Meneja Sauti Sol kufunga ndoa na mwanamitindo
MWANAMITINDO mwenye jina kubwa nchini Kenya, Annabel Onyango na meneja wa kundi la muziki la Sauti Sol, Marek Fuchs, wanataraji kufunga ndoa ya kihistoria nchini hapo.
Kwa mujibu wa mtandao wa Kenyamoja, wachumba hao wa muda mrefu watafunga ndoa hiyo Septemba 19 na sherehe itafanyika katika hoteli ya Great Rift Valley tofauti na inavyofikiriwa kufanyika mjini ama kijijini kwao.
Wakati wote wa maandalizi ya harusi yao hiyo wapenzi hao wameweka kila kitu chao kitakachotokea kwa kila siku hadi...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLMENEJA NA KAKA WA P-SQUARE JUDE “ENGEES” OKOYE KUFUNGA NDOA MWEZI HUU
9 years ago
Bongo504 Jan
New Video: Sauti Sol – Relax
![relax](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2016/01/relax-300x194.jpg)
Kundi la Sauti Sol kutoka Kenya liliumaliza mwaka 2015 likiwa limepeleka sokoni album yao ya tatu, ‘Live and Die in Africa’ ambayo ina mkusanyiko wa hits zao zilizotoka na ambazo hazijatoka. Sauti wanaukaribisha mwaka mpya 2016 kwa kuachia video mpya ya ‘Relax’, wimbo unaopatikana kwenye album hiyo. Itazame hapa
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali...
9 years ago
Mwananchi28 Nov
AY, Diamond na Sauti Sol we acha tu!
9 years ago
Mtanzania18 Aug
Sauti Sol kutafuta wachumba Tanzania
Nairobi, Kenya
KUNDI linalofanya vizuri na wimbo wao wa ‘Nerea’ kutoka nchini Kenya, Sauti Sol, limetangaza kutafuta wachumba wa kuoa nchini Tanzania, huku wakiwaomba radhi wasichana wa Kenya.
“Samahani kwa wasichana wa nchini Kenya kutokana na maamuzi yetu ya kutaka kuoa huku Tanzania. Dar es Salaam? Kwa sasa tunatafuta warembo wa kuwaoa,” waliandika wasanii hao kupitia akauti yao ya Twitter.
Wasanii hao kwa sasa wanafanya vizuri nchini humo na wamefanikiwa kuchukua tuzo mbalimbali nje ya...
9 years ago
Habarileo17 Aug
Sauti Sol, Mafikizolo wakonga Dar
KUNDI la Mafikizolo kutoka Afrika Kusini pamoja na kundi la Sauti Sol kutoka Kenya juzi walizikonga nyoyo za mashabiki wao katika tamasha la Party in the Park lililofanyika Oysterbay, Dar es Salaam.
9 years ago
Habarileo15 Aug
Sauti Sol watua, kutumbuiza leo
KUNDI mahiri la muziki nchini Kenya la Sauti Sol jana liliwasili nchini tayari kwa onesho kabambe la muziki la Party in the Park litakalofanyika kwenye viwanja vya Farasi nyuma ya shule ya Oysterbay jijini Dar es Salaam.
10 years ago
Bongo506 Oct
New Music: Sauti Sol — Sura Yako