Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mfahamu vizuri mwigizaji Jacob Steven (JB). Ametoka wapi na historia yake yote kwa ufupi mpaka sasa

Baada ya miaka 13 ya kuwapo katika fani ya sanaa ya maigizo, hakuna shaka kwamba, Steven Jacob maarufu kama JB, kwa sasa ni miongoni mwa watu wenye majina makubwa mno katika fani hiyo nchini. Ni miongoni mwa nyota `Watano’ Bora zaidi wa kiume kwa upande wa fani hiyo, hivyo kumfanya kuwa katika hadhi ya juu, sawa na nyota wengine kama akina Steven Kanumba na Vincent Kigosi `Ray’ na wengine.

Ndiyo maana haishangazi kuona kwamba, hata leo hii ukiingia katika soko la filamu zilizo juu, huwezi...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Bongo Movies

Fahamu historia fupi ya mwanadada Wastara Sajuki tangu alipoanza kuigiza mpaka sasa

Historia fupi ya mwanadada wa bongo movies - Wastara Sajuki. BONYEZA HAPA kuisoma. 

 

10 years ago

Bongo5

Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini ampongeza Cassper Nyovest kwa kuweka historia, itazame show iliyomletea heshima hiyo (Video)

casper the domeKudhihirisha kuwa rekodi aliyoiweka Cassper Nyovest, Jumamosi ya Oct.31,2015 hakikuwa kitu kidogo, Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini amempongeza rapper huyo kwa kuwa msanii wa kwanza wa Afrika Kusini kujaza ukumbi wa The Dome (sold-out show) ulioko jijini Johannesburg, wenye uwezo wa kuchukua watu 20,000, akiwa mwenyewe bila msaada wa msanii yeyote wa kimataifa. President […]

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Mfahamu Melissa Magiera, model kwenye video ya ‘Ntampata Wapi’

Diamond Platnumz amewapa mashabiki wake kile walichokuwa wakikingoja kwa muda mrefu, akaunti ya Instagram ya mrembo aliyemtumia kwenye video ya wimbo wake ‘Ntampata Wapi’. “Haya sasa, najua mlikuwa mkisubiria kwa mda mreeeeefu, hii ndio Instagram Aacount ya yule dada alonisaliti kwenye video ya #Ntampata_Wapi. .Basi nnavyowajua atatongozwa leo hadi akome, makuwadi sasa,” ameandika Diamond kwenye […]

 

10 years ago

Vijimambo

HAPO SASA MPAKA KIELEWEKE NGOMA UWANJANI KILA MTU NA KAULI MBIU YAKE KICHWANI

Mbio za urais 2015 kama kujiandikisha elimu ya shule ya msingi vile safari hii, ni kwanini imekuwa hivi unafikiri hawa wote wana uchungu na nchi yao au ni kwa ajili ya maslahi binafsi ndani ya viunga vywa Ikulu.

 

10 years ago

Vijimambo

TASWIRA ZA UWANJA WA KAITABA UNAVYOENDELEA MPAKA SASA MJINI BUKOBA. KUMALIZIKA KUJENGWA MWEZI DESEMBA 2015, KAGERA SUGAR KUTUMIA UWANJA WA MUSOMA KWA SASA.

Taswira ya Uwanja wa Kaitabaulivyo kwa sasa.
Nyasi bandia zikiwa zimewekwa pembeni ya Uwanja tayari kwa kutandikwa katika Uwanja huoMwakilishi kutoka shirikisho la soka Duniani (FIFA) baada ya kukagua maendeleo ya uwekaji nyasi bandi katika uwanja wa mpira wa Kaitaba Amewaomba mafundi kuongeza kasi ili ukamilike kwa muda uliopangwa. Mwakilishi huyo wa FIFA Mhandisi Kelvin Macklain, alitua Bukoba wiki iliyopita na kukagua hatua kwa hatua uwanja huo na alifika hapo kukagua hatua za mwisho...

 

11 years ago

GPL

HALI ILIVYO MPAKA SASA NYUMBANI KWA ALLY CHOKI

Ndugu na majirani wa karibu wakiwa katika msiba wa mke wa Ali Choki, Shuwea Hamis ‘Mama Shuu’ baada ya kuugua kwa muda mrefu na kuaga dunia usiku wa kuamkia leo. Mkurugenzi wa Extra Bongo akiwa na majonzi nyumbani kwake Toangoma, Kigamboni.…

 

11 years ago

Michuzi

DIAMOND MPAKA SASA AONGOZA KURA ZA BET KWA KUNDI LA WASANII WA AFRIKA

Msanii Nasibu Abdul alias 'Diamond Platnumz' kwa sasa anakimbiza katika mchakato wa upigaji kura katika Tuzo za BET 2014 ambapo mpaka saa 10:55 leo jioni alikuwa anaongoza katika kundi lake akiwa na asilimia 75.79 ya kura zote akifuatiwa na Mafikizolo wenye kura asilimia 8.34. na wengine kama jedwali linavyoonesha hapo chini. Tuzo hizo zitatolewa Juni 29 mwaka huu jijini Los Angeles, Marekani.   KUMPIGIA KURA DIAMOND , BOFYA HAPA Kisha telemka chini hadi utapokuta "BEST INTERNATIONAL ACT:...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani