Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mfanyakzi wa UN afariki nchini Ujerumani

Mfanyakazi wa Umoja wa Mataifa aliyeambukizwa Ebola amefariki dunia katika hospitali moja nchini Ujerumani.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Vijimambo

Mfanyakazi wa UN afariki Ujerumani



Mfanyakazi katika kituo cha kuwahudumia wagonjwa wa Ebola.
Mfanyakazi wa Umoja wa Mataifa aliyeambukizwa Ebola amefariki dunia katika hospitali moja nchini Ujerumani.
Madaktari katika hospitali ya Leipzig wamesema mtu huyo mwenye umri wa miaka 56, alifariki dunia mapema Jumanne asubuhi.Mlipuko huo umeua zaidi ya watu 4,000 tangu mwezi Marchi, mwaka huu hususan katika nchi za Liberia, Sierra Leone, Guinea na Nigeria.
Shirika la Afya Duniani limeuelezea ugonjwa huo kama tatizo la dharura la...

 

9 years ago

BBCSwahili

Kiongozi wa zamani wa Ujerumani afariki

Chansela wa za zamanji wa Ujerumani Magharibi Helmut Shcimdt amefariki akiwa na umri wa miaka 96.

 

10 years ago

Dewji Blog

Waziri Celina Kombani afariki dunia nchini India leo, mwili wake watarajiwa kuwasili nchini JUMATATU

kombani

Majonzi makubwa  lufuatia taarifa za msiba  jioni ya leo Septemba 24.2015, Aliyekuwa  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Ompeshi Kombani (56),  amefariki dunia leo huko India alikokuwa akipata matibabu ya saratani. 

Tayari mamlaka husika ikiwemo Serikali na Bunge  kupitia  ofisi za Bunge zimethibitisha kifo hicho na kubainisha kuwa, mwili wa marehemu unategemewa kuwasili  Tanzania, siku ya Jumatatu, na shughuli zote Bunge na Serikali zitasimamia...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ndege ya Ujerumani yaanguka nchini Ufaransa

Ndege ya shirika la ndege la Ujerumani imeanguka katika eneo la milima ya Alps nchini Ufaransa ikiwa na abiria 142 na wahudumu 6

 

10 years ago

GPL

RAIS WA UJERUMANI JOACHIM GAUCK AWASILI NCHINI

Rais wa Ujerumani Mh. Joachim Gauck  akiwa ameambatana na mkewe Bibi Schadt akiwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere usiku wa kuamkia leo jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal (kulia) akiwa mwenye furaha mara baada ya kumpokea Rais wa Ujerumani Mh. Joachim Gauck  na Mkewe Bibi Schadt (walioshika maua), Uwanja wa ndege wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Mkasa uliompata Rais wa Misri nchini Ujerumani

Kisa cha kushangaza na kufadhaisha kimetokea katikati ya wiki iliyopita katika mji mkuu wa Ujerumani, Berlin.

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS WA UJERUMANI JOACHIM GAUCK ALIVYOWASILI NCHINI

Rais wa Ujerumani Mh. Joachim Gauck akiwa ameambatana na mkewe Bibi Schadt akiwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere usiku wa kuamkia leo jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal (kulia) akiwa mwenye furaha mara baada ya kumpokea Rais wa Ujerumani Mh. Joachim Gauck na Mkewe Bibi Schadt (walioshika maua), uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere.Rais wa Ujerumani Mh. Joachim Gauck akiwa na...

 

10 years ago

Michuzi

WIZARA YA NISHATI MADINI YAKUTANA NA WAFANYABIASHARA WA UJERUMANI NCHINI

 Naibu Waziri wa Madini wa Wizara ya Nishati na Madini,Charle’s  Kitwanga akizungumza leo jijini Dar es Salaam  na wafanyabiashara wa Ujerumani wakitaka kujua fursa za uwekezaji katika sekta ya Nishati na Madini.

 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini,Ndosi Mwihava akitoa maelezo kwa wafanyabiashara wa Ujerumani wakitaka kujua mazingira ya uwekezaji katika sekta ya nishati na Madini walipotembelea wizara hiyo jijini Dar es Salaam. Kiongozi wa Wafanyabiashara wa Ujerumani...

 

10 years ago

Vijimambo

Rais wa Ujerumani awasili nchini kuanza ziara ya kitaifa

Rais wa Ujerumani, Mhe. Joachim Gauck pamoja na Mhe. Mama Schadt wakiteremka kwenye ndege mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuanza ziara ya kitaifa ya siku tano hapa nchini. Mhe. Gauck akilakiwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mohammed Gharib Bilal mara baada ya kuwasili nchini. Mhe. Gauck na Mama Schadt wakipokea maua kutoka kwa Watoto Elizabeth Jackson na Barqat Mvungi walioandaliwa kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani