Mgombea Mary Chatanda kuwezesha vijana, wanawake
Mgombea ubunge wa CCM jimbo la Korogwe mjini Mary Chatanda amesema katika kipindi chote cha miaka mitano vijana na wanawake atahakikisha wanawezeshwa kupitia vikundi vyao na hivyo kujikwamua kiuchumi.
Chatanda ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na mamia ya wakazi wa jimbo la Korogwe vijijinimkoani Tanga waliokuwa katika uzinduzi wa kampeni za ubunge wa jimbo hilo.
Amesema endapo wananchi watampa ridhaa ya kuongoza jimbo hilo atahakikisha kila kijana wa kike anapewa kipaumbele ikiwemo...
StarTV
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-k7rDjYq3m5Q/XsfO48KYo-I/AAAAAAACLKw/U0kKytEOBE08TAXlEZ3yvu_JpHuIoeOcQCLcBGAsYHQ/s72-c/MBUNGE.jpg)
TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM YA MBUNGE WA KOROGWE MJINI MH. MARY CHATANDA
![](https://1.bp.blogspot.com/-k7rDjYq3m5Q/XsfO48KYo-I/AAAAAAACLKw/U0kKytEOBE08TAXlEZ3yvu_JpHuIoeOcQCLcBGAsYHQ/s400/MBUNGE.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-Mzjg3Q2VW-4/XsfO9PCsG_I/AAAAAAACLK0/NBm4wB94lOsmLYAOZw7jjnsHRe1WDfUpACLcBGAsYHQ/s400/IMG-20200522-WA0008.jpg)
UTANGULIZI
Jimbo la Korogwe Mjini linaundwa na Kata 11 ambazo ni Kata ya Manundu, Majengo, Mtonga, Masuguru, Magunga, Old Korogwe, Kwamndolwa, Kwamsisi, Kilole, Bagamoyo na Mgombezi.
Idadi ya Watu ni 68308 ambapo Wanaume (me) 32912 na Wanawake (ke) 35386, kwa sensa ya 2012 maoteo ya 2018 me 38392 na ke 41289 jumla 79681, Mitaa 22, Vijiji 07 na Vitongoji 35.
Baada ya Uchaguzi Mkuu uliomalizika Oktoba 2015, Mbunge wa Jimbo hilo, Ndugu Mary Chatanda aliapishwa rasmi na kuanza majukumu ya...
10 years ago
Dewji Blog23 Feb
Chatanda awataka Vijana Singida kujitokeza kujiandikisha daftari la wapiga kura
Mkuu wa wilaya ya Singida, Queen Mlozi, akitoa nasaha zake kwenye hafla iliyofana ya CCM kata ya Mughanga kusherehekea ushindi wa kishindo kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika desemba mwaka jana. CCM kata ya Mitunduruini imezoa nafasi zote zilizokuwa zikigombewa.Wa kwanza kulia ni diwani viti maalum,Anita Awadh na kushoto (wa pili kushoto ni katibu CCM mkoa wa Singida,Mary Chatanda na wa kwanza kushoto ni mwenyekiti CCM kata ya Mughanga.
Na Nathaniel Limu, Singida
VIONGOZI wa...
10 years ago
Habarileo03 Jan
Kova apongeza vijana wake kwa kuwezesha utulivu
KAMANDA wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova amepongeza hali ya utulivu iliyojitokeza wakati wa Sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya, huku akiwasifu askari wake kwa kazi waliyoifanya katika kipindi hicho.
10 years ago
Vijimambo18 Mar
Lazima kuwe na fedha za kuwezesha wanawake: Halima Mdee
![](https://ci6.googleusercontent.com/proxy/W6tv6TIvtxhxxUUIMDMSQChAg0OAQsfzKowAuo2tVlepUMF4iZ9EDzmE-17zC-lUIJHwL6CzVFGPbTgZqGsfgrmy__l8hh1TzSSAcly_VO6U6WXDTzsY0D0vQh9-cXFAL0p6C18=s0-d-e1-ft#http://www.unmultimedia.org/radio/kiswahili/wp-content/uploads/2015/03/mdee.jpg)
Uwekezaji kifedha, uwajibikaji mujarabu wa wanawake ni moja ya mambo ambayo yakitekelezwa kikamilifu wanawake na wasichana wanaweza kupiga hatua katika nyanja mbalimbali.
Katika mahojiano maalum na Joseph Msami mjini New York, mwakilishi wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Halima Mdee katika mkutano wa 59 wa Kamisheni ya hali ya wanawake anasema uwezeshaji kwa wanawake unawezekana ikiwa kutakuwa na utashi wa...
10 years ago
Dewji Blog17 Apr
Shirika la Helvetas kutumia Bilioni 2.7 kuwezesha Wanawake wa Singida katika kilimo cha Mboga na matunda
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la Helvetas Tanzania, Daniel Kilimbiya, akitoa mada yake ya utambulisho wa mradi wa awamu ya pili wa kuwawezesha wanawake kulima mboga mboga na matunda ili waweze kujikomboa kiuchumi. Semina hiyo iliyofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Aqua Vitae mjini hapa, ilihudhurudhuriwa na wadau mbalimbali wa sekta ya kilimo kutoka wilaya ya Singida vijijini, Iramba na Mkalama.
Meneja SIDO mkoa wa Singida Shoma Kibende, akitoa nasaha zake kwenye semina ya siku...
10 years ago
Habarileo08 Jul
Mgombea ACT aahidi kuwasaidia wanawake
MTIA nia ya kugombea ubunge katika jimbo la Kahama kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Clara Masanja amesema endapo atapewa ridhaa na chama hicho na kushinda nafasi hiyo, atahakikisha anawajengea wanawake ujasiri ili waweze kujipigania wenyewe katika kupata nafasi za uongozi wa juu.
9 years ago
Dewji Blog29 Aug
Wanawake wamlilia maji mgombea mwenza wa CCM
Mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu akiwasikiliza akinamama wakimuelezea kero ya maji baada ya kumsimamisha na kumpa kero hizo Jimboni Longido.
Wakinamama wilayani Longido wakiendelea kuteka maji kwa zamu baada ya kumaliza kumueleza kero zao Bi. Samia Suluhu aliepita maeneo hayo.
Baadhi ya wanaCCM na wananchi wa Jimbo la Monduli wakiwa kwenye mkutano wa hadhara wa mgombea mwenza nafasi ya urais wa CCM, Bi. Samia Suluhu.
Baadhi ya wanaCCM na wananchi wa Jimbo la...
9 years ago
Michuzi29 Aug
Wanawake wa Longido Wamlilia Maji Mgombea Mwenza wa CCM
![Mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu akiwasikiliza akinamama wakimuelezea kero ya maji baada ya kumsimamisha na kumpa kero hizo Jimboni Longido.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/08/IMG_0438.jpg)
Mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu akiwasikiliza akinamama wakimuelezea kero ya maji baada ya kumsimamisha na kumpa kero hizo Jimboni Longido.
![Wakinamama wilayani Longido wakiendelea kuteka maji kwa zamu baada ya kumaliza kumueleza kero zao Bi. Samia Suluhu aliepita maeneo hayo.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/08/IMG_0457.jpg)
![Baadhi ya wanaCCM na wananchi wa Jimbo la Monduli wakiwa kwenye mkutano wa hadhara wa mgombea mwenza nafasi ya urais wa CCM, Bi. Samia Suluhu.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/08/IMG_0544.jpg)
![Baadhi ya wanaCCM na wananchi wa Jimbo la Monduli wakiwa kwenye mkutano wa hadhara wa mgombea mwenza nafasi ya urais wa CCM, Bi. Samia Suluhu.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/08/IMG_0545.jpg)
9 years ago
Michuzi29 Sep
MAMA SAMIA SULUHU-MGOMBEA MWENZA ALIYEPANGA KUWAPIGANIA WANAWAKE
![Mgombea mwenza wa nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan akihutubia wananchi katika moja ya mikutano yake ya kampeni inayoendelea nchini akiinadi ilani ya CCM.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/09/IMG_0003.jpg)
MCHUANO wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Tanzania unaotarajia kufanyika Oktoba 25, 2015 unaendelea maeneo mbalimbali ya nchini, huku vyama anuai vilivyofanikiwa kuingia katika ushindani huo wa kisiasa vikinadi ilani na sera zao kwa Watanzania ili kuwashawishi wachaguliwe.
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa...