Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SIMBA MSIPIGE MILUZI, SIO MAHALA PAKE


Na Nicasius N Agwanda (Nicasius Coutinho Suso)
Wakati wa ukuaji wangu sikufanikiwa kufaulu masomo ya Sayansi kwa kiwango sahihi, nasema sikufanikiwa kwa sababu walimu na wazazi waliamini ninaweza lakini ule uvivu wa kutokupenda kujisomea na kuhisi kuwa kila mara kutakuwepo na njia nyepesi kuliko ile ya kusoma kwa nguvu nyingi.Ila hii ni akili ambayo nililishwa, haikuwa yangu, ilikuwa ni elimu ambayo niliipata kwa wale nilioongozana nao kila wakati. Sijutii kwa sababu ndio njia niliyoichagua...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

WOLPER: Mimi Sio Simba ni Yanga

Mara baada ya timu ya Simba kuibuka mtani JEMBE, baada ya hiileo kuibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya timu ya  Yanga, muigizaji  wakike maarufu, Jackline Wolper aliweka picha hii matandaoni na alipoulizwa kuwa yeye ni mnyama au, wolper alisema.

"Hayo Mavazi tuu mimi ni Yanga yanga yanga ..Yanga woyeeeee ..okey byee sema leo nilipenic sana".

Sasa jiulize maneno haya niyakweli au?!! Au yeye ni Yanga Ukawa….Hehehe. Hongereni Simba na poleni washabiki wa Yanga

 

 

9 years ago

Habarileo

Msipige kura kwa ushabiki - Mzindakaya

MWANASIASA mkongwe nchini na kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Chrisant Mzindakaya amewataka Watanzania wasikubali kupiga kura kwa ushabiki. Ameonya kuwa upigaji kura kwa ushabiki, utaligharimu taifa hivyo Watanzania wapige kura wakijua wanachagua kiongozi ambaye atawakilisha nchi kitaifa na kimataifa.

 

9 years ago

GPL

HILI LA MAWAZIRI, MILUZI ISIMPOTEZE RAIS MAGUFULI!

Rais John Pombe Magufuli. RAIS John Pombe Magufuli anatarajiwa kutangaza Baraza lake la Mawaziri muda wowote kuanzia wiki ijayo, atakapokuwa ameshamtangaza Waziri Mkuu, kisha kuthibitishwa na Bunge mjini Dodoma. Mamilioni ya Watanzania wanasubiri kwa hamu kubwa kutangazwa kwa baraza hilo, kwani wanaamini ndiyo itakuwa mwanga wa kujua kama kweli, matumaini yao kwa rais huyu wa tano ni yenye kuleta matumaini au ni yaleyale ya kila...

 

9 years ago

Mwananchi

Mwalimu Nyerere: Ikulu ni mahala patakatifu

Huu ni mwaka wa Uchaguzi Mkuu, tunapoadhimisha kumbukumbu ya kifo cha Mwalimu Nyerere, ni jambo la busara kwa Watanzania kujikumbusha mawazo na mitazamo yake kuhusu chaguzi. Makala haya yanarejea moja ya hotuba alizotoa Mwalimu Nyerere kuhusu uchaguzi na sifa za wagombea.

 

10 years ago

Mwananchi

Wapi ni mahala sahihi pa kukaa na watoto?

Ni siku nyingine yenye amani tele wajukuu zangu tunakutana tena katika safu yetu. Leo wajukuu zangu napenda tuangalie mada ambayo kidogo inaonekana imejificha, lakini ni muhimu sana hasa kwa ninyi wajukuu zangu.

 

10 years ago

Michuzi

Waziri Sitta asisitiza ushirikiano mahala pa kazi

 Waziri wa Uchukuzi Mhe. Samuel Sitta (aliyesimama) akifungua Mkutano wa wafanyakazi wa Wizara hiyo mapema jana jijini Dar es Salaam, kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya hiyo Dkt. Shaaban Mwinjaka na kulia ni Katibu wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara hiyo Bwana Hassan Mabula. Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dkt. Shaaban Mwinjaka akimshukuru Waziri wa Uchukuzi Mhe. Samuel Sitta mara baada ya kufungua rasmi mkutano wa wafanyakazi wa wizara hiyo na taasisi zilizo chini yaka. Waziri wa...

 

11 years ago

Mwananchi

TEKNOLOJIA: Simu za mkononi zinavyoweza kufahamisha mahala alipo mtumiaji

Tofauti na vifaa vya kiteknolojia kama vile kompyuta na tabiti (tablet), baadhi ya simu za kisasa zina uwezo wa kutoa taarifa za mahala mtu alipo au kilipo kitu fulani.

 

11 years ago

Michuzi

Wanafunzi wapatiwa mafunzo ya usalama na Afya mahala pa kazi na barabarani

Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Naibu Kamishna wa Polisi Mohamed Mpinga akizungumza wakati wa semina ya mafunzo ya usalama mahala pa kazi na usalama barabarani iliyoandaliwa na Vodacom Tanzania kwa wanafunzi wa shule za msingi Oyster Bay, Msasani na Mbuyuni. Kulia ni Mkuu wa Idara ya Usalama, Afya na Mazingira wa Vodacom Karen Lwakatare. Meneja wa Mamlaka ya Usalama na Afya mahala pa kazi (OSHA) kanda ya Pwani Jerome Materu akizungumza wakati wa semina ya mafunzo ya usalama mahala...

 

11 years ago

Dewji Blog

Baraza la wakala wa Usalama na Afya mahala pakazi (OSHA) lazinduliwa

IMG_4656

Naibu Waziri wa kazi na ajira Dr. Makongoro Mahanga, akiwa anakaribishwa na Henry Mpande ambaye ni Mwenyekiti wa Hoteli ya Kitalii ya Millennium iliyoko katika ufukwe wa Bahari ya Hindi mjini Bagamoyo Mkoa wa Pwani ambapo mkutano wa baraza la wakala wa usalama na afya katika mahala pakazi OSHA ulipofanyikia.

IMG_4682

Naibu Waziri wa kazi na ajira Dr. Makongoro Mahanga, akibadilishana mawazo na  Mtendaji Mkuu wa Wakala wa usalama na afya mahala pa kazi OSHA Dr. Akwilina Kayumba  baada ya kuzindua...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani