WA CHALINZE AFANYIWA SHEREHE ZA JADI KUMKARIBISHA NYUMBANI

Na John Gagarini, Chalinze 
MBUNGE wa Jimbo la Chalinzewilayani Bagamoyo mkoani Pwani Ridhiwani Kikwete juzi alifanyiwa sherehe za jadi za kabila la Kikwere ambazo zilifanyika kijijini kwao Msoga ambapo sherehe hizo ambazo ziliendana na kukabidhiwa vitu mbalimbali vya kijadi kwa ajili ya matumizi ya nyumbani. 
Baadhi ya vitu alivyoakabidhiwa na mzee wa kabila hilo Zaidi Rufunga ni pamoja na kitanda cha kamba, msuli, kigoda na kinu pamoja na vitu mbalimbali. Sherehe hizo za kijadi...

 

10 years ago

GPL

IDRIS AFANYIWA BONGE LA SHEREHE NA MULTICHOICE JIJINI DAR

Mshindi wa Dola 300,000 za Big Brother Hotshots, Idris Sultan akiwa katika pozi na mshiriki mwenzake katika shindano hilo, Irene Vedastous 'Laveda' wakati wa sherehe hiyo. Idris (katikati) akisaini autograph ya mmoja wa mashabiki wake. Kulia ni Laveda.…

 

11 years ago

GPL

MENEJA MPYA WA JOHANNESBURG HOTEL AFANYIWA SHEREHE YA KUMKARIBISHA

Meneja mpya Edson Chita Nyondo akiongea jambo katika hafla hiyo.
Mmoja wa waratibu wa hotel hiyo (kushoto), Zabron akiwa na meneja mpya.
Mmoja wa wafanyakazi wa hoteli hiyo akikata keki.…

 

10 years ago

Vijimambo

WILLY MWAMBALASWA AFANYIWA SHEREHE YA SIKU YAKE YA KUZALIWA DALLAS, TEXAS

Willy Mwambalaswa akikata keki yake siku ya kuzaliwa sherehe iliyofanyika siku ya Jumamosi Septemba 19, 2015 jijini Dallas, Texas.Marafiki wa karibu waliomfanyia Willy tafrijaMarafiki wakijumuika na birthday boy huku wakipata picha ya pamoja.



 

10 years ago

Michuzi

MICHUZI BLOG EXCLUSIVE: JAJI JOSEPH SINDE WARIOBA AFANYIWA SHEREHE YA KUSTUKIZWA YA MIAK 75 YA KUZALIWA NA WATOTO NA WAJUKUU WAKE

 Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba Ijumaa usiku alijikuta anapigwa  butwaa baada ya kurudi nyumbani kwake Oysterbay jijini Dar es salaam na kukuta bango hilo mbele yake ambapo  watoto na wajukuu wake walikuwa wamemuandalia sherehe ya kuzaliwa kwake ya miaka 75 (suprise Birthday Party) bila ya yeye mwenyewe kujua Jaji Warioba na mkewe walijikuta wanashangaa zaidi kukuta kumbe watoto na wajukuu sio tu wameandaa Birthday party yake bali pia sala maalumu ya kushukuru kwa kufikisha...

 

10 years ago

GPL

MONALISA: MIMI SI GUBEGUBE

Na Laurent Samatta/UWAZI
MSANII wa kitambo kwenye tasnia ya filamu Bongo, Yvonne Cherly ‘Monalisa’ (33) amesema kuwa yeye siyo gubegube kwani alishawahi kukaa ndani ya ndoa lakini sasa ameamua kutulia. Msanii wa kitambo kwenye tasnia ya filamu Bongo, Yvonne Cherly ‘Monalisa’. Akipiga stori mbili-tatu na Uwazi, Monalisa alisema kuwa hata kama akiamua kurudi upya kwenye ndoa anaweza na kutilia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani