Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Mfumo wa kodi nchini ufumuliwe tujenge taifa’

Tumeshuhudia miezi miwili ya vuta ni kuvute kati ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na wafanyabiashara nchini ambao walifunga biashara zao ili kuishinikiza Serikali kutatua changamoto kwenye mashine za Electronic Fiscal Device (EFD) na taratibu za kutoa mizigo bandarini pamoja na vikwazo vingine.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Wakosoa mfumo wa ukusanyaji kodi

Shirikisho la Wenye Viwanda Tanzania (CTI), limeibua maeneo matatu muhimu kama Serikali itaelekeza nguvu zake, itasaidia kukusanya mapato na kuongeza pato la taifa.

 

10 years ago

Mwananchi

Mfumo wa ulipaji kodi wawatesa wafanyabiashara

Umoja wa Wafanyabiashara Tanzania umeiomba Serikali kuboresha mfumo wa utozaji kodi kwa kutumia Mashine za Kieletroniki za Malipo (EFD) kwa kuwa makato wanayokatwa hayalingani na thamani ya ununuzi wa bidhaa husika.

 

11 years ago

Mwananchi

TRA na JWT waanza kupitia mfumo wa kodi

Jumuiya ya Wafanyabiashara Tanzania (JWT) na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wameanza kazi ya mapitio ya kuboresha mfumo mzima wa kodi ili uendane na matumizi ya mashine za kielektroniki (EFD).

 

10 years ago

Mwananchi

Uboreshaji mfumo wa kodi utakuza biashara, uchumi

Hotuba ya awali ya Bajeti ya Waziri wa Fedha Zanzibar, Omar Yussuf Mzee imeshindwa kuwakuna wadau wa utalii kutokana na kuanzisha kodi ya miundombinu ya Dola moja ya Marekani kwa usiku mmoja kwa kila mgeni atakayelala katika hoteli visiwani humo.

 

10 years ago

Mwananchi

Nchi inaibiwa kwa kutumia mfumo wa kukusanya kodi

Sakata la wafanyabiashara kufunga maduka kwa siku kadhaa katika baadhi ya miji nchini wakipinga matumizi ya Mashine za Risiti za Kieletroniki (EFD) limeelezwa kukumbwa na vikwazo kutoka kwa baadhi ya vigogo kunufaika na mashine hizo.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mfumo wa Kielektroniki kutumika ukusanyaji wa kodi ya majengo jijini Mwanza

4-aggrey Mwanri akijibu hoja

Mbunge wa Magu, Naibu Waziri wa  Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Aggrey Mwanri.

Na.  Johary Kachwamba
  JIJI la Mwanza limeingizwa katika mfumo wa kielektroniki wa utambuzi wa majengo yote  yanayopaswa kufanyiwa uthamini unaojulikana kama Local Government Revenue Collection Information System (LGRCIS) kupitia mradi wa Miji ya kimkakati (TSCP) unaohisaniwa na Benki ya Dunia. Katika kujibu swali la Mhe.Dkt. Festus Bulugu, Mbunge wa Magu, Naibu Waziri wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Mfumo unaiharibu Taifa Stars- Mrwanda

Mshambuliaji wa Polisi Morogoro, Danny Mrwanda amesema mfumo mbovu wa kuiandaa timu ya Taifa ndio unaigharimu timu hiyo hadi kufanya vibaya.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Hakuna taifa linaloendelea bila wananchi kulipa kodi

“IMEKUWA hulka kwa wafanyabiashara kuona sifa kukwepa kulipa kodi na hali inakuwa mbaya zaidi pale wananchi watakapokosa uzalendo katika suala zima la ulipaji kodi.” Hiyo ni kauli ya Meneja Msaidizi...

 

5 years ago

Michuzi

MAKUMBUSHO YA TAIFA KUIMARISHA MFUMO WA MAWASILIANO WA KIDIJITALI


Pichani kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Makumbusho ya Taifa Dkt Noel Lwoga akishauri namna ya kuboroa mfumo wa mawasiliano wa Taasisi hiyo  kidijitali.
Na Sixmund J.Begashe Makumbusho ya Taifa nchini imeweka mikakati ya kuimarisha mifumo ya kimawasiliano kidijiitali ili kuendana na kasi ya Sayansi na Teknolojia Duniani.
Akizungumza katika kikao maalumu cha kupitia hatua za Maboresho ya Mifumo hiyo kilicho udhuriwa na wajumbe wa Menejimenti ya uongozi wa Dar Es Salaam, Mkurugenzi Mkuu wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani