Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MH. MEMBE ZIARANI NCHINI URUSI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb) ameondoka nchini tarehe 13 Januari 2015 kwenda Urusi kwa ziara ya kikazi ya siku tatu kwa mwaliko wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi, Mhe. Sergey Lavrov.Ziara hiyo inalenga kuimarisha na kupanua ushirikiano kati ya Tanzania na Urusi.
Mhe. Membe anatarajiwa kutumiafursa hiyo kuhimiza ushirikiano wa kiuchumi na Urusi, hususan katika maeneo ya biashara, uwekezaji na ubadilishanaji wa teknolojia.  Tanzania inaweza...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Waziri Membe ziarani nchini Kuweit

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard Membe akiwasili hotelini nchini Kuwait kwa ziara ya kikazi ya siku moja, ambapo atakutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Kuwait na Mkurugenzi Mkuu wa Kuwait Fund.Anayeongozana na Waziri Membe (mwenye kanzu nyeupe) ni Balozi wa Kuwait nchini Tanzania Mhe. Nassem Ibrahim Al Najib ambaye alimpokea uwanja wa ndege. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard Membe akiwa kwenye picha ya...

 

10 years ago

Vijimambo

Waziri Membe apokea Nakala za Hati za Utambulisho kutoka Balozi Mteule wa Urusi

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb), akipokea Nakala za Hati za Utambulisho za Balozi Mteule wa Urusi nchini Tanzania, Mhe. Yuri Fedorovich Popov. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb). akiwa katika mazungumzo na Balozi Mteule wa Urusi mara baada ya kupokea Nakala za Hati za Utambulisho. Katika mazungumzo hayo pamoja na mambo mengine, Mhe. Waziri aliishukuru Serikali ya Urusi kwa misaada inayotoa kwa Tanzania...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri Membe apokea Nakala za Hati za Utambulisho kutoka Mabalozi Wateule wa Urusi na Algeria

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb), akipokea Nakala za Hati za Utambulisho za Balozi Mteule wa Urusi nchini Tanzania, Mhe. Yuri Fedorovich Popov.Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb), akipokea Nakala za Hati za Utambulisho za Balozi Mteule wa Algeria nchini Tanzania, Mhe.Saad Belabed.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

11 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AAGANA NA BALOZI WA TZ NCHINI URUSI, NA WA UJERUMAN NCHINI TZ NA KUMKARIBISHA MPYA WA UJERUMAN

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Balozi mpya wa Tanzania nchini Urusi, Luteni Generali Wyjones Matthew Kisamba, wakati alipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Julai 28, 2014 kwa ajili ya kumuaga akielekea kuanza kazi. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi mpya wa Tanzania nchini Urusi, Luteni Generali Wyjones Matthew Kisamba, wakati alipofika...

 

11 years ago

Michuzi

DKT. BILAL AAGANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI URUSI, AMKARIBISHA BALOZI MPYA WA UJERUMAN NCHINI

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Balozi mpya wa Tanzania nchini Urusi, Luteni Generali Wyjones Matthew Kisamba, wakati alipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Julai 28, 2014 kwa ajili ya kumuaga akielekea kuanza kazi.  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi mpya wa Tanzania nchini Urusi, Luteni Generali Wyjones Matthew Kisamba, wakati alipofika...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE ZIARANI NCHINI MAREKANI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameondoka nchini usiku wa jana, Jumatatu, Septemba 15, 2014, kuanza ziara ya wiki mbili katika Marekani ambapo atahutubia Mkutano wa 69 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UN General Assembly) New York.
Mbali na kuhutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa mjini New York, Rais Kikwete pia atahudhuria mikutano muhimu katika mji mkuu wa Marekani, Washington, D.C.
Mjini New York, Rais Kikwete atashiriki katika mikutano...

 

11 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN ZIARANI NCHINI INDIA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipokea mashada ya mauwa wakati wa mapokezi nyake alipowasili katika uwanja wa ndege wa Jaipur Nchini India katika Jimbo la Rajastan,akiwa na ujumbe aliofuatana nao akiwemo mkewe Mama Mwanamwema Shein katika ziara rasmi. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Kiongozi wa Ulinzi wakati wa mapokezi yake alipowasili katika uwanja wa ndege wa Jaipur Nchini...

 

11 years ago

Michuzi

Waziri wa Habari ziarani nchini China

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenela Mukangala yuko nchini China katika ziara ya kuangalia maendeleo ya Sekta ya Utangazaji na kuimarisha ushirikiano katika sekta ya Utangazaji kati ya Tanzania na China.
Katika ziara hiyo ameongozana na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bi. Sihaba Nkinga, Mkurugenzi Mkuu wa TBC Bw. Clement Mshana na Mkurugenzi wa Utangazaji TCRA Bwana Habbi Gunze. Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenela Mukangala na ujumbe wake...

 

11 years ago

Michuzi

Waziri Mwandosya ziarani nchini Burundi

Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais (Kazi Maalum),Profesa Mark Mwandosya,wa tatu kushoto akiwa kwenye mazungumzo na Waziri wa Biashara,Viwanda,Posta,na Utalii wa Burundi,Mhe.Rose Nizigiyimana.Wengine ni maafisa walioongozana na Waziri Mwandosya na wale wa Burundi. Waziri wa Biashara,Viwanda,Posta,na Utalii wa Burundi Mhe Marie Rose Nizigiyimana na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais(Kazi Maalum),Profesa Mark Mwandosya wakiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa Tanzania naule wa Burundi baada ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani