Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mfumo wa kutambua matumizi ya risasi

Mfumo wa kutambua matumizi ya risasi ujulikanao kama Shot Spotter umeonyesha matumaini katika kupambana na uhalifu, Afrika Kusini.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

China yazindua mfumo wa kutambua unyanyasaji

Mji wa Yiwu nchini China umeanzisha mfumo utakaowezesha watu kufahamu kiwa wapenzi wao wana historia ya unyanyasaji kabla ya kufunga ndoa.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Vijana Kenya wavumbua mfumo wa CovIdent unaotarajiwa kutambua wenye virusi

Chuo kikuu Cha teknolojia cha Meru nchini Kenya kimevumbua mfumo wa kidigitali unaofahamika kama CovIdent utakaotoa alama za data binafsi kwa lengo la kurahisisha upimaji wa virusi vya corona kwa watu wengi.

 

10 years ago

Michuzi

TPA yasisitiza matumizi ya mfumo wa Kiiletroniki kwa wadau wake

Watumiaji wa Bandari ya Dar es Salaam wametakiwa kuongeza kasi ya utumiaji wa mifumo wa kiiletroniki kulipia huduma zinazotolewa na mamlaka hiyo ili kuongeza ufanisi wa kazi na kuondoa usheleweshaji wa uondoaji wa mizigo. Kaimu Meneja Bandari ya Dar es Salaam, Bw. Hebel Mhanga amesema matumizi sahihi ya njia za kielektroniki yatasaidia kwa kiwango kikubwa kuongeza ufanisi wa kazi katika bandari hiyo.  Akiongeana na waandishi wa habari baada mkutano kati ya Mamlaka ya Usimamizi wa bandari...

 

11 years ago

Michuzi

warsha ya matumizi ya mfumo wa GeoCLIM Tanzania yafynguliwa jijini dar

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa , Dkt Agnes Kijazi amefungua rasmi warsha ya matumizi ya mfumo wa GEOCLIM katika hoteli ya Blue Pearl jijini Dar es Salaam. Warsha hii imeanza rasmi tarehe 8 na itaendelea hadi tarehe 12 Aprili 2014.
GeoCLIM ni mfumo unaosaidia kutoa takwimu za uhakika za taarifa za hali ya hewa kwa kipindi cha miaka mingi (muda mrefu), kwa kuziweka taarifa hizo katika mfumo uliorahisi kutumia (gridded) Dkt Kijazi alisema lengo la warsha hiyo ni kuongeza...

 

9 years ago

Vijimambo

TFDA NA TAASISI YA TRADEMARK EAST AFRICA (TMEA) WAZINDUA MFUMO WA UTOAJI VIBALI KWA MFUMO WA KIELEKITRONIKI

 Mganga Mkuu wa Serikali, Profesa Muhammad Kambi (kulia), akibonyeza kituvye Dar es Salaam leo asubuhi, kuashiria uzinduzi wa mfumo wa utoaji vibali kwa njia ya kielekitroniki (e-portal) ambao utawezesha Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA), kuhudumia wateja wake kwa kutumia mtandao wa intaneti. Mpango huo unaendeshwa kwa ushirikiano wa TFDA na Taasisi ya TradeMark East Africa (TMEA) Viongozi wakiwa meza kuu wakifuatilia uzinduzi huo.
 Wadau mbalimbali wakiwa kwenye hafla hiyo ya uzinduzi. Wadau...

 

9 years ago

MillardAyo

Baada ya kuuwawa kwa risasi kwa staa wa soka wa Honduras, staa mwingine tena kauwawa kwa risasi

Ikiwa ni zaidi ya wiki moja toka mchezaji wa timu ya taifa ya Honduras Arnold Peralta itangazwa kauwawa kwa risasi, December 28 mitandao mingi ya Ulaya imeripoti kifo cha staa mwingine wa soka aliyeuwawa kwa kupigwa risasi. December 27 aliyekuwa mchezaji wa timu ya taifa ya El Salvador Alfred Pacheco ameuawa kwa kupigwa na risasi wakati akiwa […]

The post Baada ya kuuwawa kwa risasi kwa staa wa soka wa Honduras, staa mwingine tena kauwawa kwa risasi appeared first on...

 

10 years ago

Mwananchi

Unawezaje kutambua kipaji chako?-1

Baada ya kuandika kwa wiki mbili mfululizo kuhusu umuhimu wa kutambua kipaji chako ili ufanikiwe maishani, nimepokea maoni ya wasomaji wengi wakitaka nijikite kuelezea namna gani binadamu anaweza kutambua kipaji chake.

 

11 years ago

BBCSwahili

India kutambua waliobadilisha jinsia

Mahakama ya juu zaidi nchini India imetoa uamuzi wa kihistoria unaotambua watu waliobadilisha jinsia yao kama watu wa kawaida katika jamii.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani