Mrema: Mimi sio kibaraka wa CCM
NA RODRICK MAKUNDI, MOSHI
MWENYEKITI wa Taifa wa TLP, Augustine Lyatonga Mrema, amesema kamwe hana mpango wa kuunga mkono Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) na kusisitiza msimamo wake wa kutaka serikali mbili.
Mbali ya msimamo huo, Mrema amesema yeye sio kibaraka wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kama baadhi ya watu wanavyodai na kuwa: ìMimi nashangaa wakati wanasema mimi ni kibaraka wa CCM, tunaona wenyewe wameungana na CUF, sasa kweli kama sio wanatafuta maslahi binafsi hapa nini...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi29 Jun
Zitto awatolea uvivu wanaomwita kibaraka wa CCM
10 years ago
Bongo Movies14 Jan
Monalisa: Mimi Sio Gubegube
Mwigizaji mkongwe wa filamu hapa Bongo, Yvonne Cherly ‘Monalisa’ (33) amesema kuwa yeye siyo gubegube kwani alishawahi kukaa ndani ya ndoa lakini sasa ameamua kutulia.
Akipiga stori mbili-tatu na Gazeti la Uwazi, Monalisa alisema kuwa hata kama akiamua kurudi upya kwenye ndoa anaweza na kutilia msisitizo kuwa mwanaume atayemuoa lazima atambue kuwa anayemuoa ni Yvonne Cherly na si Monalisa kwani jina hilo litakalokuwepo kwenye cheti cha ndoa.
“Mimi si gubegube, nikiamua kurudi na kufunga...
10 years ago
Bongo Movies04 May
Nkwabi:Mimi sio Jambazi
Staa wa Bongo Movies, Nkwabi Juma amefunguka na kusema kuwa yeye si Jambazi bali ni uhusika tu ambao umfanya acheze kama mtu mtata na jambazi liliokubuhu kutokana tu na watayarishaji kumchagua katika nafasi kama hizo lakini hajui hata kuiba kuku na amekuwa akimudu nafasi hizo kwa kufanya utafiti tu.
“Msanii mzuri ni lazima huwe mbunifu na kuchagua character yako ambayo kila mtengeneza sinema akiandika muswada (script ) anakuona wewe ndio utakayoitendea haki na si mtu mwingine ndio kitu...
10 years ago
Bongo Movies13 Dec
WOLPER: Mimi Sio Simba ni Yanga
Mara baada ya timu ya Simba kuibuka mtani JEMBE, baada ya hiileo kuibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya timu ya Yanga, muigizaji wakike maarufu, Jackline Wolper aliweka picha hii matandaoni na alipoulizwa kuwa yeye ni mnyama au, wolper alisema.
"Hayo Mavazi tuu mimi ni Yanga yanga yanga ..Yanga woyeeeee ..okey byee sema leo nilipenic sana".
Sasa jiulize maneno haya niyakweli au?!! Au yeye ni Yanga Ukawa….Hehehe. Hongereni Simba na poleni washabiki wa Yanga
11 years ago
Michuzi20 Jul
10 years ago
MichuziMREMA AENDELEA KUANDAMWA VUNJO,WANANCHI WACHANGA PESA KUMCHUKULIA FOMU INNOCENT MELLECKY WA CCM
Inocent Melleck akizungumza na baadhi ya wananchi waliojitokeza kumchangia fedha kwa ajili ya kuchukulia fomu za kuwania Ubunge katika jimbo la Vunjo.
Innocent Melleck akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wananchi hao waliojitokeza kumchangi fedha kwa ajili ya kugombea Ubunge katika jimbo la Vunjo.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
MBUNGE wa jimbo la Vunjo,Agustino Mrema(TLP) ameendelea kupata upinzani katika Jimbo lake baada ya baadhi ya wananchi kujitokeza...
10 years ago
Mwananchi21 Jun
Lowassa: Mimi ndiyo nitaleta mabadiliko CCM
10 years ago
Michuzi