Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mganga Mkuu Lindi aagizwa kuunda kamati za Dawa.

Na Joseph Mpangala,

Lindi.

 

Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mwantumu Mahiza amemuagiza Mganga Mkuu wa Mkoa huo kuhakikisha anaunda kamati za Dawa kwa kila kituo cha afya kinachokuwa na wachangiaji wa mifuko wa bima ya Afya.

 

Hatua hiyo itapunguza lawama zinazokwenda kwa wafanyakazi wa vituo vya afya kuwa wanaondoka na dawa za wananchi na kuzifanyia biashara pamoja na kupata idadi sahihi ya kiasi cha vifaa vya matibabu vinavyoletwa vituoni   na matumizi yake.

 

Mwantumu Mahiza anasema ktika...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

JK ATEUA WAKUU WA MIKOA WAWILI, MGANGA MKUU WA SERIKALI, NAIBU MWANASHERIA MKUU NA MTENDAJI MKUU WA NDC


TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amewateua wakuu wawili wapya wa mikoa kujaza nafasi zilizoachwa wazi na wakuu wa Mikoa ambao wanawania ubunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Taarifa iliyotolewa leo, Jumatatu, Septemba 14, 2015 na Katibu Mkuu Kiongozi (KMK), Balozi Ombeni Sefue inasema kuwa katika uteuzi wake, Rais Kikwete amemteua Ndugu Amos Makalla kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro na Ndugu Jordan Rugimbana kuwa Mkuu...

 

10 years ago

Habarileo

Halmashauri zatakiwa kuunda kamati za nishati

George SimbachaweneWAZIRI wa Nishati na Madini, George Simbachawene amezindua mradi wa umeme katika kijiji cha Idanda wilayani Chato mkoani Geita huku akiwataka viongozi wa halmashauri nchini kuunda kamati za nishati.

 

10 years ago

Tanzania Daima

JWT wapeleka majina kuunda kamati

UONGOZI wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Tanzania (JWT) kesho utapeleka kwa Waziri wa Fedha majina matano yaliyopendekezwa kuunda kamati ya watu 10 baina yao na Mamlaka ya Mapato (TRA) yenye lengo...

 

11 years ago

Mwananchi

Saba wanaswa dawa ya mganga

Watu saba kati ya 100 Kijiji cha Kenyamanyori, Kata ya Turwa, Wilaya ya Tarime walioshiriki kunywa dawa ya mganga wa kienyeji aliyeletwa kutoka Busia nchini Kenya wameingia kwenye wakati mgumu baada ya kushindwa kutimiza masharti ya kulipa Sh3 milioni kila mmoja.

 

11 years ago

GPL

WANYWA DAWA YA MGANGA WA KIENYEJI, WAUGUA

Bibi Zaina Athumani. Stori: Makongoro Oging’
HII nayo ni kali na haijawahi kutokea. Wakazi wawili wa Vingunguti kwa Simba Mbili jijini Dar akiwemo mwenye nyumba wamekimbizwa hospitalini na polisi baada ya kunyweshwa dawa na mganga wa kienyeji waliyemleta ili azindike nyumba yao. Tukio hilo lilitokea wiki iliyopita Vingunguti nyumbani kwa Zaina Athumani,70, ambaye ndiye mwenye nyumba aliyeleta mganga huyo ili azindike...

 

11 years ago

Dewji Blog

Mganga asimamishwa kazi kwa wizi wa dawa

court-hammer

Na Mwandishi wetu

BARAZA la Madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Igunga, Mkoani Tabora wamependekeza kuwa Mganga wa    zahanati ya kata ya Sungwizi, Tarafa ya Nsimbo John Malaba asimamishwe kazi, kumfutia uhamisho aliopata wa kwenda makao makuu ya wilaya.

Licha ya kusimamishwa kazi baraza hilo pia limeamua kumfungulia mashtaka Mahakamani kwa tuhuma za wizi wa madawa ya binadamu yenye thamani ya shilingi 1,600,000/=.

Madiwani hao walifikia hatua hiyo baada ya kujibadili kutoka Baraza la...

 

10 years ago

Vijimambo

UNAAMBIWA MGANGA ANASWA LIVE GUEST NA WAKE ZA WATU USIKU WA MANANE...ETI ANAWAPA DAWA YA MAPENZI.


Mganga wa jadi almaarufu sangoma aliyetajwa kwa jina la Wadebi akijutia baada ya kunaswa live. Tukio hilo la aina yake lilijiri maeneo hayo, usiku wa manane wa kuamkia Jumanne iliyopita, wakati waumini wa Dini ya Kiislamu waliofunga kwa ajili ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani wakila daku.
Kwa mujibu wa mashuhuda, jamaa huyo alidaiwa kuwa alikuwa akiwafanyia wake hao wa watu dawa ya mapenzi kwa kuwavua nguo zote kisha ‘kuwachezea’.Ama kweli uswazi hakuishi vijimambo! Mganga wa jadi almaarufu...

 

5 years ago

Michuzi

RC MAKONDA ATANGAZA DAWA KWA WAKANDARASI WANAOKIUKA TARATIBU ZA MIKATABA * RC Makonda asema hakuna mgonjwa wa Covid 19, awataka wananchi kufuata maelekezo Na Leandra Gabriel, Michuzi TV MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ametangaza kamati ya w

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Paul Makonda akizungumza na waandishi wa habari juu ya  kamati ya watu 13 kutoka Serikali na sekta binafsi ambao watapitia mikataba yote ya miradi mbalimbali iliyosainiwa mkoa wa Dar es salaam.(Picha na Emmanuel Massaka wa globu ya jamii)
* RC Makonda asema hakuna mgonjwa wa Covid 19, awataka wananchi kufuata maelekezo
Na Leandra Gabriel, Michuzi TVMKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ametangaza kamati ya watu 13 kutoka Serikali na sekta binafsi ambao...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani