Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Monalisa: Mimi Sio Gubegube

Mwigizaji mkongwe wa filamu hapa  Bongo, Yvonne Cherly ‘Monalisa’ (33) amesema kuwa yeye siyo gubegube kwani alishawahi kukaa ndani ya ndoa lakini sasa ameamua kutulia.

Akipiga stori mbili-tatu na  Gazeti la Uwazi, Monalisa alisema kuwa hata kama akiamua kurudi upya kwenye ndoa anaweza na kutilia msisitizo kuwa mwanaume atayemuoa lazima atambue kuwa anayemuoa ni Yvonne Cherly na si Monalisa kwani jina hilo litakalokuwepo kwenye cheti cha ndoa.

“Mimi si gubegube, nikiamua kurudi na kufunga...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MONALISA: MIMI SI GUBEGUBE

Na Laurent Samatta/UWAZI
MSANII wa kitambo kwenye tasnia ya filamu Bongo, Yvonne Cherly ‘Monalisa’ (33) amesema kuwa yeye siyo gubegube kwani alishawahi kukaa ndani ya ndoa lakini sasa ameamua kutulia. Msanii wa kitambo kwenye tasnia ya filamu Bongo, Yvonne Cherly ‘Monalisa’. Akipiga stori mbili-tatu na Uwazi, Monalisa alisema kuwa hata kama akiamua kurudi upya kwenye ndoa anaweza na kutilia...

 

10 years ago

Bongo Movies

Nkwabi:Mimi sio Jambazi

Staa wa Bongo Movies, Nkwabi Juma amefunguka na kusema kuwa yeye si Jambazi bali ni uhusika tu ambao umfanya acheze kama mtu mtata na jambazi liliokubuhu kutokana tu na watayarishaji kumchagua katika nafasi kama hizo lakini hajui hata kuiba kuku na amekuwa akimudu nafasi hizo kwa kufanya utafiti tu.

“Msanii mzuri ni lazima huwe mbunifu na kuchagua character yako ambayo kila mtengeneza sinema akiandika muswada (script ) anakuona wewe ndio utakayoitendea haki na si mtu mwingine ndio kitu...

 

10 years ago

Bongo Movies

WOLPER: Mimi Sio Simba ni Yanga

Mara baada ya timu ya Simba kuibuka mtani JEMBE, baada ya hiileo kuibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya timu ya  Yanga, muigizaji  wakike maarufu, Jackline Wolper aliweka picha hii matandaoni na alipoulizwa kuwa yeye ni mnyama au, wolper alisema.

"Hayo Mavazi tuu mimi ni Yanga yanga yanga ..Yanga woyeeeee ..okey byee sema leo nilipenic sana".

Sasa jiulize maneno haya niyakweli au?!! Au yeye ni Yanga Ukawa….Hehehe. Hongereni Simba na poleni washabiki wa Yanga

 

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Mrema: Mimi sio kibaraka wa CCM


NA RODRICK MAKUNDI, MOSHI
MWENYEKITI wa Taifa wa TLP,  Augustine Lyatonga Mrema, amesema kamwe hana mpango wa kuunga mkono Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) na kusisitiza msimamo wake wa kutaka serikali mbili.
Mbali ya msimamo huo, Mrema amesema yeye sio kibaraka wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kama baadhi ya watu wanavyodai na kuwa: ìMimi nashangaa wakati wanasema mimi ni kibaraka wa CCM, tunaona wenyewe wameungana na CUF, sasa kweli kama sio wanatafuta maslahi binafsi hapa nini...

 

11 years ago

GPL

UHUSIKA WA WAZAZI HUSABABISHA MTOTO AWE GUMEGUME AU GUBEGUBE KATIKA MAPENZI -5

KUTOKA mwanzo wa makala haya mpaka hapa tulipofikia, sina shaka utakuwa umeshatambua namna ambavyo uhusika wa wazazi unavyoweza kuwafanya watoto wao kuwa ama magubegube au magumegume katika mapenzi. Kutoka hapo, sasa tuhitimishe mambo machache kwa kupeana maelekezo ya kimsingi ambayo yanaweza kukusaidia katika maisha yako ya kimapenzi hata kama ulipata muongozo wa ovyo kutoka kwa wazazi wako. Haishindikani wewe kuwa bora hata...

 

11 years ago

GPL

UHUSIKA WA WAZAZI HUSABABISHA MTOTO AWE GUMEGUME AU GUBEGUBE KATIKA MAPENZI -4

KWANZA tuwe tumeshakubaliana na ukweli kwamba mzazi ni kichocheo cha mtoto kuwa mhusika bora katika mapenzi, baada ya hapo tutakuwa na mawazo yanayoshabihiana kwamba gubegube au gumegume mara nyingi ni matokeo ya malezi mabaya. Tuendelee kutoka hapohapo, sasa ni muongozo kwako kuwa haina maana kuwa unaweza kusamehewa na kuachwa kama ulivyo eti kisa ndivyo ulivyolelewa. Nani atakukubali kama wewe ni mzigo usiobebeka? Tafakari...

 

11 years ago

GPL

MONALISA HOFU YA JUJU

Stori: Mayasa Mariwata
STAA wa filamu Bongo, Yvone Cherry ‘Monalisa’ amesema anaogopa kuweka wazi mambo yake kwa kuhofia kupigwa juju hivyo anaishi kwa siri. Yvone Cherry ‘Monalisa’. Akipiga stori na paparazi wetu, Monalisa alisema amejifunza maisha ya usiri na ndiyo maana huwa haaniki hata tarehe, mwezi au mwaka wa kuzaliwa kwani watu wabaya hutumia nafasi hiyo kukuangamiza. “Asikudanganye mtu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani