Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mgombea ACT aahidi kuwasaidia wanawake

MTIA nia ya kugombea ubunge katika jimbo la Kahama kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Clara Masanja amesema endapo atapewa ridhaa na chama hicho na kushinda nafasi hiyo, atahakikisha anawajengea wanawake ujasiri ili waweze kujipigania wenyewe katika kupata nafasi za uongozi wa juu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MBAGALA (ACT-WAZALENDO), AAHIDI MAKUBWA KATIKA JIMBO HILO


Mgombea  ubunge Jimbo la Mbagala kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Soud Rajabu Mgombea Ubunge Jimbo la Mbagala kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Soud Rajabu (katikati), akizungumza na wanachama wa chama hicho baada ya kumaliza kuhutubia katika mkutano wa kampeni uliofanyika Mbagala Charambe Mianzini Dar es Salaam jana.

Na Dotto MwaibaleMGOMBEA ubunge Jimbo la Mbagala kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Soud Rajabu ameahidi endapo atachaguliwa nafasi hiyo atahakikisha anapunguza gharama za  huduma...

 

10 years ago

GPL

ACT YATAMBULISHA MGOMBEA URAIS NA MGOMBEA MWENZA

Prof. Mkumbo akimkaribisha mgombea urais, Bi. Anna Elisha. Bi Anna Elisha akizungumza na wanachama muda mfupi baada ya kutambulishwa. Kabwe akizungumza na wanachama.…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mgombea CUF aahidi neema Ubena

MGOMBEA ubunge  wa Chalinze kwa  tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Fabian Skauki, amewaomba wananchi  wa Kata ya Ubena kumchagua ili aweze kuwaletea maendeleo. Akizungumza na Tanzania Daima jijini Dar...

 

11 years ago

Habarileo

Mgombea wa Chadema aahidi kuboresha kilimo

MGOMBEA ubunge katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kalenga kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Grace Tendega amesema atakapochaguliwa, moja ya vipaumbele vyake vikubwa, itakuwa ni kuboresha sekta ya Kilimo kwa kuhakikisha pembejeo bora za kilimo, zinapatikana kwa wakati.

 

10 years ago

Habarileo

Mgombea aahidi kufungua kesi za ardhi

MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama cha UPDP, Fahmi Dovutwa ameahidi kugawa fomu za malalamiko ya ardhi na kufungua kesi kwa niaba ya wananchi.

 

10 years ago

Mwananchi

Mgombea CUF aahidi kusimamia bandari

Mgombea ubunge wa Jimbo la Tanga mjini, Mussa Mbarouk (CUF), amesema endapo atachaguliwa atahakikisha Bandari ya Tanga inatumika katika shughuli zote za upakiaji na upakuaji wa mafuta na mizigo.

 

5 years ago

Michuzi

WATUMISHI WA UMMA WANAWAKE WAANZISHA MTANDAO WA KUWASAIDIA KUFIKIA MALENGO CHANYA YA UONGOZI


Charles James, Michuzi TV

MTANDAO wa Watumishi wa Umma Wanawake ujulikanao kama Viongozi Wanawake Wanaochipukia Tanzania’  (EWLT) wamekuja na mpango wa kuleana na kubadilishana uzoefu katika kufikia malengo chanya ya kiuongozi.

Akizungumza katika uzinduzi wa mtandao huo mmoja wa waanzilishi, Bi Glory Mboya kutoka
Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) amesema mtandao huo una lengo la kukuza Vijana wakike katika kufikia ngazi za juu za uongozi.

Bi Mboya amesema mtandao huo utajikita zaidi...

 

10 years ago

Mwananchi

Mgombea aahidi nusu ya mshahara kuchangia afya

Mgombea ubunge wa Chadema Jimbo la Babati Vijijini, mkoani Manyara, Lawrence Tara amesema akichaguliwa atajitolea nusu ya mshahara kuchangia huduma za jamii.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mgombea udiwani CHADEMA aahidi neema Magomeni

MGOMBEA udiwani wa Kata ya Magomeni, Wilaya ya Bagamoyo, Pwani ameahidi kuwaondolea kero za kijamii zinazowakabili wakazi wa eneo hilo ili kujenga jamii isiyo na manung’uniko. Akizungumza na wananchi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani