Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MFUMUKO WA BEI WA TAIFA WAONGEZEKA

Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Bw. Ephraimu Kwesigabo akitoa taarifa ya kuongezeka kidogo kwa mfumuko wa bei nchini kwa mwezi Mei 2015 leo jijini Dar es salaam.Mfumuko wa Bei wa bei kwa mwezi Mei,2015 umefikia asilimia 5.3 kutoka asilimia 4.5 iliyokuwepo mwezi Aprili, 2015.
Na. Aron Msigwa – MAELEZO.
Ofisi ya Taifa ya Takwimu imesema kuwa Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa mwezi Mei 2015 umeongezeka hadi kufikia asilimia 5.3 kutoka asilimia 4.5 ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Mfumuko wa bei waongezeka

OFOISI ya Taifa ya Takwimu imesema kuwa mfumuko wa bei wa bidhaa za vyakula nyumbani na migawani umeongezeka Februari hadi asilimia 6.9 ukilinganishwa na asilimia 6.6 Januari mwaka huu. Akizungumza...

 

10 years ago

Michuzi

MFUMUKO WA BEI WATAIFA WAONGEZEKA

Na. Veronica Kazimoto, Takwimu.
Mfumuko wa Bei  wa Taifa kwa mwezi Machi 2015 umeongezeka kidogo hadi kufikia asilimia 4.3 ikilinganishwa na asilimia 4.2 za mwezi Februari kutokana na kupanda kwa bei ya bidhaa na huduma katika maeneo mbalimbali nchini.
Akitoa taarifa ya mfumuko huo leo jijini Dar es salaam, Mkurugenzi wa Sensa na Takwimu za Jamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Bw. Ephraim Kwesigabo amesema kuwa ongezeko hilo linatokana na badiliko la bei ya bidhaa na huduma kati ya mwezi Machi...

 

10 years ago

Mwananchi

Mfumuko wa bei waongezeka nchini

Mfumuko wa bei umeongezeka na kufikia asilimia 6.4 kutoka mwezi uliopita tofauti na ilivyokuwa Juni asilimia 6.1.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mfumuko wa bei waongezeka kwa pointi

OFISI ya Taifa ya Takwimu, imesema mfumuko wa bei umeongezeka kutoka asilimia 6.5 hadi 6.7 kati ya Agosti na Julai mwaka huu kutokana na kupanda kwa bei za bidhaa zisizo...

 

9 years ago

Michuzi

OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YATOA TAARIFA KUHUSU MFUMUKO WA BEI WA TAIFA WA MWEZI AGOSTI, 2015

 Mkurugenzi wa Sensa na Takwimu za Jamii Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Iphrahim Kwesigabo (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo mchana kuhusu mfumuko wa bei wa Taifa kwa mwezi Agosti, 2015. Kulia ni Kaimu Meneja wa Idara ya Takwimu za Ajira na Bei, Ruth Minja. Mkutano na wanahabari ukiendelea.
Na Dotto MwaibaleUWEZO wa shilingi 100 ya Tanzania katika kununua bidhaa na huduma umefikia shilingi 62 na senti 97 mwezi Agosti, 2015 kutoka mwezi Septemba,...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mfumuko wa bei wa taifa waendelea kupungua

Takwimu - 1

Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Bw. Ephraimu Kwesigabo akitoa taarifa ya kupungua kwa mfumuko wa bei nchini kwa mwezi Desemba, 2014 jana  jijini Dar es salaam.Wengine ni Meneja wa Takwimu za Ajira na Bei wa Ofisi hiyo Bi. Ruth Minja (kushoto) na Johnson Nyella, Meneja Utafiti wa Uchumi wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT).

Na Aron Msigwa-MAELEZO

Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa mwezi Desemba 2014 umepungua hadi kufikia asilimia 4.8 kutoka asilimia 5.8...

 

10 years ago

Michuzi

MFUMUKO WA BEI UMEPUNGUA- OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU

Na. Aron Msigwa – MAELEZO.
Ofisi ya Taifa ya Takwimu imesema kuwa Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa mwezi Novemba, 2014 umepungua hadi kufikia asilimia 5.8 kutoka 5.9 iliyokuwepo mwezi Oktoba ,2014 kutokana na kupungua kwa kasi ya bei ya bidhaa na huduma katika maeneo mbalimbali nchini.
Akitoa taarifa ya mfumuko wa bei kwa  waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam, Mkurugenzi wa  Sensa na Takwimu za Jamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Bw. Ephraim Kwesigabo amesema kuwa kupungu kwa mfumuko wa Bei...

 

10 years ago

GPL

MFUMUKO WA BEI UMEPUNGUA - OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU

Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Bw. Ephraimu Kwesigabo akitoa taarifa ya kupungua kwa mfumuko wa bei nchini kwa mwezi Novemba, 2014 leo jijini Dar es Salaam. Na. Aron Msigwa Ofisi ya Taifa ya Takwimu imesema kuwa Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa mwezi Novemba, 2014 umepungua hadi kufikia asilimia 5.8 kutoka 5.9 iliyokuwepo mwezi Oktoba ,2014 kutokana na kupungua kwa kasi ya bei ya bidhaa...

 

9 years ago

Press

OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YATANGAZA MFUMUKO WA BEI

Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa mwezi Septemba, 2015 umepungua hadi asilimia 6.1 kutoka asilimia 6.4 ilivyokuwa mwezi Agosti, 2015.

PICHA YA MFUMUKO SEPTEMBA

Mkurugenzi wa Takwimu za Jamii na Sensa ya Watu Ephraim Kwesigabo akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam wakati akitangaza Mfumuko wa Bei wa mwezi Septemba, 2015 ambao umepungua hadi asilimia 6.1 kutoka asilimia 6.4 ilivyokuwa mwezi Agosti, 2015.

PICHA YA MFUMUKO WA BEI SEPTEMBA 2

Baadhi ya waandishi wa Habari wakimsikiliza Mkurugenzi wa Takwimu za Jamii na Sensa ya Watu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani