Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MEXICO YAADHIMISHA MWAKA 1 TANGU WANAFUNZI 43 KUTOWEKA

Maelfu ya watu wakiwa kwenye maandamano kuishinikiza serikali kutoa ukweli kuhusu vifo vya wanafunzi 43. Mwaka mmoja uliopita, wanafunzi 43 walipotea katika mji wa Iguala katika jimbo la Guerrero, kusini mwa Mexican.
Maelfu ya watu wanashiriki katika maandamano makubwa katika mji mkuu wa Mexico kuadhimisho mwaka mmoja tangu kutoweka kwa wanafunzi hao. Maandamano yakiendelea. Uchunguzi wa serikali ulidai kuwa, wanafunzi...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Mwaka 1 tangu wanafunzi 43 kutoweka Mexico

Maandamano yamefanyika Mexico kuishinikiza serikali kutoa ukweli kuhusiana na kutoweka kwa wanafunzi 43

 

10 years ago

Michuzi

LHRC YAADHIMISHA MIAKA 20 TANGU KUANZISHWA KWAKE SEPTEMBA 26, 1995

 Mgeni rasmi katika Maadhimisho ya miaka 20 tangu kuanzishwa kwa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) Septemba 26,1995, Jaji Mstaafu Osebia Munuo (katikati), akikata utepe kuashiria uzinduzi wa kitabu cha maadhimisho ya miaka 20 cha LHRC yaliyofanyika Makao Makuu ya LHRC Kijitonyama Dar es Salaam jana. Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya LHRC, Geoffrey Mmari na Mkurugenzi Mtendaji wa LHRC, Dk.Helen Kijo-Bisimba.  Mgeni rasmi katika Maadhimisho ya miaka 20 tangu kuanzishwa kwa Kituo cha...

 

11 years ago

Bongo5

Dunia yaadhimisha Mandela Day ya kwanza tangu kifo chake

Watu duniani kote Ijumaa hii wanasherehekea, “Mandela Day” ikiwa ni ya kwanza tangu rais huyo wa kwanza wa Afrika Kusini afariki dunia. Kama angekuwa hai, leo angetimiza umri wa miaka 96. Kwa miaka mitano sasa mamilioni ya watu duniani wamekuwa wamekuwa wakijitolea dakika 67 za muda wao kila July 18 kuadhimisha miaka 67 ya harakati […]

 

11 years ago

CloudsFM

Dunia yaadhimisha Mandela Day kwa mara ya kwanza tangu kifo chake....

Watu duniani kote Ijumaa hii wanasherehekea, “Mandela Day” ikiwa ni ya kwanza tangu rais huyo wa kwanza wa Afrika Kusini afariki dunia. Kama angekuwa hai, leo angetimiza umri wa miaka 96.

Kwa miaka mitano sasa mamilioni ya watu duniani wamekuwa wamekuwa wakijitolea dakika 67 za muda wao kila July 18 kuadhimisha miaka 67 ya harakati za kupigania uhuru za Mandela nchini Afrika Kusini. Mandela alifariki December 5 mwaka jana akiwa na miaka 95 kutokana na kuugua kwa muda mrefu.

Shughuli...

 

11 years ago

Michuzi

TANZANIA YAADHIMISHA MIAKA 100 TANGU KUANZA KWA VITA KUU YA KWANZA YA DUNIA

Katika kuadhimisha miaka 100 ya kuanza kwa Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia, Tanzania, Ubelgiji, Ugiriki, Iraki, Kenya, Nigeria na Afrika Kusini zimeungana na India katika hafla iliyoendana na uzinduzi wa kitabu cha picha za kumbukumbu za wapiganaji waliofariki kwenye vita hiyo kuanzia mwaka 1914 – 1918.
Akizungumza kwenye hafla hiyo, iliyofunguliwa na Mhe. Ban Ki-moon, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na Mhe. John W. Ashe, Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa na kuhudhuriwa na...

 

11 years ago

BBCSwahili

Wanafunzi 40 Mexico wapotea

Wanafunzi Mexico katika jimbo la Guerrero wameandamana katika mji mkuu wa jimbo la Chilpancingo kulalamikia kutoweka kwa wanafunzi wenzao.

 

10 years ago

BBCSwahili

Haki itatendeka kwa wanafunzi:43 Mexico

Mwanasheria mkuu Mexico, Jesus Murillo Karam,aahidi haki itatendeka katika kesi ya kupotea wanafunzi 43 miezi miwili iliyopita.

 

11 years ago

BBCSwahili

Kupotea wanafunzi Mexico: Meya atafutwa

Mwendesha mashtaka mkuu wa serikali ya Mexico ameamuru kukamtwa kwa Meya wa Iguala.

 

10 years ago

BBCSwahili

Genge lakiri kuwaua wanafunzi 40 Mexico

Mkuu wa sheria nchini Mexico anasema kuwa genge moja la wahalifu limekiri kuwaua zaidi ya wanafunzi 40 ambao waliotoweka

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani