Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MH. LOWASSA AMTEMBELEA SUKWA SAID SUKWA,ZANZIBAR

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa (kulia) akisalimiana na Katibu mkuu wa Zamani wa Umoja wa Vijana wa CCM, Sukwa Said Sukwa alipomtembelea kwa ajili ya kumjulia hali, nyumbani kwake eneo la Mpendae, mjini Unguja jana. Mh Lowassa alikuwa Zanzibar kwa mapumziko ya kusherekea skukuu ya Krismasi. Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa (kulia) akiwa katika mazungumzo na Katibu mkuu wa Zamani wa Umoja wa Vijana wa CCM, Sukwa Said...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

LOWASA AMTEMBELEA SUKWA SAID SUKWA HUKO ZANZIBAR

Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa (kulia) akisalimiana na Katibu mkuu waZamani wa Umoja wa Vijana wa CCM, Sukwa Said Sukwa alipomtembelea kwa ajiliya kumjulia hali, nyumbani kwake eneo la Mpendae, mjini Unguja jana. MhLowassa alikuwa Zanzibar kwa mapumziko ya kusherekea skukuu ya Krismasi.Mazungumzo ya Lowassa na Sukwa Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa (kulia) akifurahia jambo na Katibu mkuu waZamani wa Umoja wa Vijana wa CCM, Sukwa Said Sukwa alipomtembelea nyumbanikwake eneo la...

 

10 years ago

Michuzi

Mh. Lowassa amtembelea Waziri wa Mambo ya Ndani wa Zamani,Mh. Ali Ameir Mohamed

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa (kushoto) akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Ndani wa zamani,Mh. Ali Ameir Mohamed wakati alipomtembelea nyumbani kwake eneo la Kichaviani, Jimbo la Donge, Zanzibar.Mh. Lowassa yuko visiwani Zanzibar kwa mapumziko ya Krismasi. Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa (kushoto) akielezwa jambo na Waziri wa Mambo ya Ndani wa zamani,Mh. Ali Ameir Mohamed wakati alipomtembelea nyumbani kwake eneo la...

 

11 years ago

Michuzi

Mtangazaji Maarufu,Tshaka Ssali amtembelea Mh. Lowassa ofisini kwake leo

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa (kushoto) akizungumza na mtangazaji maarufu wa Kituo Cha runinga Cha Serikali ya Marekani (VOA),Tshaka Ssali aliemtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo.Ssali ambaye amejijengea umaarufu duniani kwa kuwahoji viongozi maarufu hususan wa Afrika, alimtembelea Mh Lowassa ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje. Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa (kushoto) akifurahi jambo wakati...

 

10 years ago

GPL

MH. LOWASSA AMTEMBELEA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI WA ZAMANI, MH. ALI AMEIR MOHAMED

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa (kushoto) akisalimiana na Waziri waMambo ya Ndani wa zamani,Mh. Ali Ameir Mohamed wakati alipomtembelea nyumbani kwake eneo la Kichaviani, Jimbo la Donge, Zanzibar.Mh. Lowassa yuko visiwani Zanzibar kwa mapumziko ya Krismasi. Waziri Mkuu…

 

9 years ago

Michuzi

BALOZI WA SWETZERLAND AMTEMBELEA RAIS WA ZANZIBAR

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Switzerland katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bi.Florence Tinguely Mattli  wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza  na Balozi wa Switzerland katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bi.Florence Tinguely Mattli wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.[Picha na ikulu.]

 

10 years ago

Vijimambo

LOWASA AMTEMBELEA ALI AMEIR MOHAMMED, ZANZIBAR

Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa (kushoto) akimsikiliza aliyewahi kuwa waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Ali Ameir Mohammed, alipomtembelea nyumbani kwake, Kichaviani, jimbo la Dongo, viasiwani Zanzibar leo Jumamosi Desemba 27, 2014. Lowasa yuko Zanzibar kwa mapumziko ya Krismas na Mwaka mpya.Lowasa, akikaribishwa na Ali Ameir

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS WA ZANZIBAR AMTEMBELEA MWANZILISHI WA CCM ZANZABAR

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Muasisi wa Chama cha ASP na muanzilishi wa Chama cha Mapinduzi  Mzee Kombo wakati alipokwenda nyumbani kwake Miembeni kumjulia hali.Muasisi wa Chama cha ASP na muanzilishi wa Chama cha Mapinduzi Mzee Kombo akimpatia maelezo Balozi Seif juu ya maendeleo ya Afya yake iliyopata mtihani wa maradhi hivi karibuni. Picha na –OMPR – ZNZ.

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI MKUU MH PINDA AMTEMBELEA NA KUMJULIA HALI RAIS MSTAAFU WA ZANZIBAR, SALMIN AMOUR

Waziri Mkuu Mizengo Pinda alipomtembelea Rais mstaafu wa Zanzibar , Salmin Amour Juma nyumbani kwake Migombani Zanzibar kumjuulia hali baada ya kurudi kutoka matibabu nchini China karibuni. Waziri Mkuu alikuwepo Zanzibar kwa shughuli za kikazi . Picha na Chris Mfinanga

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani