Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Mfalme wa Wayoruba’ atawazwa Nigeria

Maelfu ya watu walijitokeza kushuhudia kutawazwa kwa mmoja wa wafalme wa Wayoruba ajulikanaye kama Ooni wa Ife.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Chukwuemeka Ike: Mfalme wa Nigeria mwandishi wa kitabu 'Toads for Supper'

Mashabiki wa Chukwuemeka Ike, aliyekufa mwezi ulioita, wanasema anastahili kutambulika na kuwa maarufu zaidi duniani.

 

10 years ago

Habarileo

Mwanafunzi atawazwa Chifu wa Wahehe

Wazee wa kimila wakimsimika Adam Abdul Sapi Mkwawa (aliyeshika ngao na mkuki) kuwa Chifu mpya wa Kabila la Wahehe, ikiwa ni siku mbili baada ya baba yake, Abdul Sapi Mkwawa kufariki dunia katika Kijiji cha Kalenga mkoani Iringa juzi. Picha ndogo Rais Jakaya Kikwete akimfariji Chifu huyo mpya wakati wa maziko ya baba yake. (Picha na Frank Leonard).MWANAFUNZI wa Darasa la Saba, Adam Abdul Sapi (13) ametawazwa kuwa Chifu mpya wa Wahehe, akirithi nafasi ya baba yake, aliyefariki na kuzikwa jana mkoani Iringa.

 

9 years ago

BBCSwahili

Dibaba atawazwa mwanariadha bora wa mwaka

Mwanariadha kutoka Ethiopia Genzebe Dibaba ameshinda tuzo ya Mwanariadha Bora wa Mwaka inayotolewa na Shirikisho la Riadha Duniani (IAAF) upande wa wanawake.

 

9 years ago

Mwananchi

Priscilla atawazwa Miss Albino 2015

Mkazi wa Chanika, Dar es Salaam, Priscilla Samweli (22) ameshinda taji la ‘Miss Albino 2015, akiwagaragaza wenzake saba.

 

9 years ago

BBCSwahili

Benitez nje Real Madrid,Zidane atawazwa

Klabu ya Hispania ya Real Madrid umemtimua kocha wake Rafael Benitez na nafasi yake imechukuliwa na mchezaji mkongwe mfaransa Zinedine Zidane.

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete atawazwa kuwa chifu msaidizi wa waluguru na chifu kingalu huko kinole, morogoro, apewa jina la Chidukila

 CHIFU wa Waluguru Kingalu Mwanabanzi wa 14, akijiandaa kumtawaza Rais Jakaya Mrisho Kikwete kuwa Chifu Msaidizi wa kabila hilo katika sherehe za aina yake zilizofanyika katika uwanja wa Shule ya Msingi ya Kinole, kata ya Makuyuni, Morogoro vijijini Agosti 22, 2014.  Rais Kikwete pia alipewa jina la CHIDUKILA, lenye kumaanisha "muibukaji", kwa maana ya kwamba Rais Kikwete ana uhuru wa kuibuka kijijini Kinole bila taarifa wala kusubiri kualikwa.
 CHIFU wa Waluguru Kingalu Mwanabanzi wa 14,...

 

10 years ago

Michuzi

Askofu Dk. Charles Gadi atawazwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Habari Njema kwa Wote Tanzania, atunukiwa shahada mbili za udaktari Bagamoyo

 Maaskofu kutoka nchi mbalimbali wakiwasili katika viwanja vya Kanisa la Habari Njema kwa Wote, lililopo mpakani mwa Dar es Salaam na Bagamoyo, ambako kulifanyika sherehe za kumtawaza na kumtunuku shahada mbili za udaktari Askofu Dk. Charles Gadi Jumapili

Moja ya kikundi cha kwaya ambazo zilitumbuiza katika hafla hiyo.


 Askofu Gadi akisimikwa na Maaskofu mbalimbali kutoka nje na nchini Jumapili

 Askofu Gadi akivikwa kofia kuashiria kutawazwa kuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Habari Njema kwa Wote...

 

10 years ago

Vijimambo

Mfalme Abdullah afariki dunia

Hayyat Mfalme Abdullah
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa mfalme wa Saudi Abdullah bin Abdulaziz amefariki dunia akiwa hospitalini .

Tamko la kifo cha mfalme huyo zilitolewa na kaka wa mfalme huyo aitwaye , Salman,ambaye naye aliwahi kuwa mfalme.

Kabla ya tamko hilo television ya taifa la Saudi lilikatiza matangazo yake na kuweka nyimbo za quraan ,kama ishara ya kifo cha kiongozi wa juu wa ufalme.

King Abdullah, amefariki dunia akiwa na miaka 90, alilazwa hospitalini kwa wiki kadhaa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Mwanawe mfalme mahakani uhispania

Mwanawe wa mwisho mfalme Juan Carlos wa Uhispania amefikishwa mahakamani kwa madai ya kukwepa kulipa ushuru na ulaji rushwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani