WOLPER: Mimi Sio Simba ni Yanga
Mara baada ya timu ya Simba kuibuka mtani JEMBE, baada ya hiileo kuibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya timu ya Yanga, muigizaji wakike maarufu, Jackline Wolper aliweka picha hii matandaoni na alipoulizwa kuwa yeye ni mnyama au, wolper alisema.
"Hayo Mavazi tuu mimi ni Yanga yanga yanga ..Yanga woyeeeee ..okey byee sema leo nilipenic sana".
Sasa jiulize maneno haya niyakweli au?!! Au yeye ni Yanga Ukawa….Hehehe. Hongereni Simba na poleni washabiki wa Yanga
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies14 Jan
Monalisa: Mimi Sio Gubegube
Mwigizaji mkongwe wa filamu hapa Bongo, Yvonne Cherly ‘Monalisa’ (33) amesema kuwa yeye siyo gubegube kwani alishawahi kukaa ndani ya ndoa lakini sasa ameamua kutulia.
Akipiga stori mbili-tatu na Gazeti la Uwazi, Monalisa alisema kuwa hata kama akiamua kurudi upya kwenye ndoa anaweza na kutilia msisitizo kuwa mwanaume atayemuoa lazima atambue kuwa anayemuoa ni Yvonne Cherly na si Monalisa kwani jina hilo litakalokuwepo kwenye cheti cha ndoa.
“Mimi si gubegube, nikiamua kurudi na kufunga...
10 years ago
Bongo Movies04 May
Nkwabi:Mimi sio Jambazi
Staa wa Bongo Movies, Nkwabi Juma amefunguka na kusema kuwa yeye si Jambazi bali ni uhusika tu ambao umfanya acheze kama mtu mtata na jambazi liliokubuhu kutokana tu na watayarishaji kumchagua katika nafasi kama hizo lakini hajui hata kuiba kuku na amekuwa akimudu nafasi hizo kwa kufanya utafiti tu.
“Msanii mzuri ni lazima huwe mbunifu na kuchagua character yako ambayo kila mtengeneza sinema akiandika muswada (script ) anakuona wewe ndio utakayoitendea haki na si mtu mwingine ndio kitu...
11 years ago
Uhuru Newspaper10 Jun
Mrema: Mimi sio kibaraka wa CCM
NA RODRICK MAKUNDI, MOSHI
MWENYEKITI wa Taifa wa TLP, Augustine Lyatonga Mrema, amesema kamwe hana mpango wa kuunga mkono Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) na kusisitiza msimamo wake wa kutaka serikali mbili.
Mbali ya msimamo huo, Mrema amesema yeye sio kibaraka wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kama baadhi ya watu wanavyodai na kuwa: ìMimi nashangaa wakati wanasema mimi ni kibaraka wa CCM, tunaona wenyewe wameungana na CUF, sasa kweli kama sio wanatafuta maslahi binafsi hapa nini...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/UJ8aoEZo49aQoaGSXfvcT8XN8EzrouJYxP47sYVdt5kh*QW-CaPvSFYY3M4tt72iKu*PNTpCFkC9ZW8q4A4dVmDTUZ18CuHt/Wolper.gif?width=650)
WOLPER: MIMI NA LOWASA HADI KIFO
11 years ago
Michuzi20 Jul
10 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/06/92d27__wolper2bongoclan.co_.tz_.jpg)
WOLPER: MIMI NI FREEMASON KWA MUDA MREFU SASA!
10 years ago
Bongo Movies13 Dec
Hiki ndicho Walichohaidiana JB na Ray Kigosi leo kabla ya mechi ya Simba na Yanga. JB ni SIMBA, Ray ni YANGA.
Huku tukisubiria kwa hamu sana ile mechi ya NANI MTANI JEMBE kati ya YANGA na SIMBA, Jacob Steven – JB mshabiki namba moya wa SIMBA SPORTS CLUB na VICENT KIGOSI – Ray, shabiki namba moja wa YANGA wamekubaliana haya yafuatayo.
Endapo timu moja SIMBA itafungwa, basi JB atavaa jezi ya YANGA na kumpa RAY pesa za kitanzania TSHS. MILLIONI MOJA (1) CASH na ikiwa YANGA itafungwa, basi RAY atavaa jezi ya SIMBA na kumpa JB pesa hiyo hiyo MILLIONI MOJA (1) CASH.
Unahisi nani ataibuka kidedea...
10 years ago
Vijimambo09 Mar
9 years ago
Vijimambo22 Oct
SIMBA MSIPIGE MILUZI, SIO MAHALA PAKE
![](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/Simba-vs-Kagera-Sgr-9.jpg)
Na Nicasius N Agwanda (Nicasius Coutinho Suso)
Wakati wa ukuaji wangu sikufanikiwa kufaulu masomo ya Sayansi kwa kiwango sahihi, nasema sikufanikiwa kwa sababu walimu na wazazi waliamini ninaweza lakini ule uvivu wa kutokupenda kujisomea na kuhisi kuwa kila mara kutakuwepo na njia nyepesi kuliko ile ya kusoma kwa nguvu nyingi.Ila hii ni akili ambayo nililishwa, haikuwa yangu, ilikuwa ni elimu ambayo niliipata kwa wale nilioongozana nao kila wakati. Sijutii kwa sababu ndio njia niliyoichagua...