Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mgogoro wa Zanzibar watua ikulu ya Marekani

Na Mwandishi Maalum, Washington 
Wakati vikao vya siri vya kutafuta suluhu ya mzozo wa kisiasa visiwani Zanzibar vikiwa vimeripotiwa, juhudi za kuupatia ufumbuzi mzozo huo zimehamia kutoka Ikulu ya Zanzibar na kufika Ikulu ya Marekani (White House).Wanachama wa ZADIA kutoka majimbo tafauti Nchini Marekani wakionyesha mabango yao.
Mnamo tarehe 21 mwezi huu, Wazanzibari waishio nchini Marekani waliandamana hadi kwenye Ikulu ya nchi hiyo katika juhudi za kutafuta uingiliaji kati wa kimataifa ili...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Marekani yamtaka Magufuli kumaliza mgogoro Zanzibar

Siku moja baada ya Dk John Magufuli kuapishwa kuwa Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Marekani imeitaka Serikali yake kuutafutia ufumbuzi wa haraka mgogoro wa Zanzibar.

 

10 years ago

Michuzi

Dkt. Shein akutana na kuzungumza na Balozi wa Marekani,ikulu Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Marekani nchini Tanzania Mark Bradley alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Balozi wa Marekani nchini Tanzania Mark Bradley baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Balozi wa Marekani nchini Tanzania ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mgogoro Kanisa Moravian watua kwa msajili

KANISA la Moravian kupitia Kamati yake ya Mpito ya Jimbo la Misheni Mashariki imemwandikia barua Msajili wa Vyama na Taasisi za Dini aliyepo Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi...

 

9 years ago

Mwananchi

Mgogoro mpaka wa ardhi Ikorongo watua kwa Lukuvi

Waathirika wa mgogoro wa mpaka kati ya Kijiji cha Park Nyigoti na Pori la Akiba la Ikorongo wilayani Serengeti Mkoa wa Mara, uliodumu kwa zaidi ya miaka kumi, wamemuomba Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi kuutatua.

 

11 years ago

Mwananchi

Nida watua Zanzibar kuandikisha

Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imeanza kazi ya kuandikisha wakazi wa Zanzibar kwa ajili ya vitambulisho vya uraia huku ikibainisha kutumia muda wa mwezi mmoja na nusu visiwani humo.

 

11 years ago

BBCSwahili

Obama: Marekani kumaliza mgogoro Gaza

Rais wa Marekani Barak Obama amesema nchi yake inajiandaa kusaidia kumaliza mgogoro katika Gaza kati ya Israel na Hamas.

 

10 years ago

GPL

UBAGUZI WA RANGI, MGOGORO WA KITAIFA MAREKANI

Spika wa Bunge la Baraza la wawakilishi nchini Marekani, John Boehner. Kufuatia kuongezeka ghasia zitokanazo na ubaguzi wa rangi Marekani, Spika wa Bunge la Baraza la Wawakilishi nchini humo amesema uhusiano baina ya Wamarekani wenye asili ya Afrika na maafisa wa polisi sasa umegeuka na kuwa mgogoro wa kitaifa. Waandamanaji wakiharibu gari la polisi. John Boehner katika mahojiano na Televisheni ya NBC amesisitiza kuwa maafisa wa...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AZUNGUMZA NA BALOZI WA NIGERIA IKULU JIJINI ZANZIBAR, LEO

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Ujumbe wa Wafanyabiashara kutoka Nchini Nigeria,  walipofika Ikulu Jijini Zanzibar wakiongozana na Balozi wa Nigeria Nchini Tanzania Dk. Sahabi Isa Gada (katikati) kuonana na Rais na  kufanya mazungumzo leo 5/3/2020. Picha na Ikulu, Zanzibar. KWA PICHA ZAIDI >>BOFYA HAPA

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani