Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwanafunzi atawazwa Chifu wa Wahehe

Wazee wa kimila wakimsimika Adam Abdul Sapi Mkwawa (aliyeshika ngao na mkuki) kuwa Chifu mpya wa Kabila la Wahehe, ikiwa ni siku mbili baada ya baba yake, Abdul Sapi Mkwawa kufariki dunia katika Kijiji cha Kalenga mkoani Iringa juzi. Picha ndogo Rais Jakaya Kikwete akimfariji Chifu huyo mpya wakati wa maziko ya baba yake. (Picha na Frank Leonard).MWANAFUNZI wa Darasa la Saba, Adam Abdul Sapi (13) ametawazwa kuwa Chifu mpya wa Wahehe, akirithi nafasi ya baba yake, aliyefariki na kuzikwa jana mkoani Iringa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

CHIFU ADAM WA PILI ASIMIKWA RASMI KUWA CHIFU WA WAHEHE

   Chief Adam wa Pili Adam Abdul Adam Sapi Mkwawa Mwamuyinga jana alisimikwa rasmi na kukabidhiwa miiko ya utawala wa kabila la Kihehe baada ya kufikisha umri wa kuongoza.

Hafla hiyo imefanyika katika Uwanja wa Mashujaa uliopo Kalenga Mkoani Iringa ambapo Umoja Wa Machief Tanzania UMT umeshiriki.
Chief Adam wa Pili anachukua nafasi ya baba yake, Chief Abdul Mfwimwi aliyefariki mwaka 2005.

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete atawazwa kuwa chifu msaidizi wa waluguru na chifu kingalu huko kinole, morogoro, apewa jina la Chidukila

 CHIFU wa Waluguru Kingalu Mwanabanzi wa 14, akijiandaa kumtawaza Rais Jakaya Mrisho Kikwete kuwa Chifu Msaidizi wa kabila hilo katika sherehe za aina yake zilizofanyika katika uwanja wa Shule ya Msingi ya Kinole, kata ya Makuyuni, Morogoro vijijini Agosti 22, 2014.  Rais Kikwete pia alipewa jina la CHIDUKILA, lenye kumaanisha "muibukaji", kwa maana ya kwamba Rais Kikwete ana uhuru wa kuibuka kijijini Kinole bila taarifa wala kusubiri kualikwa.
 CHIFU wa Waluguru Kingalu Mwanabanzi wa 14,...

 

9 years ago

Mwananchi

Chifu Adam Sapi Mkwawa wa Pili, kusubiri miaka 7 aongoze Wahehe

Unapokutana naye kwa mara ya kwanza huwezi kubaini tofauti yake na watoto wengine wenye umri  wa miaka 13 kama alivyo yeye ambao hupenda na kufurahia kucheza michezo mbalimbali ikiwamo ya kompyuta, kuendesha baiskeli, mpira wa kikapu hasa baada ya kumaliza mazoezi ya shuleni au kusaidia kuuza duka la familia.

 

10 years ago

Michuzi

PINDA AWASILI IRINGA, AKUTANA NA CHIFU WA WAHEHE ADAM ABDU SAPI MKWAWA

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Chifu wa Wahehe Adam Abdu  Sapi Mkwawa baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Iringa  Waziri  Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu  wakizungumza na  Chifu wa Wahehe Adam Abdu  Sapi Mkwawa baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Iringa leoWaziri  Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na  Chifu wa Wahehe Adam Abdu  Sapi Mkwawa baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Iringa Juni 20, 2015 Picha na Ofisi ya Waziri...

 

10 years ago

GPL

KINANA ATEMBELEA MAKUMBUSHO YA CHIFU MKWAWA, KALENGA, IRINGA - APEWA HESHIMA YA UCHIFU WA WAHEHE

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiangalia fuvu la aliyekuwa Chifu wa Wahehe, Mkwawa alipotembelea Makumbusho ya shujaa huyo aliyepambana na wajerumani na kujiua kwa bunduki baada ya kuona yupo hatarini kukamatwa na wajerumani. Picha ya kuchora ya Chifu Mkwawa…

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AHUDHURIA MAZISHI YA CHIFU KINGALU WA 14 WA WALUGURU, NA KUSIMIKWA KWA CHIFU KINGALU 15 KIJIJINI KINOLE, MOROGORO


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa pole na pia kumpongeza Kiongozi mpya wa kabila la Waluguru wa Mkoa wa Morogoro Chifu Kingalu wa 15 baada ya kusimikwa rasmi kijijini Kinole mkoani Morogoro leo Alhamisi Julai 3, 2015 kufuatia kifo na hatimaye mazishi ya kaka yake Marehemu Chifu Kingalu wa 14.
Kiongozi mpya wa kabila la Waluguru wa Mkoa wa Morogoro Chifu Kingalu wa 15 akiongea machache baada ya kusimikwa rasmi kijijini Kinole mkoani Morogoro leo Alhamisi Julai 3, 2015 kufuatia kifo na...

 

9 years ago

BBCSwahili

‘Mfalme wa Wayoruba’ atawazwa Nigeria

Maelfu ya watu walijitokeza kushuhudia kutawazwa kwa mmoja wa wafalme wa Wayoruba ajulikanaye kama Ooni wa Ife.

 

11 years ago

CloudsFM

POLISI AMRUBUNI MWANAFUNZI KUFANYA NAYE MPENZI,AMWACHA CHUMBANI KWAKE,NYUMBA YAKE YAUNGUA MOTO,MWANAFUNZI AFARIKI DUNIA

Wananchi wa Mlangali, Ludewa wakiwa wamekizingira kituo cha polisi Mlangali mara baada ya kuipeleka maiti ya mtoto aliyeteketea kwa moto katika kituo hicho.KIONGOZI wa mbio za mwenge Kitaifa awatuliza wananchi wa Mlangali wilaya ya Ludewa ambao baadhi yao waliandamana kituo cha polisi kushinikiza kutolewa kwa askari polisi aliyedaiwa kusababisha kifo cha mtoto ili auwawe.Kiongozi huyo aliwaomba wananchi wa Mlangali kutokubali kujihusisha na vitendo vya uvunjifu wa amani ikiwa ni pamoja na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani