MONALISA: MIMI SI GUBEGUBE
![](http://api.ning.com:80/files/LXZYmTRupZ*od7iuXgDCB7ZjTMnU7bISoatZFrAdh1-DtHhd8-zKBIDiK2z44cgSKCBPqK9MwMc0pYnyC5keYmAf4ADjgwzR/Monalisa.jpg)
Na Laurent Samatta/UWAZI MSANII wa kitambo kwenye tasnia ya filamu Bongo, Yvonne Cherly ‘Monalisa’ (33) amesema kuwa yeye siyo gubegube kwani alishawahi kukaa ndani ya ndoa lakini sasa ameamua kutulia. Msanii wa kitambo kwenye tasnia ya filamu Bongo, Yvonne Cherly ‘Monalisa’. Akipiga stori mbili-tatu na Uwazi, Monalisa alisema kuwa hata kama akiamua kurudi upya kwenye ndoa anaweza na kutilia...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies14 Jan
Monalisa: Mimi Sio Gubegube
Mwigizaji mkongwe wa filamu hapa Bongo, Yvonne Cherly ‘Monalisa’ (33) amesema kuwa yeye siyo gubegube kwani alishawahi kukaa ndani ya ndoa lakini sasa ameamua kutulia.
Akipiga stori mbili-tatu na Gazeti la Uwazi, Monalisa alisema kuwa hata kama akiamua kurudi upya kwenye ndoa anaweza na kutilia msisitizo kuwa mwanaume atayemuoa lazima atambue kuwa anayemuoa ni Yvonne Cherly na si Monalisa kwani jina hilo litakalokuwepo kwenye cheti cha ndoa.
“Mimi si gubegube, nikiamua kurudi na kufunga...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/KtF8hZpsH-15mPXOYxsmNea5wBBdTDPImxyZEg-8XgbTqbhBBvnONsJ1yR6uUGuYrrWSBm0JBVwogFELNlHpPr7nfl4AoxCp/LOV.jpg?width=650)
UHUSIKA WA WAZAZI HUSABABISHA MTOTO AWE GUMEGUME AU GUBEGUBE KATIKA MAPENZI -4
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/7TcBzbi1eXrIUOXaMFmguOjgcyCs*TpuiAF9hN*nOk4YYSYdChxecaYXtY*9aZXhgTanc0P7ZI82J0Rpu4T4NpNFkeEOq8*6/loveee.jpg?width=650)
UHUSIKA WA WAZAZI HUSABABISHA MTOTO AWE GUMEGUME AU GUBEGUBE KATIKA MAPENZI -5
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/2zExn--dW5g/default.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/O0rRt4kCpspq-gP5WwxaSDiMN-gP*mkRT1yv8owy54gvyE3n3ZMtSN9WW-xTe4SuBqYqNVwt2gFre7OGiPcC2jJoZjWkjRhZ/mona.jpg?width=650)
MONALISA HOFU YA JUJU
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/hlBnt738bkwEyosXaP1DIwFGfOPbqWfQf*uW30sYTl9QKObn6kcROk-JbNZyTYRX6BRkH0s4M29nxc5*XP9izhsOQj*qPVUN/mona.jpg)
MONALISA AFANYIWA SHEREHE!
11 years ago
Tanzania Daima16 Jan
Monalisa asema sanaa imevamiwa
USEMI wa mtoto wa nyoka ni nyoka, umejidhihirisha katika tasnia ya filamu nchini baada ya msanii Yvony Cherry ‘Monalisa’ kuonekana wazi anafuata nyayo za mama yake Suzan Lewis ‘Natasha’ katika...
11 years ago
Tanzania Daima15 Jun
Monalisa awapasha wanaomzulia mabaya
MUIGIZAJI nyota wa filamu nchini, Yvonne Cherry ‘Monalisa’ ambaye aliwahi kuwa mke wa marehemu George Tyson, aliyefariki dunia kwa ajali ya gari wiki kadhaa zilizopita, amefunguka kupitia mtandao wa Instagram...
10 years ago
Bongo Movies30 Jul
Monalisa :Wasanii Wanajiachia Sana
YVONNE Cherryl ‘Monalisa’ mwigizaji wa kike katika tasnia ya filamu Swahilihood amefunguka kwa kuwaambia baadhi ya wasanii katika fani ya uigizaji kushindwa kulinda miili yao na kujiachia kwa kunenepa na kupoteza muonekano wao jambo ambalo linapoteza nafasi zao katika sinema.
“Sisi wasanii wa filamu kwa Bongo hatuwezi kabisa kulinda muonekano wetu kimaumbo msanii akikubalika tu anajiachia mwili huo, vijana wadogo tu kuna wakati unashindwa umchezeshe kama binti au mama mtu mzima, lakini...