Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mfanyakazi wa UN afariki Ujerumani



Mfanyakazi katika kituo cha kuwahudumia wagonjwa wa Ebola.
Mfanyakazi wa Umoja wa Mataifa aliyeambukizwa Ebola amefariki dunia katika hospitali moja nchini Ujerumani.
Madaktari katika hospitali ya Leipzig wamesema mtu huyo mwenye umri wa miaka 56, alifariki dunia mapema Jumanne asubuhi.Mlipuko huo umeua zaidi ya watu 4,000 tangu mwezi Marchi, mwaka huu hususan katika nchi za Liberia, Sierra Leone, Guinea na Nigeria.
Shirika la Afya Duniani limeuelezea ugonjwa huo kama tatizo la dharura la...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

ROBOTI LAMUUA MFANYAKAZI KIWANDA CHA MAGARI CHA VOLKSWAGEN UJERUMANI

Hiki ni moja ya viwanda vinavyotengeneza magari aina ya Volkswagen nchini Ujerumani. Roboti zikichomelea magari katika kiwanda cha Volkswagen. Hapa ndipo mfanyakazi wa Volkswagem alipofariki kwa kuuawa na roboti kaskazini mwa jiji la Frankfurt, Ujerumani. Frankfurt, Ujeruman ROBOTI moja iliyokosa…

 

11 years ago

GPL

MFANYAKAZI WA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA MJINI MOSHI (MUWSA) AFARIKI DUNIA KATIKA AJALI

Pikipiki aina ya Suzuki ikiwa imenasa mbele ya lori baada ya kugongana uso kwa uso.
Baada ya ajali hiyo pikipiki ilibaki ikiwa imesimama baada ya kunasa chini ya lori la mafuta.…

 

11 years ago

Michuzi

MFANYAKAZI WA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA MJINI MOSHI(MUWSA)AFARIKI DUNIA KATIKA AJALI

Pikipiki aina ya Suzuki ikiwa imenasa mbele ya Lori baada ya kugongana uso kwa uso .Baada ya ajali hiyo pikipiki ilibaki ikiwa imesimama baada ya kunasa chini ya Lori la mafuta.Askari wa kikosi cha usalama barabarani wakiwa katika eneo la tukio kwa ajili ya kufanya vipimo.Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii kanda ya Kaskazini.

Ajali mbaya imetokea barabara kuu ya Arusha Moshi ikihusisha Lori aina ya Sacania lenye namba za Usajili T 137 ATA na pikipiki aina ya Suzuki yenye namba SU 40262 mali...

 

9 years ago

BBCSwahili

Kiongozi wa zamani wa Ujerumani afariki

Chansela wa za zamanji wa Ujerumani Magharibi Helmut Shcimdt amefariki akiwa na umri wa miaka 96.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mfanyakzi wa UN afariki nchini Ujerumani

Mfanyakazi wa Umoja wa Mataifa aliyeambukizwa Ebola amefariki dunia katika hospitali moja nchini Ujerumani.

 

11 years ago

Mwananchi

Adaiwa kumdhalilisha mfanyakazi

>Mkazi wa Singida Mjini, Jacqueline Kweka (30) jana alipandishwa mahakamani mjini hapa akikabiliwa na tuhuma za kumfanyia ukatili mfanyakazi wake wa ndani (15).

 

10 years ago

GPL

MFANYAKAZI CLOUDS MBARONI

Musa mateja MREMBO aliyetajwa kwa jina la Cynthia Maximillian ambaye alikuwa mfanyakazi wa Kampuni ya Clouds Media Group  amejikuta akitiwa mbaroni kwa madai ya kutapeli mamilioni ya shilingi ya wafanyakazi wenzake na marafiki aliosoma nao....Soma zidi===>http://bit.ly/1HXXrRE

 

10 years ago

Tanzania Daima

Haki na wajibu wa mfanyakazi II

Haki ya kupata mapumziko ya uzazi Hakuna mfanyakazi aliyejifungua atakayefanya kazi ndani ya wiki sita tangu ajifungue isipokuwa kwa ruhusa ya daktari. Mfanyakazi aliyejifungua ana haki ya kuendelea na kazi...

 

11 years ago

Habarileo

Mashine yaua mfanyakazi kiwandani

MFANYAKAZI wa kiwanda cha kutengeneza nguo na vyandarua cha A to Z, kilichopo Kisongo nje kidogo ya Jiji la Arusha amekufa kwa kile kinachoelezwa kuwa ni kudondokewa na mashine ya kufungia marobota.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani