Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MONALISA HOFU YA JUJU

Stori: Mayasa Mariwata
STAA wa filamu Bongo, Yvone Cherry ‘Monalisa’ amesema anaogopa kuweka wazi mambo yake kwa kuhofia kupigwa juju hivyo anaishi kwa siri. Yvone Cherry ‘Monalisa’. Akipiga stori na paparazi wetu, Monalisa alisema amejifunza maisha ya usiri na ndiyo maana huwa haaniki hata tarehe, mwezi au mwaka wa kuzaliwa kwani watu wabaya hutumia nafasi hiyo kukuangamiza. “Asikudanganye mtu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

TheCitizen

Only non-juju believers can tackle superstition

A friend who is given to cracking jokes caught me off-guard the other day, when he proposed that I should travel to Bagamoyo one of these days.

 

11 years ago

GPL

MONALISA AFANYIWA SHEREHE!

Stori: Hamida Hassan ZIKIWA zimekatika siku 40 tangu kifo cha muongozaji maarufu Bongo, George Otieno ‘Tyson’, mke wa ndoa wa marehemu, Yvonne Sheryl ‘Monalisa’, mama yake mzazi , Suzan Lewis ‘Natasha’ pamoja na mwanaye Sonia wamefanyiwa sherehe. Mke wa ndoa wa marehemu Tyson, Yvonne Sheryl ‘Monalisa’ akiwa katika picha ya pamoja na mwanaye Sonia. Kwa mujibu wa Monalisa,...

 

10 years ago

GPL

MONALISA: MIMI SI GUBEGUBE

Na Laurent Samatta/UWAZI
MSANII wa kitambo kwenye tasnia ya filamu Bongo, Yvonne Cherly ‘Monalisa’ (33) amesema kuwa yeye siyo gubegube kwani alishawahi kukaa ndani ya ndoa lakini sasa ameamua kutulia. Msanii wa kitambo kwenye tasnia ya filamu Bongo, Yvonne Cherly ‘Monalisa’. Akipiga stori mbili-tatu na Uwazi, Monalisa alisema kuwa hata kama akiamua kurudi upya kwenye ndoa anaweza na kutilia...

 

11 years ago

GPL

MONALISA AMWANDALIA TYSON SAPRAIZI

Stori: Chande Abdallah STAA wa Bongo Movie, Yvonne Cherry ‘Monalisa’ amefunguka kuwa bado anamkumbuka sana aliyewahi kuwa mumewe, marehemu George Tyson hivyo atafanya kitu kwa ajili ya kumuenzi. Staa wa Bongo Movie, Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Akizungumza na mwandishi wetu siku ya Arobaini ya Tyson, Monalisa alisema daima ataendelea kumkumbuka na kumuombea Tyson na ameona kuna umuhimu wa kufanya kitu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Monalisa awapasha wanaomzulia mabaya

MUIGIZAJI nyota wa filamu nchini, Yvonne Cherry ‘Monalisa’  ambaye aliwahi kuwa mke wa marehemu George Tyson, aliyefariki dunia kwa ajali ya gari wiki kadhaa zilizopita, amefunguka kupitia  mtandao wa Instagram...

 

10 years ago

Bongo Movies

Monalisa :Wasanii Wanajiachia Sana

YVONNE Cherryl ‘Monalisa’ mwigizaji wa kike katika tasnia ya filamu Swahilihood amefunguka kwa kuwaambia baadhi ya wasanii katika fani ya uigizaji kushindwa kulinda miili yao na kujiachia kwa kunenepa na kupoteza muonekano wao jambo ambalo linapoteza nafasi zao katika sinema.

“Sisi wasanii wa filamu kwa Bongo hatuwezi kabisa kulinda muonekano wetu kimaumbo msanii akikubalika tu anajiachia mwili huo, vijana wadogo tu kuna wakati unashindwa umchezeshe kama binti au mama mtu mzima, lakini...

 

10 years ago

Bongo Movies

Monalisa: Mimi Sio Gubegube

Mwigizaji mkongwe wa filamu hapa  Bongo, Yvonne Cherly ‘Monalisa’ (33) amesema kuwa yeye siyo gubegube kwani alishawahi kukaa ndani ya ndoa lakini sasa ameamua kutulia.

Akipiga stori mbili-tatu na  Gazeti la Uwazi, Monalisa alisema kuwa hata kama akiamua kurudi upya kwenye ndoa anaweza na kutilia msisitizo kuwa mwanaume atayemuoa lazima atambue kuwa anayemuoa ni Yvonne Cherly na si Monalisa kwani jina hilo litakalokuwepo kwenye cheti cha ndoa.

“Mimi si gubegube, nikiamua kurudi na kufunga...

 

10 years ago

Bongo Movies

Monalisa: Taratibu tunatoboa kimataifa

Muigizaji wa filamu hapa Bongo, Yvone Cherry maarufu kama Monalisa, amesema kuwa milango ya kufanya kazi za filamu kimataifa imeanza kufunguka, akiwa tayari na project aliyofanya na timu kutoka Marekani, Daddy's Wedding itakayotoka Februari 14.

Monalisa amesema kuwa, mbali na kazi hii, ana project nyingine na timu kutoka UK kati ya nyingine ambazo zinaonesha kuwa taratibu sanaa hii imeanza kuvuka mipaka kuelekea kule kunakotakikana,.

Vilevile Star huyu wa filamu akaelezea matamanio yake ya...

 

10 years ago

GPL

MONALISA: NITAOLEWA MWEZI DESEMBA

MKONGWE kwenye sanaa ya filamu Bongo, Yvonne Cherry ‘Monalisa’ amesema baada ya kuchoka kuulizwa anaolewa lini, ameamua bora iwe mwezi wa 12. Mkongwe kwenye sanaa ya filamu Bongo, Yvonne Cherry ‘Monalisa’. Akizungumza na mwanahabari wetu, Monalisa alisema kutokana na hilo, kama mambo yatakwenda sawa, mwezi wa tano taratibu zitaanza na kila mmoja atamjua mumewe mtarajiwa atakayefunga naye ndoa Desemba,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani