Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MFUMO WA KUDHIBITI MAFURIKO TANZANIA

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

KUIMARIKA KWA MFUMO WA KUDHIBITI FEDHA HARAMU



JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA FEDHA
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI                    KUIMARIKA KWA MFUMO WA KUDHIBITI FEDHA HARAMU
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni mwanachama mwanzilishi wa Umoja wa Nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika wa Kudhibiti Fedha Haramu (The Eastern and Southern Africa Anti - Money Laundering Group (ESAAMLG)) ulioanzishwa mwaka 1999,  kwa lengo la kuweka mikakati ya pamoja ya kudhibiti fedha haramu na ufadhili wa ugaidi kwa nchi za Mashariki na Kusini...

 

9 years ago

StarTV

Mfumo mpya wa kuwatambua na Kudhibiti Wadaiwa Sugu Wa Mikopo wazinduliwa

Taasisi za Fedha Nchini zimeshauriwa kujiunga na mfumo mpya wa upatikanaji taarifa za wahitaji wa mikopo katika   benki mbalimbali ili kuweza kudhibiti vitendo vya baadhi ya wananchi kutolipa kwa wakati ama kutolipa kabisa.

Mfumo huo ujulikanao kama Credit Scoring Tool utaziwezesha benki kuongeza mapato kutokana na uhakika wa urudishwaji mikopo kutoka kwa wateja na utasaidia kuongeza ufanisi wa utoaji wa mikopo kwa muda mfupi tofauti na mfumo wa zamani.

 

Taarifa zinaonyesha kuwa baadhi ya...

 

11 years ago

Michuzi

MAKARANI 90 WA MAHAKAMA MBALIMBALI NCHINI KUPEWA MAFUNZO YA KUJIFUNZA MFUMO MPYA WA TEKNOLOJIA WA KUDHIBITI MASHAURI MAHAKAMANI KWA NJIA YA KOMPYUTA

    Mhe. Hussein Kattanga, Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, akifungua mafunzo hayo rasmi jana, katika maneno yake ya ufunguzi Kattanga amewaasa Makarani kutokufanya kazi kwa mazoea bali kufanya kulingana na misingi ya maadili ya Mahakama iliyopo lengo likiwa ni kubadili taswira ya Mahakama kwa wananchi, (kushoto) ni Msajili wa Mahakama ya Ardhi, Mhe. Lameck Mlacha, kulia ni Naibu Mkurugenzi Mafunzo, Bi. Rehema Vyas.

 Mmoja wa Makarani kutoka Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam,...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Ushahidi wa awali waonesha jinsi inavyoweza kufundisha mfumo wa kinga kudhibiti corona

Majaribio zaid yanatarajiwa kufanyika ili kuthibitisha kama chanjo hiyo inaweza kuzuia maambukizi ya corona.

 

9 years ago

Mwananchi

Tanzania, China kudhibiti bidhaa feki

Shirika la Viwango Tanzania (TBS), limeingia mkataba na Serikali ya China kufanya ukaguzi na kudhibiti uingizwaji wa bidhaa feki nchini.

 

5 years ago

Michuzi

UNODC YAIPONGEZA TANZANIA KUDHIBITI DAWA ZA KULEVYA

Na. Erick Msuya 
SHIRIKA la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Dawa za Kulevya na Uhalifu (UNODC) kupitia kamisheni ya Kimataifa ya Kudhibiti Dawa za Kulevya limeipongeza Tanzania kwa jitihada madhubuti za kudhibiti na kupambana na tatizo la dawa za kulevya.Kwa mujibu wa taarifa inasema, juhudi hizo  zimeleta matokeo chanya katika mapambano ya dawa za kulevya duniani katika kipindi cha miaka  mitatu mfululizo kuanzia mwaka 2018 hadi 2020.Hayo yamesemwa leo Jijini Dar es Salaam na...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mafuriko yawaua watu 8 Tanzania

Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbali mbali ya Tanzania zimesababisha vifo vya watu wasiopungua wanane

 

10 years ago

BBCSwahili

Mafuriko yawaua watu 38 Tanzania

Mafuriko mabaya kazkazini magharibi mwa Tanzania yamewaua takriban watu 38.

 

10 years ago

StarTV

Tanzania yaipongeza China kudhibiti biashara meno ya Tembo.

Na Immaculate Kilulya,

Dar es Salaam.

 

Serikali ya Tanzania imeipongeza Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China kwa kupiga marufuku uingizwaji wa bidhaa zote zitokanazo na meno ya Tembo kutoka sehemu yoyote duniani kwa kipindi cha mwaka mmoja kwa kusema hatua hiyo itasaidia kumaliza mauaji ya wanyama hao.

 

Uamuzi huo wa China unatokana na ushawishi wa Viongozi wa Afrika chini ya Rais Jakaya Kikwete na mataifa washiriki duniani ya Amerika, Ujerumani, Jumuiya ya Ulaya, Uingereza na Serikali ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani