‘Mfuko wa Mkoba ndio kimbilio la wajasiriamali’
MFUKO wa Mitaji ya Wafanyabiashara (Mkoba Private Equity Fund), uliozinduliwa na Rais Jakaya Kikwete hivi karibuni, umeelezwa kuwa ndio kimbilio kubwa kwa wafanyabiashara wadogo na wa kati katika kupata mitaji ya kukuza biashara zao.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziWAJASIRIAMALI TOKA VIKUNDI MBALIMBALI WAHAMASISHWA KUJIUNGA NA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (NHIF)
Wajasiriamali toka vikundi mbalimbali wamehamasishwa kujiunga na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) ili kurahisisha matibabu wawapo katika shughuli zao za kawaida,leo katika ukumbi wa Msimbazi Centre jijini Dar es Salaam.
Katika Mpango mpya uliozinduliwa na Mfuko huo ujulikanao kama Mpango wa Kikoa(MATUAL PLAN),Wajasiriamali watakaojiunga na mfuko huo na kuwa wanachama watalipia shilingi 76,800 kwa mwaka ili kupata matibabu kupitia mfuko huo. ...
10 years ago
Dewji Blog22 Jan
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya watoa elimu kwa viongozi wa SACCOS za wajasiriamali mansipaa ya Ilala
Mkurugenzi wa CHF Bima ya Afya, Bw.Rehan Athumani (katikati) akifungua semina ya siku tatu Januari 21, 2015 jijini Dar es Salaam ya viongozi wa SACCOS za wajasiriamali zilizopo Mansipaa ya Ilala iliyoandaliwa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) lengo la semina hiyo kuwapa elimu viongozi hao kuhusu Mfuko Taifa wa Bima ya Afya ili wapeleke ujumbe kwa wanachama wa SACCOS waweze kujiunga na mfuko huo (kushoto) Afisa Ushirika Mansipaa ya Ilala, Ladislaus Mwamanswao (kulia) Meneja wa CHF...
10 years ago
Dewji Blog17 Feb
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya NHIF yaendelea kutoa mafunzo kwa wajasiriamali wasio katika sekta rasmi
Meneja wa Bima ya Afya NHIF Wilaya ya Temeke, Bi Ellentruder Mbogoro (kushoto), akifafanua machache kabla ya kumkaribisha mgeni rasimi Mkurugenzi wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF), Bw. Rehani Athumani kufungua mafunzo ya siku moja ya viongozi wa SACCOS Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam Februari 17,2015 lengo la mafunzo hayo ni kuwapa elimu kuhusiana na mpango wa NHIF wa KIKOA unaotolewa Bima ya Afya waweze kujiunga na Mfuko huo ili wapate uhakika wa matibabu kupitia mfuko wa bima ya afya...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-t-JQsfU4D3Y/XrEM6xF507I/AAAAAAALpKc/FzoO0pOygcgjlzThCoijbVtdAshwndhZACLcBGAsYHQ/s72-c/index.png)
CHANGAMOTO YA MABADILIKO YA TABIANCHI UKANDA WA EAC MFUKO WA PAMOJA NDIO SULUHU YA KUKABILIANA NAYO
![](https://1.bp.blogspot.com/-t-JQsfU4D3Y/XrEM6xF507I/AAAAAAALpKc/FzoO0pOygcgjlzThCoijbVtdAshwndhZACLcBGAsYHQ/s320/index.png)
Na Ahmed Mahmoud, Arusha.
Imeelezwa kuwa changamoto ya utoaji wa fedha za fidia kwa nchi zenye kuleta athari ya mabadiliko ya Tabianchi duniani kwa kiwango kikubwa imekuwa ni Tatizo hivyo inahitajika mjadala mpana kuokoa hali ya athari za mabadiliko ya Tabianchi kwa nchi changa duniani.
Hayo yamebainishwa kwenye mjadala wa kamati ya Kilimo Maliasili na Utalii ya bunge la Afrika mashariki na mbunge wa bunge hilo Josephine Lemoyan wakati alipokuwa akiongea na vyombo vya habari Mara baada...
11 years ago
GPLWAZIRI WA KAZI NA AJIRA MH. GAUDENTIA KABAKA ATEMBELEA BANDA LA GEPF NA KUSIFU UBUNIFU WA MFUKO WA GEPF KATIKA KUTOA HIFADHI YA JAMII KWA WAJASIRIAMALI
10 years ago
Habarileo07 Sep
JWTZ ni kimbilio la wananchi-Kikwete
RAIS na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jakaya Kikwete amesema kuwa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ni kimbilio la Watanzania wote kutokana na mahusiano mazuri ambayo yamekuwepo kati ya jeshi hilo na wananchi katika miaka 50 iliyopita.
10 years ago
Tanzania Daima10 Sep
Salum Mwalimu: Chadema kimbilio la wanyonge
SALUM Mwalimu, si jina geni kwa Watanzania wengi wanaofuatilia matukio yanayotokea hapa nchini na nje ya nchi mara kwa mara. Jina hili ni la mwanahabari aliyejizolea umaarufu mkubwa akiwa katika...
11 years ago
Tanzania Daima28 Jan
NISCO: Kimbilio la taasisi nyeti za umma, binafsi
KATIKA nchi ya Afrika Kusini kampuni za ulinzi binafsi ndizo zinazoongoza kutoa huduma ya ulinzi na kutangaza uhalifu unaojitokeza. Shabaha ya kufanya hivyo ni kutaka jamii iwe makini na kuweza...
10 years ago
Dewji Blog26 May
PSPF ya ungana na wanawake wajasiriamali katika hafla ya kuendeleza umoja wa wajasiriamali Dar
Meneja msaidizi wa uchangiaji wa hiari Matilda Nyallu wa mfuko wa pensheni wa (PSPF) akieleza namna ya mfuko wa Hiari unavyo kuwa na nijinsi gani utafaidika pindi unapo jiunga na kuwa mmoja wa wadau wa (PSPF).
Kushoto Muandaaji wa sherehe ya wanawake wajasiriamali Shamimu Mwasha ambaye ni mdau wa (PSPF) akitoa ufafanuzi wa sherehe hiyo na kuwakaribisha wageni walioweza kuhudhuriapembeni ni mshereheshaji wa sherehe hiyo Jokate Mwegelo.
Afisa wa mfuko wa pensheni wa (PSPF) kushoto Hadji...