Messi aikata kauli ya Manuel Neuer
BARCELONA, HISPANIA
SIKU moja kaba ya mchezo wa juzi wa nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kati ya Barcelona dhidi ya Bayern Munich, mlinda mlango wa Bayern, Manuel Neuer, alisema kuwa katika mchezo huo atahakikisha Messi hapati bao.
Neuer alisema, atamuonesha kuwa yeye ni nani katika soka na jinsi anavyoweza kulinda lango kama ilivyokuwa katika mchezo wa fainali Kombe la Dunia mwaka jana.
“Nitamuonesha mimi na yeye nani zaidi, nitahakikisha hapati bao kama ilivyo katika fainali za kombe...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
TheCitizen12 Jan
Ronaldo hopes to hold off Messi, Neuer to retain Ballon d’Or
10 years ago
BBCSwahili02 Dec
Tuzo Fifa:Ronaldo,Messi,Neuer nani bora?
10 years ago
Bongo502 Dec
Nani kuibuka mwanasoka bora? Ni Ronaldo, Messi au Neuer?
9 years ago
MillardAyo29 Dec
Kauli ya Sergio Aguero kama unafikiria kuwa Lionel Messi atajiunga na Man City …
Staa wa kimataifa wa Argentina anayekipiga katika klabu ya Manchester City, Sergio Kun Aguero amekiri kuwa angependa kumuona mshambuliaji wa FC Barcelona na timu ya taifa ya Argentina Lionel Messi akijiunga na Manchester City japokuwa anaamini sio rahisi kufanya uamuzi huo. Ni zaidi ya mara mbili Lionel Messi anahusishwa kuhitajika na Man City, hata siku za […]
The post Kauli ya Sergio Aguero kama unafikiria kuwa Lionel Messi atajiunga na Man City … appeared first on...
10 years ago
BBCSwahili22 Sep
Manuel ''Chelsea ni timu ndogo''
11 years ago
TheCitizen02 Jul
Neuer and Schurrle vital for Germany
5 years ago
BBCSwahili28 Mar
Tetesi za soka Ulaya Jumamosi 28.03.2020: Neuer, Stones, Bonucci, Sancho, Godin
5 years ago
The Sun04 Apr
8am Chelsea news LIVE: Coutinho transfer target, Neuer UPDATE, and Premier League won’t restart in May