MFUMUKO WA BEI WATAIFA WAONGEZEKA
![](http://4.bp.blogspot.com/-nRQoUyLFrPo/VSYFMdSgWnI/AAAAAAAHPpA/_zvdxzRqDEo/s72-c/unnamed%2B(63).jpg)
Na. Veronica Kazimoto, Takwimu.
Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa mwezi Machi 2015 umeongezeka kidogo hadi kufikia asilimia 4.3 ikilinganishwa na asilimia 4.2 za mwezi Februari kutokana na kupanda kwa bei ya bidhaa na huduma katika maeneo mbalimbali nchini.
Akitoa taarifa ya mfumuko huo leo jijini Dar es salaam, Mkurugenzi wa Sensa na Takwimu za Jamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Bw. Ephraim Kwesigabo amesema kuwa ongezeko hilo linatokana na badiliko la bei ya bidhaa na huduma kati ya mwezi Machi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima09 Mar
Mfumuko wa bei waongezeka
OFOISI ya Taifa ya Takwimu imesema kuwa mfumuko wa bei wa bidhaa za vyakula nyumbani na migawani umeongezeka Februari hadi asilimia 6.9 ukilinganishwa na asilimia 6.6 Januari mwaka huu. Akizungumza...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-zEDkpcptZPI/VXW9G3PRJbI/AAAAAAAHdD0/q9PiPUo5CSo/s72-c/unnamed%2B%252894%2529.jpg)
MFUMUKO WA BEI WA TAIFA WAONGEZEKA
![](http://1.bp.blogspot.com/-zEDkpcptZPI/VXW9G3PRJbI/AAAAAAAHdD0/q9PiPUo5CSo/s640/unnamed%2B%252894%2529.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-VeLfz-5UoFs/VXW9GyTZYLI/AAAAAAAHdDs/4qaYWdGpubA/s640/unnamed%2B%252895%2529.jpg)
Ofisi ya Taifa ya Takwimu imesema kuwa Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa mwezi Mei 2015 umeongezeka hadi kufikia asilimia 5.3 kutoka asilimia 4.5 ya...
10 years ago
Mwananchi11 Aug
Mfumuko wa bei waongezeka nchini
10 years ago
Tanzania Daima09 Sep
Mfumuko wa bei waongezeka kwa pointi
OFISI ya Taifa ya Takwimu, imesema mfumuko wa bei umeongezeka kutoka asilimia 6.5 hadi 6.7 kati ya Agosti na Julai mwaka huu kutokana na kupanda kwa bei za bidhaa zisizo...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-JkxntoBjZD8/VP3YEwU41kI/AAAAAAAHJKA/apTB9qpP7Kk/s72-c/unnamed%2B(52).jpg)
MFUMUKO WA BEI WAONGEZEKA KIDOGO KUTOKA ASILIMIA 4.0 MWEZI JANUARI, 2015 HADI KUFIKIA ASILIMIA 4.2 MWEZI FEBRUARI, 2015
![](http://1.bp.blogspot.com/-JkxntoBjZD8/VP3YEwU41kI/AAAAAAAHJKA/apTB9qpP7Kk/s1600/unnamed%2B(52).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-1nLQAkCBnRM/VP3YEy7eD4I/AAAAAAAHJKE/yuUUI8PmvSI/s1600/unnamed%2B(53).jpg)
10 years ago
Mwananchi08 Apr
Bei za vyakula zapaa, mfumuko wa bei mwezi Machi wafikia asilimia 4.2
10 years ago
Mwananchi09 Feb
Mfumuko wa bei washuka
11 years ago
Tanzania Daima09 May
Mfumuko wa bei wafikia 6.3%
OFISI ya Taifa ya Takwimu imesema mfumuko wa bei kwa mwezi Aprili umeongezeka kwa kiwango cha asilimia 6.3. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Mkurugenzi wa...
10 years ago
Mtanzania09 May
Mfumuko wa bei wapaa
NA EVANS MAGEGE
WAKATI thamani ya shilingi ikiendelea kuporomoka katika soko la fedha za kimataifa, mfumuko wa bei za bidhaa nao umepaa kutoka asilimia 4.3 hadi 4.5.
Taarifa iliyotolewa jana na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) kwa waandishi wa habari ilieleza kuwa mfumuko wa bei kwa mwezi Aprili mwaka huu umepaa kwa sababu ya ongezeko la bei za bidhaa za vyakula na vinywaji baridi.
Akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Mkurugenzi wa Sensa na Takwimu za Jamii,...