Mgunduzi Tanzanite kupewa nishani
Rais Jakaya Kikwete anatarajiwa kumpa nishani ya Taifa, mgunduzi wa madini ya Tanzanite, Jumanne Ngoma aliyeyagundua miaka 48 iliyopita
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili28 Dec
Mbwa aliyeuawa Paris kupewa nishani ya ushujaa
9 years ago
Vijimambo28 Sep
Tanzanite: The hidden treasure of Tanzania We arrive at Tanzanite One on a cool September morning.
![](http://in2eastafrica.net/wp-content/uploads/2015/09/tanzanite.jpg)
The global tanzanite market is only worth $50m
The drive from the nearest town, Arusha, was not too long, but the last stretch on a gravel road littered with ditches made the hairs on the back of my neck stand up.
Once we got to the mine, we were given an induction and a quick briefing on the safety rules. After that we were off to the actual shaft, where we were allocated overalls, helmets and yellow plastic boots.
When I saw the contraption that would carry us 460 metres (yards) below ground,...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-QWWk2IVI-6I/XsdsjunB6II/AAAAAAALrPY/73FmIhg5qNkWgCSqV50yLNyT2BK_zbekQCLcBGAsYHQ/s72-c/hqdefault%25281%2529.jpg)
ZHANG YIMING, MGUNDUZI WA TikTok ILIYOLEGEZA LOCKDOWN
![](https://1.bp.blogspot.com/-QWWk2IVI-6I/XsdsjunB6II/AAAAAAALrPY/73FmIhg5qNkWgCSqV50yLNyT2BK_zbekQCLcBGAsYHQ/s640/hqdefault%25281%2529.jpg)
Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
WAKATI dunia ikiendelea kupambana na mlipuko wa homa ya mapafu inayosababishwa na virusi vya Corona (Covid-19,) huku baadhi ya nchi zikiweka vizuizi hasa vya wananchi kutotoka nje, baadhi ya shughuli zimeendelea kufanyika ikiwemo burudani, wengi wameonekana kufurahia maisha kwa kushiriki na wenzao kupitia mtandao wa TikTok kwa kushiriki video mbalimbali hasa za vichekesho.
Zhang Yiming (37) kutoka nchini China ndiye aliyeanzisha mtandao huo kupitia kampuni yake...
11 years ago
Mwananchi06 May
SAIDI MJULIZI: Mgunduzi wa rangi za asili zisizotumia kemikali
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Chan kumlipa mgunduzi wa kinga ya corona wakati Idadi ya vifo ikifikia 1000
10 years ago
Habarileo24 Jun
Kikwete atunuku Nishani 28
RAIS Jakaya Kikwete amewatunukia Nishani Watumishi wa Umma 28 kutokana na utumishi wa muda mrefu na ushupavu.
11 years ago
Mwananchi28 Apr
Warioba atunukiwa nishani iliyotukuka
11 years ago
Habarileo27 Apr
JK atunuku nishani, tuzo za Muungano
RAIS Jakaya Kikwete ametunuku nishani na kutoa tuzo za Kumbukumbu ya Miaka 50 ya Muungano kwa watu 8,6 wakiwemo viongozi walioingia madarakani kikatiba na wameendelea kuonesha maadili mema na kuwa mfano wa kuigwa kwa kipindi hicho kwa uaminifu.