Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Marekani yamtaka Magufuli kumaliza mgogoro Zanzibar

Siku moja baada ya Dk John Magufuli kuapishwa kuwa Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Marekani imeitaka Serikali yake kuutafutia ufumbuzi wa haraka mgogoro wa Zanzibar.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Obama: Marekani kumaliza mgogoro Gaza

Rais wa Marekani Barak Obama amesema nchi yake inajiandaa kusaidia kumaliza mgogoro katika Gaza kati ya Israel na Hamas.

 

9 years ago

Michuzi

Mgogoro wa Zanzibar watua ikulu ya Marekani

Na Mwandishi Maalum, Washington 
Wakati vikao vya siri vya kutafuta suluhu ya mzozo wa kisiasa visiwani Zanzibar vikiwa vimeripotiwa, juhudi za kuupatia ufumbuzi mzozo huo zimehamia kutoka Ikulu ya Zanzibar na kufika Ikulu ya Marekani (White House).Wanachama wa ZADIA kutoka majimbo tafauti Nchini Marekani wakionyesha mabango yao.
Mnamo tarehe 21 mwezi huu, Wazanzibari waishio nchini Marekani waliandamana hadi kwenye Ikulu ya nchi hiyo katika juhudi za kutafuta uingiliaji kati wa kimataifa ili...

 

9 years ago

BBCSwahili

Magufuli aagizwa kumaliza mzozo Zanzibar

Marekani imeitaka serikali ya Tanzania kuheshimu maamuzi ya raia wa Zanzibar katika uchaguzi wa urais uliopita.

 

9 years ago

GPL

TUMUOMBEE MAGUFULI; ANAKABILI MGOGORO ULIODUMU MIAKA 50 ZANZIBAR

 Rais mchapa kazi, Dk. John Pombe Joseph Magufuli. TUMSHUKURU Mungu kwa kuwa tumempata rais mchapa kazi, Dk. John Pombe Joseph Magufuli aliyeapishwa Alhamisi iliyopita jijini Dar es Salaam.Lakini wakati tunafurahia tukio hilo, wengi hatuna furaha kutokana na rais huyo kubeba mgogoro mzito wa kisiasa visiwani Zanzibar ambao umedumu kwa miaka 50 sasa tangu tuungane mwaka 1964. Maalim Seif Sharif Hamadi. Wazanzibari wamekuwa...

 

10 years ago

Habarileo

RC kumaliza mgogoro wa ardhi Nyakato

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo.KATIKA kukabiliana na mgogoro wa ardhi katika eneo la Mahangu C kata ya Nyakato wilayani Ilemela, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo ameahidi kupeleka wataalamu wengine kwa ajilii ya kufanya uhakiki mpya.

 

10 years ago

Habarileo

Pinda aombwa kumaliza mgogoro wa wafanyabiashara

SERIKALI imetakiwa kuchukua hatua za haraka kuzuia migogoro ya jumuiya ya wafanyabiashara nchini kwa kuwa imekuwa chanzo kikubwa cha kuporomoka kwa uchumi wa nchi.

 

10 years ago

BBCSwahili

SPLM kumaliza mgogoro Sudan Kusini

Vikundi vinavyopingana nchini Sudan Kusini vimesaini mkataba wa amani nchini Tanzania, ukilenga kumaliza mgogoro ulioua maelfu ya watu katika taifa hilo

 

11 years ago

Habarileo

Pinda aagiza mkutano kumaliza mgogoro

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda ameingilia kati mgogoro wa vijiji viwili vya wilaya za Sikonge na Manyoni, na kuagiza kuitishwe mkutano utakaowashirikisha wanavijiji husika.

 

9 years ago

Mwananchi

ACT wataja mbinu kumaliza mgogoro Z’bar

Chama cha ACT- Wazalendo kimetoa mapendekezo matatu ya kumaliza mgogoro wa kisiasa Zanzibar ili kuwaondolea wananchi wa visiwani humo hali ngumu ya maisha.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani