Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Monalisa asema sanaa imevamiwa

USEMI wa mtoto wa nyoka ni nyoka, umejidhihirisha katika tasnia ya filamu nchini baada ya msanii Yvony Cherry ‘Monalisa’ kuonekana wazi anafuata nyayo za mama yake Suzan Lewis ‘Natasha’ katika...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Kitendo cha kupupuruka mwili nikawa kama AT kwangu itakuwa ni fedheha kubwa sana– Asema Msechu

Peter Msechu

Peter Msechu hana mpango wa kupungua mwili ili awaridhishe mashabiki ambao wamekuwa wakimsema kutokana na kujiachia sana mwili.

Peter Msechu

Muimbaji huyo wa ‘Nyota’ anaamini kuwa mwonekano alionao sasa ni moja ya utambulisho wake, hivyo akipungua mwili inaweza kuharibu ‘image’ yake. Mfano wa anachokimaanisha hapo ni kama Baghdad wa zamani na alivyo sasa unaweza kumsahau baada ya kupungua sana.

baghdad wa zamani na sasa
Kushoto Baghdad wa sasa, kulia wa zamani

“Mi ninachokiogopa kwenye maisha yangu ni kuwa model, sababu nadhani...

 

11 years ago

Mwananchi

Dhana ya kikwetu kwetu itasaidia sanaa sanaa

Ukifikiria umoja, halafu ukitaka kuleta ubinafsi ndani yake, huku ukiangalia dhana yenyewe kwa juu juu unaweza ukahisi unachanganya mambo, lakini ukikaa kwa umakini na kuzitekeleza dhana hizi kwa utaratibu, utajikuta kwenye mafanikio makubwa sana.

 

11 years ago

GPL

MONALISA AFANYIWA SHEREHE!

Stori: Hamida Hassan ZIKIWA zimekatika siku 40 tangu kifo cha muongozaji maarufu Bongo, George Otieno ‘Tyson’, mke wa ndoa wa marehemu, Yvonne Sheryl ‘Monalisa’, mama yake mzazi , Suzan Lewis ‘Natasha’ pamoja na mwanaye Sonia wamefanyiwa sherehe. Mke wa ndoa wa marehemu Tyson, Yvonne Sheryl ‘Monalisa’ akiwa katika picha ya pamoja na mwanaye Sonia. Kwa mujibu wa Monalisa,...

 

11 years ago

GPL

MONALISA HOFU YA JUJU

Stori: Mayasa Mariwata
STAA wa filamu Bongo, Yvone Cherry ‘Monalisa’ amesema anaogopa kuweka wazi mambo yake kwa kuhofia kupigwa juju hivyo anaishi kwa siri. Yvone Cherry ‘Monalisa’. Akipiga stori na paparazi wetu, Monalisa alisema amejifunza maisha ya usiri na ndiyo maana huwa haaniki hata tarehe, mwezi au mwaka wa kuzaliwa kwani watu wabaya hutumia nafasi hiyo kukuangamiza. “Asikudanganye mtu...

 

10 years ago

GPL

MONALISA: MIMI SI GUBEGUBE

Na Laurent Samatta/UWAZI
MSANII wa kitambo kwenye tasnia ya filamu Bongo, Yvonne Cherly ‘Monalisa’ (33) amesema kuwa yeye siyo gubegube kwani alishawahi kukaa ndani ya ndoa lakini sasa ameamua kutulia. Msanii wa kitambo kwenye tasnia ya filamu Bongo, Yvonne Cherly ‘Monalisa’. Akipiga stori mbili-tatu na Uwazi, Monalisa alisema kuwa hata kama akiamua kurudi upya kwenye ndoa anaweza na kutilia...

 

10 years ago

Bongo Movies

MONALISA: Eti Kwani Tunafanana?

UTANI KIDOGO: Mwigizaji nguli wa filamu  hapa nchini Yvonne Cherrie “Monalisa” ametupia picha hii mtandaoni akiwa na mama yake ambae pia ni muigizaji,Susan Lewis “Natasha” na kuandika maneno ya kiutani zaidi akijiita yeye CHEUSI na mama yake MAMVI nakuwauliza mashabiki kama wawili hawa  wanafanana.

“Nipo na mamvi,nimekutana nae kang'ang'ania kupiga picha na cheusi mangala eti kwani tumefanana?”

Monalisa ni mwigizaji na muongozaji wa filamu mkongwe hapa Afrika ya mashariki naamesha shinda...

 

10 years ago

Bongo Movies

Monalisa: Mimi Sio Gubegube

Mwigizaji mkongwe wa filamu hapa  Bongo, Yvonne Cherly ‘Monalisa’ (33) amesema kuwa yeye siyo gubegube kwani alishawahi kukaa ndani ya ndoa lakini sasa ameamua kutulia.

Akipiga stori mbili-tatu na  Gazeti la Uwazi, Monalisa alisema kuwa hata kama akiamua kurudi upya kwenye ndoa anaweza na kutilia msisitizo kuwa mwanaume atayemuoa lazima atambue kuwa anayemuoa ni Yvonne Cherly na si Monalisa kwani jina hilo litakalokuwepo kwenye cheti cha ndoa.

“Mimi si gubegube, nikiamua kurudi na kufunga...

 

10 years ago

Bongo Movies

Monalisa :Wasanii Wanajiachia Sana

YVONNE Cherryl ‘Monalisa’ mwigizaji wa kike katika tasnia ya filamu Swahilihood amefunguka kwa kuwaambia baadhi ya wasanii katika fani ya uigizaji kushindwa kulinda miili yao na kujiachia kwa kunenepa na kupoteza muonekano wao jambo ambalo linapoteza nafasi zao katika sinema.

“Sisi wasanii wa filamu kwa Bongo hatuwezi kabisa kulinda muonekano wetu kimaumbo msanii akikubalika tu anajiachia mwili huo, vijana wadogo tu kuna wakati unashindwa umchezeshe kama binti au mama mtu mzima, lakini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani